PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,866
- 23,473
Ngoja nikawapigie Vanessa na WizKid mie....
Hahahahahaaa
We si ulisema ukipendi kivanessa?
Ngoja nikawapigie Vanessa na WizKid mie....
Hahahahahaaa
ahahahahahhahahahahahahahahahahaaa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Mi leo naomba nigonge like tyuuuu maana ya kuongea naona yameniishia
Mi huwa nawaona wamekaa kama wagangaHao wanafurahia kujulikana nje ya Uganda kizaidi thanks to Chibu.
Shardcole Hebu ujuze umma huu kuhusu criteria zinazotumika kuwapata nominees! Assumption yangu ni kwamba unazifahamu in and out criteria zinazotumika na ndio maana umeweza kufahamu kwamba kuna fitina zimepita... kwamba, criteria zilipuuzwa katika kumpata Diamond! Orodhesha criteria mkuu ili tuanze kupingana kwa hoja!
Alivyokosa nominesheni BET mapovu yaliwatoka, leo kawa nominated MTV bado mnamwaga povu hivi nyie watu vipi!
Ni ngumu mno kuwaelewa wanataka nini!
Jamani tusisahau kuwapigia majirani zetu
+best group na best song- sauti soul
+best video - Bebe cool
Ngoja nikawapigie Vanessa na WizKid mie....
Hahahahahaaa
Ohhhh samahani sana kwakutokuwa makini na hili, basi hadi hapo hakuna tatizo kabisa na categories zote alizopo, ila tatizo tu kuipata hii tuzo maana hii nyimbo yetu haikubamba kabisa. Wacha tupige kura tujaribu bahati yetu.
Mwenzangu watu wamepagawa tena sio kidogo!!jana ile walikuwa wanalia kwenye kutaja majina ya washiriki kwenye account ya MTVBase kule!mara kidogo naona watu hao wanaanza kupost eti ooh!Diamond hajui kuimba anayejua kuimba ni kiba na song lake la Mwana!!
Leo hii wameendeleza kituko huko Instagram,Wanamuomba BABU TALE NA SALIM eti wamsamehe Ally kiba!wanaomba hao mpaka kero!!
Yeah, when it comes for the sake of the nation walaaaaa hatuna hiyana sie twapiga kura tu
Ahahahaa!!wachawi umewaona wanavyolia??yaani leo yamewafika mpaka kunako!mpaka wengine wameshindwa kuficha huzuni zao wameamua waonyeshe ni jinsi gani wameumizwa!!!
Chezea kudharauliwa wewe!!utaroga hadharani kweupeeeeee!!!Ngoja nikae vizuri mie leo nicheke ushuhuda wa maumivu kwa jirani. Freeland