Mimi naona anastahili kupata hizo nominees, kwakuwa yeye ndio msanii mzuri na maarufu saizi East Africa na kati, na nazani nyimbo iliyomuweka kwenye categories zile mbili ukitoa ya best collaboration itakuwa n nitampata wapi, bila shaka tunajua ilifanya vizuri sana kwenye vituo vikubwa vya television.
Ila kwenye hii nominate ya Best collaboration, sidhani kama imekaa vizuri kwakuwa nyimbo ya NANA haina muda mrefu tangu imetoka ukilinganisha na zile ambazo zinashindanishwa nazo, yani ya Davido na mwenzie, hizo nyimbo zimetoka mda mrefu sana kiasi kwamba zimetoa picha halisi ni kiasi gani zimefanya vizuri hadi kuwa nominated.
Ila ya ndugu yangu Diamond na video changa sana, ila sina hofu kwamba MTV watakuwa wamefanya ukilitimba hapana, tunarudi palepale nani msanii alie kwenye pick East Afica na kati jibu ni Diamond basi ndio maana yupo kwenye hiyo category.