Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Heading na contents ni two different things.

Kajipange kivingine.
 
Hivi mfuko wa Jimbo unatosha kujenga kilometa ngapi kwa kiwango cha lami? Au mbunge anavyo vyanzo vingine vya mapato anavyoweza kutumia ili kuwajengea hizo barabara. Kwa nini msihoji bajeti ya halmashauri ya Kinondoni inayoongozwa na CCM kwa nini haitengi fedha kwa ajili ya barabara hizo? Au bajeti ya serikali kuu kupitia wizara husika..mbunge kazi yake kupaza sauti, na naamini ameshapaza sana, lakini kama ilivyo kawaida, serikali ya CCM inakaidi kushughulika na mambo yatokayo kwa wapinzani kwa nia ya kujitengenezea maslahi ya kisiasa, ili kwenye kampeni mgombea ubunge kupitia CCM aseme mbunge aliyepo (upinzani) hajafanya kitu chochote, wakati kimsingi hana mamlaka hayo na wala si jukumu lake. Na sisi kwa kuwa bado hatujakomboka na adui ujinga, tunakubaliana na hila hizo.
Mkuu mbona una mawazo ya kitoto, niambie mbunge ambaye kwa hela yake kajenga barabara hata kilometa moja hapa nchini.
Hapa tunaongea ushawishi na ushirikishwaji,

Mbunge kila leo yuko vikao vya kuiponda serikali wakati wabunge wenye akili na wajanja zaidi, na hata wale wa vyama vya upinzani , barabara zinajengwa,

Mbona kule Hai kwa Mbowe, tena kijijini, barabara zinajengwa,
Tuna tstizo la mbunge Mdee ambaye ni mbumbumbu,
 
Watu mkiwa Dar-es-salaam hamzijui shida zinazowakabili wakazi wa japo hapo Mkuranga tu kutokana na ubovu wa barabara na huku mbunge wa jimbo hilo ni naibu waziri wa fedha. Yaani hii nchi nyie acheni tu, na tumuombe sana Mungu huyu Kikwete aondoke salama. Miaka yake kumi imekuwa ni michungu mno kiasi cha kwamba waliokuwa wanamshabikia hivi leo wanajuta. Yaani barabara hata ambazo angalau zilikuwa na Changalawe wakati wa Mkapa, na changalawe zimeondoka limebaki vumbi mashimo na madimbwi ya maji tu. Naongea kwa uchungu sana, kutokana na adha ninayoiona huko. Nyie wa daresalamu hata hampaswi kusema kabisa.
Pole sana mkuu Lukolo serikali na chama chake siku hizi imejaa watu ambao ni wabinafsi.
 
Mkuu mbona una mawazo ya kitoto, niambie mbunge ambaye kwa hela yake kajenga barabara hata kilometa moja hapa nchini.
Hapa tunaongea ushawishi na ushirikishwaji,

Mbunge kila leo yuko vikao vya kuiponda serikali wakati wabunge wenye akili na wajanja zaidi, na hata wale wa vyama vya upinzani , barabara zinajengwa,

Mbona kule Hai kwa Mbowe, tena kijijini, barabara zinajengwa,
Tuna tstizo la mbunge Mdee ambaye ni mbumbumbu,

Sawa wewe mwenye akili za kikubwa, sina mjadala na wewe.
 
Fani yake kuvua nguo stejini nadhani hayo ndio anajua kuna baadhi ya majimbo ukifika balaa jumbo la ALLY KESSY nkasi kaskazini kalambo Urambo na mengineyo balaa tupu Nadhani tumpuuze kwanza mwenyewe Gamba la CCM asiye mjua nani hata ndege wanamjua!
 
Wana Ukumbi, Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee. Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu! Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.
Si anasema JK ni kila kitu n ahumpigia simu kumuuliza size ya suti..kwanini asimpigie kuhusu barabara amtume grader magufuli fasta?Bongo tumekula sana vibudu na matambiko ya wachinjaji, kuua albino akili zenu hazipo tena.
 
nakubaliana na ninyi lakini wakati Halima Mdee anaahidi hakujua haya yote?=RealMan;12418279]Halima Mdee ana kampuni ya ujenzi wa barabara?
Siku tukijua nani wa kumwajibisha nchi yeru itasonga mbele.
Kwa sasa adui ujinga bado anatutesa[/QUOTE]

Kwani Halima Mdee anakusanya kodi kutoka kwa wananchi au ameskia wapi kuwa mbunge ndio mwenye maamuzi ya barabara gani ijengwe? Acha Umbulula wewe
 
Hajasema Chadema, Hajasema anakusanya kodi, Aliyosema Ni kwa nafasiya Halima, Kama Mbunge Halima hajajenga Barabara, Kama ALIVOWAAHIDI!!!! Halima aliahidi kujenga Barabara Wakati huo akijua Chadema haikusanyi kodi, Na akijua yeye Mwenyewe akijua kuwa hakisanyi kodi, alijua akiipata nafasi hiyo atahenga Barabara,,, sasa nashangaa misukule ilofufuliwa inakuja kupinga kishabiki,,mnapinga nn Mmelaaniwa jaman!!!!
 
Wana Ukumbi,

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.

Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!

Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.

Siasa waachie wanasiasa, je yeye keshaacha kutembea na mama yake mzazi ili mambo yake yamnyokee?
 
Huyu dogo anafikiri gharama ya kujenga au kukarabati barabara kwa kiwango cha lami ni sawa na ujenzi wa choo...!?
Halafu isitoshe hebu atuambie yeye kama msanii mwenye kipato kikubwa amechangia nini kwa ajili ya maendeleo jimboni kwake?
Huyu Dogo ni MBURULA tu kazi Uzinzi ,Umalaya,Ushirikina na Ulimbukeni.
Dogo aache sifa za kijinga. Siasa siyo fani yake.Kama anataka kuvuliwa nguo hadharani aanze kulumbana na wanasiasa. Anadhani Halima Mdee ni sawa na Zali,Lulu,Jokate,Uwoya,Wema Sepetu and the like?
Ushauri wa bure kwa huyu "DIAMOND OF EVILS" anapokuwa kwenye media afanye mambo yanayomhusu kama kutangaza mahawala zake.Aache kubeza jitihada za watu katika kulitumikia taifa.
 
Yeye diamond ndiyo mzigo tena ni wa kipimbipimbi
 
Wana Ukumbi,

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.

Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!

Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.

Miaka 53 ya uhuru haikujengwa,itakuwa miaka 10 ya mbunge wa upinzani?hiyo mawingu tv na huyo mbeba mabegi ya wakubwa wa nchi wote akili zao sawa.
 
Kama wewe ni mbunge na katika jimbo lako kero hazitatuliwi, ujue tu hauna ushawishi.

Katika hali hiyo ya kukosa ushawishi, basi hufai kuwa mwakilishi wa wananchi husika. It's simple as that.

Halima, time to go!

Basi kama wewe ndio una ushawishi kawashawishi wakuchague wewe,mbona wakati wa uchaguzi ulikimbia?
 
Acheni siasa za maji taka kila mtu anao uhuru wa kuongea wa kile anachokiona
 
Akili za mahaba zinamsumbua!!sasa Halima ndo anajenga barabara ??Anakwepa kulaum social service provider kwakua tu anatender NW!!siwez kumlaum kwakua anakili ya kutunga nyimbo tu tena za mahaba.

Vile vile nina shaka na elimu yake huyu anaye itwa dayimondi.
 
Back
Top Bottom