Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,840
3,378
Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana

Hata watoto wa-nigerian diaspora wanafanya mambo ya maana mfano wakina Anthony Joshua, Israel Adesanya, Saka, Rotimi n.k

Wakenya watoto wao waliozaliwa abroad na diaspora wanafanya makubwa mfano Obama, Lupita Nyongo, rish sunak waziri mkuu wa uingereza na wengineo wengi

Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha

Mfano diaspora wengi wa Tanzania wanaoishi South Afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri, wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
 
Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana

Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana sana wanaturingishia picha

Mfano diaspora wengi wa tanzania wanaoishi south afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri
Hizo picha wanazoturingishia zipo wapi nami nizione?
 
Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana

Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana sana wanaturingishia picha

Mfano diaspora wengi wa tanzania wanaoishi south afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri
Unateseka kwa namna yoyote Ile?
 
Kwani uliagana nao?
 
Tafuta maisha yako kijana.
Mwisho wa siku ukweli usemwe watanzania wengi ni vijicho vya husda na unafki mwingi sana.
Kipindi mtu anazunguka posta kuweka documents sawa aende ubalozi unafki kibao, akishatoka sasa kila mtu anataka attention yake.
Mwisho wa siku kila mtu na familia yake.
 
Mtu ajilipie nauli anavyojua yeye, atafute viza kwa nguvu zake mwenyewe, apige picha kwa kamera yake mwenyewe, aposti kwa bundle lake mwenyewe, halafu wewe uliyoko Nanjilinji uteseke????
Hudhani kama una dosari kidogo mkuu???

Yani ukasirikie mtu ambae huna mchango wowote kwenye maisha yake???

Ndugu upo hatua chache sana kuwa mchawi kamili. Tafuta maombi kabla hujaanza kupaa na ungo.
 
Mimi nilikuwa mgumu sana kuwasikiliza watu waliokuwa wanasema kwamba kuna Watanzania wengi sana wanachukia diaspora kwa kusukumwa na wivu.

Lakini sasa naona inawezekana hao watu wana point.

Huyu jamaa haelewi kwamba mtu kuondoka Tanzania tu kashawasaidia Watanzania waliobaki wagawane kisamvu chao vizuri zaidi bila kuwaghasi.

Hiyo tu ni point ya kumsifu mtu aliyeondoka Tanzania.
 
Kama wao wanakuringishia picha wewe huna vya kuwaringishia kwani?

Waringishie mgao wa umeme, maji kutokuwepo wiki nzima, viongozi wezi wanatajwa wameiba kwenye report ya CAG ila wanapeta na ulinzi mmewapa.

Waringishie chawa wanaolipwa $3 kumsifia rais na viongozi wengine, waringishie kuandamana ni kosa ila kwenye katiba maandamano yameandikwa ni ruhusa.

Waringishie treni ambayo wengine wanajenga kwa miaka 2 nyie mnaenda 7 na bado haijulikani lini itaisha ili nanyi mkapige picha.

Yapo mengi sana ya wewe kuwaringishia.
 
Back
Top Bottom