chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,260
- 871
Team no stress
Yaan hapa team Kiba hawagusi aisee wataishia kuuchungulia tu uzi
Mpaka.sasa diamond platnum ameshaingia katika category tatu za MTVbase
1.Mtumbuizaji bora Africa
2.Collabo Bora.Diamond ft Iyanya-bumbum
nyingine inafata
HABARI WANAYO
K 4 REAL (kwa muandiko wa Sakafu)
😀😀😀😛😛😛:sly::sly:
Best Male artist of the year uspate shida mamaa" Mondi katisha
Best Male artist of the year uspate shida mamaa" Mondi katisha
Hahahahah na nana ndani ya wiki mbili net,,, Sahivi tunakamata nafasi ya 7 kwenye chat ya Afrika ndani ya Trace Nigeria tunakimbilia namba 1
Hahahahah na nana ndani ya wiki mbili net,,, Sahivi tunakamata nafasi ya 7 kwenye chat ya Afrika ndani ya Trace Nigeria tunakimbilia namba 1
Yap huo ndio ukweli, baada ya Diamond kibongo bongo anafuata Vmoney kwa kufanya vizuri kwa sasa. Namuelewa sana huyu sista duu akili nyingi.Yaani Vanessa mdee yuko juu kuzidi Kingkibaka???