Did Nyerere admit he was a "failure"? Some say "Yes he did"...

Did Nyerere admit he was a "failure"? Some say "Yes he did"...

In the other discussion (Nyerere's Forgotten Speech), I made a claim that:

Utaona kuwa kuna watu bado wanaamini kuwa Nyerere hajawahi kukubali kufanya makosa; kwamba aliamini kila alichokifanya kilikuwa sahihi. Kwenye hotuba hii peke yake tunaona mahali anaposema wazi "we made some mistakes" hivi Kikwete amekubali lini kufanya kosa hata moja kama kiongozi na serikali yake?

FaizaFoxy came with another claim where he/she said (post 87):

Nyerere admitted he was a "failure" not only mistakes. FAILED.

To this I made this challenge (post 90):
He never admitted to failure; the idea that he did is a pure conjugation of the people who hoped that he in fact did. Hajawahi kusema ameshindwa. I can challenge you to find it anywhere and you won't. I guarantee it.

To which FaizaFoxy responded confidently,

Who are you to guarantee it? And you challenge me to go find it? Poor you, here it is, haya ichakachuwe kama unaweza:Nyerere farewell speech in 1985: "I failed. Let's admit it."

Well... that claimes a direct quote from Nyerere's "farewell speech". Well.. here is the speech.
 
Attachments

FaizaFoxy, tafadhali usianze kuharibu thread mkuu. Umeombwa ushahidi, leta au sema utauleta ukiupata, au kama hauna sema hivyo pia. Mambo ya Mungu this na kufananishana uyaache tafadhali.
Wewe nae unataka kusema nini? Ushahidi nimeuweka juu sasa ni juu yenu kusema hapana hayo si maneno ya nyerere. Unanchekesha! Niulete mara ngapi huo ushahidi? Vipi babuwee?Unadandia kwa mbele?
 
Mkuu Mwanakijiji

Hivi unafikiri hawa vimburu waliosomea shule za kata wanaweza kweli kumuelewa Kambarage? You must be joking!
 
Wewe nae unataka kusema nini? Ushahidi nimeuweka juu sasa ni juu yenu kusema hapana hayo si maneno ya nyerere. Unanchekesha! Niulete mara ngapi huo ushahidi? Vipi babuwee?Unadandia kwa mbele?

hayo si maneno ya Nyerere; hotuba unayoisema tumeiweka pale. Labda uipitie na kutuambia maneno hayo uliyoyanukuu yako ukurasa gani. Tutashukuru kwa kutusahihisha.
 
Wewe nae unataka kusema nini? Ushahidi nimeuweka juu sasa ni juu yenu kusema hapana hayo si maneno ya nyerere. Unanchekesha! Niulete mara ngapi huo ushahidi? Vipi babuwee?Unadandia kwa mbele?

Tafadhali sana, tafadhali jiheshimu mkuu. Hivi unashindwa nini kuyaacha maneno ya mipashomipasho kwenye majukwaa husika yaliyo kibao hapa JF?! Please leta ushahidi kama members wanavyokuomba, sema utauleta, au kama hauna hiyo speech basi waambie hivyo pia. Ni nini kitaharibika watu tukiheshimiana walau mara moja moja kwenye hoja za msingi?!
 
Jiheshimu uheshimike. Heshima haiko upande mmoja, univunjie heshima kwa maneno ya kejeli halafu ujidai kulalamika. Khaa, unanini weye?
 
Jiheshimu uheshimike. Heshima haiko upande mmoja, univunjie heshima kwa maneno ya kejeli halafu ujidai kulalamika. Khaa, unanini weye?

Naomba unioneshe pahala nilipokuvunjia heshima, au kuthubutu tu kufanya hivyo.
 
Ahsante sana Mwanakijiji, sikuwahi kupata bahati ya kuisikiliza wala kuisoma. Ubarikiwe!
 
Sina shaka hata kidogo kuwa Nyerere alifanya makosa. Hata yeye mwenyewe alikiri kuwa wakati wa utawala wake alifanya makosa. Shida kwangu ni why now ndio watu wameenza kutafuta makosa ya Nyerere? what is that people are looking for?

Assume for the sake of this argument, hoja ya FaizaFoxy kuwa Mwl Nyerere alifeli ni sahihi. Hata Kama FaizaFoxy atasema kuwa he failed spectacularly- sawa. Swali, je hao waliofuatia wamefanya nini (a)kurekebisha yote aliyo-fail Nyerere? and (b)kufanya mazuri zaidi kuliko Nyerere na watu wakaweza kuona kweli Nyerere aliboronga? wamefanya nini ATCL, RELI, Madini, Tanganyika Packers, Mwatex, General Tyre,Ranchi za Taifa, Free education, Universal health care! Na sasa hivi tuna nini?- Au tuseme watawala wa siku wamefanya vizuri zaidi na ndio maana tuna logo mpya ya ATCL? au tuna EPA, Kagoda na sasa magamba?
 
Hoja siyo makosa ya Nyerere; hoja ni kuwa hawataki kupimwa kwa uwezo wa Nyerere hivyo katika kuonesha "makosa" ya Nyerere wanajaribu kufuta credibility ya Nyerere ili kuelezea kushindwa kwao kuongoza.
 
Julius Kambarage Nyerere (April 13 1922 - October 14 1999), also known as Mwalimu (teacher), was President of Tanzania from 1964 to 1985, though he was still influential in politics until his death in 1999 because of his popularity. He is remembered as an unusually honest leader, especially for Africa, and for helping refugees. When his attempt at using his socialist ideas of Ujamaa failed , he said, "I failed. Let's admit it." He was also responsible for the overthrow of the murderous Idi Amin regime in Uganda.

Sasa kama hapa ndio mtu ananukuu kama ukweli bado tuna matatizo. Wikipedia hiyo inasema "he said, "I faield. Let's admit it" na mtu anaamini kuwa Nyerere kweli alisema hivyo. Hajui ilisemwa wapi bali kwa vile Wikipedia imesema basi mtu anaamini na kuichukulia kama ukweli. Ndio maana baadhi ya vyuo sasa vinapiga marufuku watu kuicite Wikipedia kama authority katika masuala ya academic. Tatizo la Faiza kaenda kuongeza kabisa kuwa hiyo sentensi ipo kwenye "farewell speech"; uzuri wa farewell speech ni kuwa iko moja tu ambayo Nyerere aliliaga taifa.

Sasa kama kuna uungwana wowote basi angekubali tu kuwa kweli pale nilikosea na suala linakufa tunasonga mbele. But that aint gonna happen.
 
Sina shaka hata kidogo kuwa Nyerere alifanya makosa. Hata yeye mwenyewe alikiri kuwa wakati wa utawala wake alifanya makosa. Shida kwangu ni why now ndio watu wameenza kutafuta makosa ya Nyerere? what is that people are looking for?

Assume for the sake of this argument, hoja ya FaizaFoxy kuwa Mwl Nyerere alifeli ni sahihi. Hata Kama FaizaFoxy atasema kuwa he failed spectacularly- sawa. Swali, je hao waliofuatia wamefanya nini (a)kurekebisha yote aliyo-fail Nyerere? and (b)kufanya mazuri zaidi kuliko Nyerere na watu wakaweza kuona kweli Nyerere aliboronga? wamefanya nini ATCL, RELI, Madini, Tanganyika Packers, Mwatex, General Tyre,Ranchi za Taifa, Free education, Universal health care! Na sasa hivi tuna nini?- Au tuseme watawala wa siku wamefanya vizuri zaidi na ndio maana tuna logo mpya ya ATCL? au tuna EPA, Kagoda na sasa magamba?

  • Ndio wameamua kila kiongozi asijenge nyumba kwa pesa yake taofauti na walahoi wengine. Wakaamua kujiuzia nyumba ili viongozi wakitoka madarakani wasichekwe kwa umasikini. Nyerere alifail kufaniskisha ndoto za viongozi wengi kupata "utajiri" wa haraka haraka. Waliomfuata kwa hilo wamempiga bao. Sasa hivi maofisa wana account new jersey na ulaya.

  • Tunaona katika kuonyesha kiu ya u capitalist tumefanikiwa kwa mambo kama EPA, KAGODA, MEREMETA. Tunaonahata mashirika yaliyokuwa hoi kipidi cha nyerere kama ATC, RELI sasa yana nafuuuu kweli kweli. Kama kuna matatizo basi matatiz ya mashirika haya ni yale aliyooacha Nyerere. Nadhani hata kiwango cha kufuta ujinga alichaacha nyerere kimezidi kupungua
May be ndo hoja zao teh teh teh
 
Swali ambalo linatakiwa kujibiwa zaidi kuwa katika mantiki ya kawaida wananchi wanatakiwa kuwafurahia hawa zaidi kuliko Nyerere; but the contrary is true. Why do Tanzanians (even those who didn't like Nyerere in the first place) remember him with nostalgia?
 
Sasa kama hapa ndio mtu ananukuu kama ukweli bado tuna matatizo. Wikipedia hiyo inasema "he said, "I faield. Let's admit it" na mtu anaamini kuwa Nyerere kweli alisema hivyo. Hajui ilisemwa wapi bali kwa vile Wikipedia imesema basi mtu anaamini na kuichukulia kama ukweli. Ndio maana baadhi ya vyuo sasa vinapiga marufuku watu kuicite Wikipedia kama authority katika masuala ya academic. Tatizo la Faiza kaenda kuongeza kabisa kuwa hiyo sentensi ipo kwenye "farewell speech"; uzuri wa farewell speech ni kuwa iko moja tu ambayo Nyerere aliliaga taifa. Sasa kama kuna uungwana wowote basi angekubali tu kuwa kweli pale nilikosea na suala linakufa tunasonga mbele. But that aint gonna happen.
Kataa tukuletee mabandiko mengine, wacha kutetea kisicho teteeka. He was a failure all the way.
 
Back
Top Bottom