Mkuu tamadunimusic,nyimbo ya diamond iliyoingia kwenye kipengele cha Best Collaboration ni Bum bum aliyomshirikisha Iyanya,sio nyimbo ya Nana.
Ohhhh samahani sana kwakutokuwa makini na hili, basi hadi hapo hakuna tatizo kabisa na categories zote alizopo, ila tatizo tu kuipata hii tuzo maana hii nyimbo yetu haikubamba kabisa. Wacha tupige kura tujaribu bahati yetu
Hahahahaaha, tunasubiri msimu wa mavuno!!cc chige njoo utuwekee zile picha za mcharo na jirani yake mcharo
Hahahahaaha, tunasubiri msimu wa mavuno!!
hahahahaaa... wataelewa tu!!chige hawa watu wa uswahilini hawawezi kuelewa nondo nzito unazozitoa
Teh! Kapigeni kura jameni namie mniwakilishe!Yeah when it comes for the sake of the nation walaaaaa hatuna hiyana sie twapiga kura tu
Labda angekuwa mwingine lakini sio huyo!!! Mtu anaanza kulalamikia nomination wakati hata vigezo havijui halafu unatarajia ndo apige kura? Labda apige kura ya HAPANA!
Tangazo maalum kwa team chibu wote: Mwisho wa kumtaja Kiba kama rival wa Chibu uishe rasmi leo kwani muda wote huo tumefanya kazi wa kumsukuma mtu kwa kila hali ila hasukumiki amegoma kabisa.
Sasa basi tuanze kumwongelea Chibu na Vmoney au yoyote yule atakaeonyesha movement za kutaka kutoka kimataifa ili angalau wawe wengi kwenye kuitangaza nchi yetu ila sio huyu msanii wa local (ata local kwenyewe kina Mavoco wanamkimbiza) so bado anapwaya.
Plz plz plz team Chibu hii movement ianzie kwetu since tutakua tunafanya unfair competition kwanza terms and conditions hazizingatiwi kabisa eti Kiba vs Chibu sio haki.
Nawasilisha!!!!
Jamani King na show za sebleni anatiaje huruma akisikia hiz habari Chibu ni shida
Mwenzangu watu wamepagawa tena sio kidogo!!jana ile walikuwa wanalia kwenye kutaja majina ya washiriki kwenye account ya MTVBase kule!mara kidogo naona watu hao wanaanza kupost eti ooh!Diamond hajui kuimba anayejua kuimba ni kiba na song lake la Mwana!!
Leo hii wameendeleza kituko huko Instagram,Wanamuomba BABU TALE NA SALIM eti wamsamehe Ally kiba!wanaomba hao mpaka kero!!
mkuu wameshakubali kua kijana ni noma hahaha
Teh! Kapigeni kura jameni namie mniwakilishe!