Diamond kuperform Nana for the first time in South Africa

Diamond kuperform Nana for the first time in South Africa

unajua unachokifanya saivi we wakimataifa wanaolilia kitaifa waachie akilizao za mafungu chibu dangote we dogo balaa.
 
1434127192157.jpgWadau pigeni kura mara nyingi mpaka wawaambie hivi!
 
Tangazo maalum kwa team chibu wote: Mwisho wa kumtaja Kiba kama rival wa Chibu uishe rasmi leo kwani muda wote huo tumefanya kazi wa kumsukuma mtu kwa kila hali ila hasukumiki amegoma kabisa.

Sasa basi tuanze kumwongelea Chibu na Vmoney au yoyote yule atakaeonyesha movement za kutaka kutoka kimataifa ili angalau wawe wengi kwenye kuitangaza nchi yetu ila sio huyu msanii wa local (ata local kwenyewe kina Mavoco wanamkimbiza) so bado anapwaya.

Plz plz plz team Chibu hii movement ianzie kwetu since tutakua tunafanya unfair competition kwanza terms and conditions hazizingatiwi kabisa eti Kiba vs Chibu sio haki.

Nawasilisha!!!!
Nilishaacha zamani sana na nilishazungumza wazi humu kwamba kumlinganisha local artist na international artist ni makosa makubwa sana huku nikitolea mfano wa Mrisho Ngasa na Mbwana Samatta... huwezi hata siku moja kumlinganisha Mrisho Ngassa na Mbwana Samatta kwavile tu Ngassa alitufungia goli wana-Yanga!
 
Hii ni diamond special thread?maana team stress siwaoni
 
Anatiaje huruma sasa?? Sema tu unafurahia hayumo maana angekuwemo dhoruba lake mnalifahamu vizuri!
Kwani ameshawahi kuwemo? Usisahau, hapa hatuzungumzii KTMA au Tuzo za Watu!! Hapa tunazungumzia wasanii wenye hadhi ya kimataifa na sio 100% local artists!!!

Nakukumbusha tu!
 
Kwani ameshawahi kuwemo? Usisahau, hapa hatuzungumzii KTMA au Tuzo za Watu!! Hapa tunazungumzia wasanii wenye hadhi ya kimataifa na sio 100% local artists!!!

Nakukumbusha tu!

Mgomvi wewe! Shaurilo.
 
Watajiju!kimewaleta nini humu ndani!

Nawaona wachache tu wengine huwa wana hard feelings mno kiasi kwamba kuna post huwa wanaziignore au wanajificha nyuma ya likes, kama upo insta kaangalie post ya Divathebawse. Tumemchambaa ye anaongea kwa Mihemko msyuuuuuuuuu. mzurimie, Dinazarde, chige, PAULAkilaki, ChingaOne. Ila insta kuna watu wanamatusi jamani khaa
 
Last edited by a moderator:

ahahahhahaa!!kumbe na wewe umeona eenh!!nimemtukana mpaka ameniblock,diva...diva...diva my foot!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani ameshawahi kuwemo? Usisahau, hapa hatuzungumzii KTMA au Tuzo za Watu!! Hapa tunazungumzia wasanii wenye hadhi ya kimataifa na sio 100% local artists!!!

Nakukumbusha tu!

Hajawahi kuwemo na ninaelewa kwamba hapa mnazungumzia tuzo za kimataifa na sio local.
But that does not amount to the fact that "hatawahi" kuwemo....got me??!! Carry it with your brain no need to remind me of anything dude!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom