Diamond kuperform Nana for the first time in South Africa

Diamond kuperform Nana for the first time in South Africa

Tilalila..lila..lilaaa!!woyowoyo woyowoyoooooo!
Pampalilalila...lilalilalilaaaaaaa!!
 
ImageUploadedByJamiiForums1434049552.703149.jpgbado tarehe 16 collabo la kcee ft diamond linatoka
 
Hutajuta kumshabikia huyu aikoni, chiaziii team no stress! 😎

haya haya haya!!Mchiwa bado hatujamaliza!!!!sikiliza hiyo tena;;
Msanii KCEE kutoka nchini Nigeria anatoa nyimbo mpya inayoitwa LOVEBOAT akimshirikisha Nyota/Nana Hitmaker/baba kijacho........Diamond platnumzzzzzzzz!!!

Mzigo unaachiwa 16/06/2015!!!!!!!!!usikoseeee

HABARI WANAYO#
 
Duuh Diamond mmmbaya ataua watu aisee, ha haa haaa, watajipeepeea mwaka huu😀:sly:
 
Hamna kitu huyo debe shinda tu.... Leo alikuwa shule ya uhuru mchanganyiko special class anaibua vipaji. Alikuwa na hawala yake mwenyekilemba ambaye anakesha humu jf.

Ahahahahahahahaha!!!!mwaka wetu wallah!
 
Wakati jirani zetu wakiwa wanasubiria video ya chekecha sisi wa kwa mcharo tunategemea kutoa singo na KCEE
 
Back
Top Bottom