Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Wana Ukumbi,

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.

Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!

Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.
Mdee sio contractor wa barabara
 
alivyoahidi alikuwa na kampuni ya ujenzi?

Utetezi mwingine unaharibu zaidi. Huwa wanachaguliwa ili wakafanye nini hasa? Kwa maana hiyo Wabunge wa Vyama vingine hawatakuwa na makosa iwapo ahadi zao hawajatimiza? Ndiyo maana wakati mwingine tunashindwa kuwaelewa. Kwa ajili ya BAD CONDUCT utakuta hakuna ushirikiano tena ni kukomoana wenyewe kwa wenyewe, na mwananchi ndiye anayeumia. Ukiona maneno ya ajabu ajabu yanawatoka baadhi ya watu humu ujue umegusa pasipo. Kuwanyamazisha watu ni suluhisho mnadhani, mwisho wa yote mtakimbiwa na wote hadi abaki mmoja.
 
Domo akae kimya tu,bilionea unajenga ukuta ambao ukija upepo unadondoka? Bilionea unakaa kwenye kiwanja kama kiganja ambacho hata hakijapimwa?

Wengine mnashindwa kabisa kuficha hata chuki zenu binafsi kwa huyu bwana mdogo anayefaa kupigiwa mfano kwa vijana wenye bidii na maarifa ya kujikwamua kutoka katika lindi la umasikini?
 
Huyu nae anaongea nini hapa?anatuletea ishu za bongofleva hapa? Atoe ukilaza au katumwa na magamba? Bure kabisa huyu dogo. Chadema ni imara na mdee ni jembe. Nonesense idiot
 
Wana Ukumbi,

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.

Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!

Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.

Ivi sasa neno gani alilosema kuwa halima ni mzigo? Yeye katoa malalamiko tu.
 
Kama wewe ni mbunge na katika jimbo lako kero hazitatuliwi, ujue tu hauna ushawishi.

Katika hali hiyo ya kukosa ushawishi, basi hufai kuwa mwakilishi wa wananchi husika. It's simple as that.

Halima, time to go!

Ivi wewe unaona hao wabunge wote wa ccm unaowapenda wametatua kero zote? Acha unafiki wewe,.
 
sijuwi kama huyu dogo atarudia tena kumzungumzia huyu mwana mama makini mdee leo ninyamaze ila akirudia tena ungeseee wake ata huko kawe atahama kkmmkke zzke anafikiri mdee ni adija kopa :rockon:
 
Hajui chochote huyo diamond wenu,si kazi ya Halima....watz!lini mtajua kazi ya mbunge?.Hapo wa kulaumiwa ni Rais.
 
Huyu dogo Diamond sasa anavuka mipaka.. yeye abakie kuimba nyimbo zake na mipasho kama Kanye. Leo anajua wapi siasa na mahitaji ya wana Kawe ilihali kwao Tandale hakupitiki.. Mtu yeyote kwanza hutazama kwake kisha akalinganisha sasa ikiwa Tandale yenyewe magari, ng'ombe, mbuzi watu kuku, bata vyote ruksa barabarani leo ukaongelee Kawe? ama kweli...
 
atuachie halima watu,mama na Dada yeti,milupo imemlevya sa sa anabwabwaja.kala ni ni yuleeeeee?
 
Huyo mtoto ------ sana kisa kazoeshwa kwenda ikulu asubiri siku zake zinahesabika oct sio mbali atakuja mtu wa kurudisha heshima ya ikulu kwa maana imegeuzwa pango la wanyanganyi.shenzy type
 
Kama anapendwa anapendwa tu. Ondoa uchawi wako na uganga njaa wako hapa!

Sikiliza Hamida, wanaojua business ya music. Industry wanafahamu kuwa mafanikio ya biashara hiyo ni upepo na ukienda nap hovyo utaishia pabaya. Muulize Mallow atakuambia. Wewe Dada subiri tuu wanaume watafute Kisha ule kwa ulaini tuu
 
Sijaona mahala katamka neno "Mzigo".
 
Back
Top Bottom