Diamond kuperform Nana for the first time in South Africa

Diamond kuperform Nana for the first time in South Africa

Am done
1434063054770.jpg
1434063096422.jpg
1434063125609.jpg1434063054770.jpg
1434063154356.jpg
 
Tuma link hebu tupikapige kura

Utanzania mbele...

viva wasanii viva Tz
 
Huo wimbo wa Bumbum mbovu hawezi kushinda ila hivyo vipengele viwili anaweza chukua vyote, Vanesa safi wewe ndio unayefatia kutoboa kimataifa baada ya Diamond
 
Huo wimbo wa Bumbum mbovu hawezi kushinda ila hivyo vipengele viwili anaweza chukua vyote, Vanesa safi wewe ndio unayefatia kutoboa kimataifa baada ya Diamond

ungekuwa mbovu usingeuona kwenye category hiyo , kuna nyimbo nyingi zmepigwa chini kwenye mchujo kupata top 5 inamaanisha tu hizi ni collable bora za mwaka

wapi davido ft. mafikizolo tchelete??
crazy sayshay ft. wizkid??
wizkid ft. tyga show you the money??
waje ft. diamond coco baby??
sauti sol ft. iyanya sura yako??
mavins dorobuci??
 
Hivi wakuu inakuingia kweli akilini eti ule wimbo wa bum bum wa Diamond na iyanya uingie kwenye category ya best collabo of the year in Africa? Wimbo ule kwanza maneno ya dai hayakusikia vizur zaid ya kusikia neno "Michael Jackson tact" basii.

Pia hivi inaingia akilini eti Dai aingie kwenye best male of the year in Africa? Sasa najiuliza kwa wimbo upi kwa mfano aliofanya 2014? Kweli nakubali ile 2013 huyu kijana alipiga kazi sana ile number one remix sio masihara hata kidogo, Utata unakuja mwaka 2014 Dai kafanya wimbo gan wa maana zaidi ya ule mchiriku mdogo mdogo na Tarabu feat Khadija kopa.

Lastly, hivi kweli inakuingia akilini hakuna hata msanii mmoja chipukizi aliyetoka mwaka jana maana sura ni zile zile za mwaka jana.

BTW, Kwakuwa ni Mtz mwenzangu basi ntapiga kura hivyo hivyo kwa shingo upande for the sake of my Nation lakini ukweli safari hii kuna fitina imefanyika.

#SITAKUWA ADUI KWA KUSEMA UKWELI
 
BREAKING NEWSSSS::Msanii wa tanzania DIAMOND PLATNUM amechaguliwa kuwania tuzo za NIGERIAN ENTERTAINMENT AWARDS(NEA) huko nchini Nigeria katika kipengele cha BEST AFRICAN ARTIST!!!!!!!!jamani mwaka huu nitanenepa mimi wallah!

Diamond wewe ni shida,tatizo,balaa,majanga,bomu,radi,kombora!!!daaah!!nimesahau nini tena team no stress????

HABARI WANAYO!!!

Hongera mingi sana Chibu
 
Tuache WAPUUZI tujadili UPUUZI wetu!!wewe mwerevu umekuja kufanya nini kwa wapuuzi????

Nenda kapige majungu na fitina zako kwenye kale kauzi kako ulikokaanzisha,hatutaki uchafu

Kingkiba for real
 
Mbona msanii chipukizi wapo Casper nyovest mwaka Jana hakuwepo mwaka huu yupo, patoranking pia, Vanessa mdee n sura mpya pia, sheyi shay, bebe cool, lil kesh mr cash time izo sura mpya mwaka huu.
 
Back
Top Bottom