Diamond kuperform Nana for the first time in South Africa

Diamond kuperform Nana for the first time in South Africa

Tangazo maalum kwa team chibu wote: Mwisho wa kumtaja Kiba kama rival wa Chibu uishe rasmi leo kwani muda wote huo tumefanya kazi wa kumsukuma mtu kwa kila hali ila hasukumiki amegoma kabisa.

Sasa basi tuanze kumwongelea Chibu na Vmoney au yoyote yule atakaeonyesha movement za kutaka kutoka kimataifa ili angalau wawe wengi kwenye kuitangaza nchi yetu ila sio huyu msanii wa local (ata local kwenyewe kina Mavoco wanamkimbiza) so bado anapwaya.

Plz plz plz team Chibu hii movement ianzie kwetu since tutakua tunafanya unfair competition kwanza terms and conditions hazizingatiwi kabisa eti Kiba vs Chibu sio haki.

Nawasilisha!!!!

Hata mm nimeacha kuwashindanisha cku hizi
 
Mtu mbayaaa" African charts Trace
 
Attachments

  • 1434109373687.jpg
    1434109373687.jpg
    62.1 KB · Views: 200
  • 1434109479244.jpg
    1434109479244.jpg
    64.7 KB · Views: 177
Tangazo maalum kwa team chibu wote: Mwisho wa kumtaja Kiba kama rival wa Chibu uishe rasmi leo kwani muda wote huo tumefanya kazi wa kumsukuma mtu kwa kila hali ila hasukumiki amegoma kabisa.

Sasa basi tuanze kumwongelea Chibu na Vmoney au yoyote yule atakaeonyesha movement za kutaka kutoka kimataifa ili angalau wawe wengi kwenye kuitangaza nchi yetu ila sio huyu msanii wa local (ata local kwenyewe kina Mavoco wanamkimbiza) so bado anapwaya.

Plz plz plz team Chibu hii movement ianzie kwetu since tutakua tunafanya unfair competition kwanza terms and conditions hazizingatiwi kabisa eti Kiba vs Chibu sio haki.

Nawasilisha!!!!

haya tumeachaaa ,akabanane na kina shilole huko
 
For the first time live, Tonight

Kijana anastahili support ya kila aina kutoka kwetu Watanzania coz ni balozi mwenye kipawa cha kutisha cha kuitangaza nchi. Na wakati wenyewe ndio huu kwa sababu viumbe vya aina yake hutokea mara chache katika zama. Big up sana sana kijana wetu Diamond Platnumz na Mungu azidi kukubariki!
 
Hivi wakuu inakuingia kweli akilini eti ule wimbo wa bum bum wa Diamond na iyanya uingie kwenye category ya best collabo of the year in Africa? Wimbo ule kwanza maneno ya dai hayakusikia vizur zaid ya kusikia neno "Michael Jackson tact" basii.

Pia hivi inaingia akilini eti Dai aingie kwenye best male of the year in Africa? Sasa najiuliza kwa wimbo upi kwa mfano aliofanya 2014? Kweli nakubali ile 2013 huyu kijana alipiga kazi sana ile number one remix sio masihara hata kidogo, Utata unakuja mwaka 2014 Dai kafanya wimbo gan wa maana zaidi ya ule mchiriku mdogo mdogo na Tarabu feat Khadija kopa.

Lastly, hivi kweli inakuingia akilini hakuna hata msanii mmoja chipukizi aliyetoka mwaka jana maana sura ni zile zile za mwaka jana.

BTW, Kwakuwa ni Mtz mwenzangu basi ntapiga kura hivyo hivyo kwa shingo upande for the sake of my Nation lakini ukweli safari hii kuna fitina imefanyika.

#SITAKUWA ADUI KWA KUSEMA UKWELI

Wewe bila shaka utakuwa mchawi au mshirikina!!!!😡:😡😡😡
 
Hayaa hayaa
 
Attachments

  • wp_ss_20150612_0008.png
    wp_ss_20150612_0008.png
    38.7 KB · Views: 142
  • wp_ss_20150612_0007.png
    wp_ss_20150612_0007.png
    53.4 KB · Views: 125

Similar Discussions

Back
Top Bottom