Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Domo tu....hv can you quote Daimond to DEMEAN Mdee....!!??

Ma.alya like him...hajui chochote...very arrogant...hv hata ww mleta mada UTAKUWA SICKLE CELL guy if not ur totally foolish...!!! Halima Mdee, very brilliant young MP....who is Daimond..!!? poooo ww..!!!
 
Wana Ukumbi,

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.

Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!

Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.

kampe pole sana,mwambie ni jukumu la serikali kutengeneza barabara kwa kodi za wananchi na siyo mshahara na marupurupu ya mbunge ndiyo yatengeneze barabara.mwambie kuwa hata majimbo ya wabunge wa ccm,hela inayotumika kutengeneza barabara na miundombinu mingine yote ni kodi za wananchi na siyo mishahara na marupurupu ya wabunge hao.mbunge ni mpiga debe tu na msemeji wa wananchi wa jimbo lake
 
Mlete thread kidogo ukutenda haki kwa wote si kwa Diamond ama Mbunge wake Halima Mdee.Niliiishuhudia kuwa hakuna kitu chochote Diamond alichosema kibaya hayo maneno ya mwenye thread kamlisha Diamond maneno.Diamond aliomba Serikali iangalie hiyo barabara ya kwenda kwake kuwa kuna kipande fulani si kizuri kina mashimbo hivyo akaomba Serikali iangalie.

Ila kuna dada muongeaji sana hana break ndani ya show, ndio aliyekuwa anajaribu kutafuta Mbunge wa eneo analotoka Diamond,katika utafutaji huo ndio akaonekana Mbunge wa Makazi ya Diamond ni Halima Mdee.

Diamond ana kaufahamu fulani kwa kuwa katika maombi yake yeye yalilenga Serikali yake iangalie eneo lake hiilo,kijimdada kile kwa kutokujua pa kuelekeza fikra zake kikaangalia mwenye wajibu wa kudeal na barabara ni Mbunge...Kazi ya Mbunge ni kuwakilisha wanajimbo katika kusimamia na kuyasemea maendeleo ya jimbo lake, si kazi ya Mbunge kutengeneza barabara kwa kuwa hana mfuko wa kutengeneza na kugharimia barabara na shughuri za maendeleo ya jimbo lake.

Inaonekana mwadika thread alikutana na mdada huyo mwongeaji kupitiliza wa 360 akiwa anamwagika kama chiriku kiasi kuwa alimnyima mtangazaji mwenzie nafasi ya kuuliza maswali akadominate, mjadala japo alionyesha kuwa initiative za kufikishwa Diamond kwenye mahojiano hayo alifanya yeye mwenyewe as if Clouds hawana vitengo ama desk lasmi wa kuinvite watu kwa mahojiano...

Please Halima, Diamond hakusema chochote kibaya wala kumind Mbunge wake....haya maneno ni kutengeneza Diamond aonekane Mkolofi kwako...tena kwa vile uwa anatumika na CCM basi wakujengee mazingira kumuona alikukamia jambo.ASILIMIA kubwa inaonyesha uenda pia inawezekana hakuwa anajua Mbunge wa uko ni nani...na kama anajua uenda alipotezea kiujana kawaida ndio maana kwa ufahamu ule hakultea jina la Halima kwenye mjadala.

Na Clouds mfungeni huyo binti break uwa mwepesi sana kuongea vitu kwa kukatisha wenzie ....mpigeni shule on how to be a LADY anapokaa na wanaume...uwa naona anawaboa wanaume anaokuwa nao pale.Manake anatakiwa kuwa na Subira kusubilia mtu amalize kuongea kisha akiona kuna pozi la few sekonds ndio achukue mada kuongea...akiwa yeye utaona anaingilia maongezi maradufu kwenye topic mpaka ina kera.

Ni vizuri kuwa na binti pale lakini kama hakuna mwingine basi afundishwe manners ...jinsi gani anaongea na wanaume ukizingatia ile ni television sio saloon pale...
 
Ajenge mwenyewe si anahela nyingi aache kulalamika.
 
Wakazi wa Kawe bado tuna imani kibwa na Halima kwa uwezo wakr mkubwa wa kujenga hoja. Atashinda tena kwa kishindo labda akatae mwenyewe kuchukua form ya kugombea.
 
Hili ndo tatizo la wasanii wetu kufanya usanii bila kusoma shule vizuri. Hivi kweli huyu msanii anategemea Serikali ya CCM itajenga barabara na kisha asifiwe Mdee na CDM? CCM lazima wahakikishe jimbo hilo halirudi CDM na kuchelewesha maendeleo na utekelezaji wa ahadi za CDM/CCM ni moja ya mbinu. Diamond aende walau tuition fulani aondoe ukungu mukichwa!
 
Hivi kama ingekuwa Halima amepongezwa kwa uwepo/ubora wa barabara, nyie mliokazana kuporomosha mitusi mngekuja kukanusha kuwa sio Halima anayehusika na ubora/uwepo wa hiyo barabara bali ni serikali ?
 
Mlete thread kidogo ukutenda haki kwa wote si kwa Diamond ama Mbunge wake Halima Mdee.Niliiishuhudia kuwa hakuna kitu chochote Diamond alichosema kibaya hayo maneno ya mwenye thread kamlisha Diamond maneno.Diamond aliomba Serikali iangalie hiyo barabara ya kwenda kwake kuwa kuna kipande fulani si kizuri kina mashimbo hivyo akaomba Serikali iangalie.

Ila kuna dada muongeaji sana hana break ndani ya show, ndio aliyekuwa anajaribu kutafuta Mbunge wa eneo analotoka Diamond,katika utafutaji huo ndio akaonekana Mbunge wa Makazi ya Diamond ni Halima Mdee.

Diamond ana kaufahamu fulani kwa kuwa katika maombi yake yeye yalilenga Serikali yake iangalie eneo lake hiilo,kijimdada kile kwa kutokujua pa kuelekeza fikra zake kikaangalia mwenye wajibu wa kudeal na barabara ni Mbunge...Kazi ya Mbunge ni kuwakilisha wanajimbo katika kusimamia na kuyasemea maendeleo ya jimbo lake, si kazi ya Mbunge kutengeneza barabara kwa kuwa hana mfuko wa kutengeneza na kugharimia barabara na shughuri za maendeleo ya jimbo lake.

Inaonekana mwadika thread alikutana na mdada huyo mwongeaji kupitiliza wa 360 akiwa anamwagika kama chiriku kiasi kuwa alimnyima mtangazaji mwenzie nafasi ya kuuliza maswali akadominate, mjadala japo alionyesha kuwa initiative za kufikishwa Diamond kwenye mahojiano hayo alifanya yeye mwenyewe as if Clouds hawana vitengo ama desk lasmi wa kuinvite watu kwa mahojiano...

Please Halima, Diamond hakusema chochote kibaya wala kumind Mbunge wake....haya maneno ni kutengeneza Diamond aonekane Mkolofi kwako...tena kwa vile uwa anatumika na CCM basi wakujengee mazingira kumuona alikukamia jambo.ASILIMIA kubwa inaonyesha uenda pia inawezekana hakuwa anajua Mbunge wa uko ni nani...na kama anajua uenda alipotezea kiujana kawaida ndio maana kwa ufahamu ule hakultea jina la Halima kwenye mjadala.

Na Clouds mfungeni huyo binti break uwa mwepesi sana kuongea vitu kwa kukatisha wenzie ....mpigeni shule on how to be a LADY anapokaa na wanaume...uwa naona anawaboa wanaume anaokuwa nao pale.Manake anatakiwa kuwa na Subira kusubilia mtu amalize kuongea kisha akiona kuna pozi la few sekonds ndio achukue mada kuongea...akiwa yeye utaona anaingilia maongezi maradufu kwenye topic mpaka ina kera.

Ni vizuri kuwa na binti pale lakini kama hakuna mwingine basi afundishwe manners ...jinsi gani anaongea na wanaume ukizingatia ile ni television sio saloon pale...
Maelezo yako mazuri na ya nafafanua vyema mada. Hata hivyo ulivyomalizia umeonyesha ni shabiki wa mfumo dume. Kwa nini tu iwe wakati akiongea na wanaume!?
 
Dont ask what America have done to you! Ask what have you done to America. J F K

Ma superstar huko majuu wanatia lami wenyewe; wakihamia kitaa raia wanashukuru baraka imeingia hebu aweke lami bwana au ustar ni wa kuuza sura kwenye luninga
 
Msimulaumu mdee hiyo barabara muulizeni magufuli ipo chini ya tanroad na bajeti ilishatengwa lkn utekelezaji wke unaenda kwa kusuasua coz serikali haina pesa wamepeleka mahali pengine kumlaumu mdee ni kumuonea diamond lazima asema hivyo unacheza na suti za USA.wewe.
 
Yaani huyu dogo mburudishaji naye mnampa uzito hata kwenye masuala ya kisiasa!

Ingekuwa amezungumzia masuala ya burudani nisinge-comment.
 
haka kakijana kameshindwa kumtoa kafara mama ake kwa freemason kameanza kudantia mambo ya wakubwa.chizi kweli ww domo kama mkoti wa wasira
 
Diamond wakukosoa watu kweli? Kuna wimbo ameimba na Hadja Kopa nadhani duh unalingana na mawazo yake
 
Hivi cdm ndio wanakusanya kodi? avumilie tu hayo ndiyo maisha bora aliyoahidiwa na kikwete

Hizi id za ACT zinaoteshwa kama uyoga Moderator liangalie hili kwa jicho la tatu.
 
Last edited by a moderator:
Watu wa Kg bwana! Kama anataka kupoteza his music fame ajaribu kujiingiza kwenye siasa. Kawe si jimbo la wajinga kiasi hicho!

Kweli mkuu, dogo anatuaibisha kina Ismail Mkimbizi, Ntamaholo, Kabanga, Kaunga, na Nyakageni.

Yaani Diamond anapewa promo kwa comments zake za Kisiasa! Dogo anatafuta kuporomoka kisanii, siasa sio burudani.
 
Watu wanajua kupaisha mada kweli. Diamond hakusema kitu kama hicho jana.
wakati anahojiawa na Haris Kapinga wa Clouds Tv jana asbh Diamond aliulizwa una nini la kuiambia serikali na watawala. Akasema serikali ijitahidi kutimiza ahadi inazozitoa kwa wananchi akachomekea na hilo la barabara ya Madale akasema Halima mdee hebu fanya mambo barabara inatisha ile. Hapa alimaanisha Mdee akaisimamie serikali kuhusu ahadi ya barabara hii.

Mtoa post inaonyesha ana kitu inaitwa ashk majnun, mbaya zaidi pia anajipendekeza kwa diamond. eti anasema mwanamuziki maarufu mwenye mafanikio makubwa. mafanikio yake mtoa post hayakuhusu.
 
Mbona bajaji hazijanunuliwa na Jakaya kikwete? si aliahidi?

Meri ya kisasa ya mv bukoba ipo wapi?

msimlaumu halima mdee, zile ni ahadi zake sawa lakini bado kipindi chake hakijaisha, tutamuongezea kingine ili aikumbushe serikali ijenge..

kwanza huyo dogo halipi kodi, so hana locus stand ya kulaumu.
 
Back
Top Bottom