Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,512
- 93,084
Na ukumbuke Halima Mdee ni mkristo tena mkatoliki.majina ya wakiristo wakiyaona chadema hupagawa na kumuona jk sijui nani.
Na ukumbuke Halima Mdee ni mkristo tena mkatoliki.majina ya wakiristo wakiyaona chadema hupagawa na kumuona jk sijui nani.
Thubutu yako, hunauwezo huo, nakuhakikishia waislamu wenye nia njema na wanafunzi wengine watasoma kwa raha mstarehe wakati wewe utakuwa unauguza vidonda kwenye hospitali ya wamisionari Ndanda hapo hapo, na wanaokuchochea hawatakupatia msaada wowote.tuko tayari kwa hilo lkn na watoto wenu pia hawatasoma kwa amani. Tutazama wote inshaallah.
huu ni upimbi,hivi niambieni shule gani ya kiislamu;jumuia Tanga,Kinondoni muslim na nyinginezo kuna ambayo imejengwa kanisa ndani yake?wanafunzi wakristo hawasomi humo?mbona wao hawadai kujengewa kanisa au kwa vile dini yao siyo dini ya fujo?angalieni shule ya ndanda imejengwa katika eneo la Abasia ukielekea juu kutoka hospital kwenda printing press na chemchem upande wa kulia ni kanisa,Abasia,Ndanda girls hostel na viwanda na upande wa kushoto ni shule na mahakama vimetenganishwa na barabara.Kanisa halipo shuleni lipo nje ya eneo la shule,kudai msikiti ndani ya shule mwisho mtadai wamisionari wasifuge nguruwe katika eneo lao ambalo si mbali na shule tena ni kuvuka mto tu.Mkumbuke miaka ya 1980 mwishoni hapo Ndanda kulitokea mgogoro kama huo waislam walitaka kwa nguvu kujenga msikiti katika eneo la shule ya msingi Ndanda ambayo iko katika eneo halali la Abasia pamoja na wamisionari kuwapa eneo jingine na kuahidi kutoa vifaa na msaada wote wa kiufundi na gharama. Wakafanya maandamano na zikiri lakini FFU walifanya kazi na mahakama ikatoa hukumu wakapigwa chini nakumbuka waziri wa mambo ya ndani alikuwa Muhidini Kimario alikuja pale.Tumieni busara mambo ya kulazimisha hayana faida,hawa wenzenu wanatumia akili sana na umakini ktk mambo yao,shule inaendeshwa na serikali lakini eneo ni la kwao kwa hati miliki zote bado hamuwezi kuwalazimisha kujenga wasichokitaka.
tuko tayari kwa hilo lkn na watoto wenu pia hawatasoma kwa amani. Tutazama wote inshaallah.
hiyo ndiyo kubwa ila nakuongeza nyingine vijana wa kiislam walifanya ibada ya kufunga na kuchangishana pesa ili wale(ftari) kwa pamoja lkn mkuu wa shule akadai kwamba wamechanga hela ili wanunue petrol wachome shule.
Acha kutukana dini dini za watu wewe pambaf.Bora ungenda wewe regia abaki manake wewe ni mzoga unaosubiri kunuka
Pork 338 × 338 - 25k - jpg interbayfoods.com |
Chinese roast pork, adapted from Pablo's recipe 580 × 380 - 121k - jpg yeinjee.com |
Pork Bans in New Zealand Considerations are being made by the Ministry of ... 400 × 300 - 98k - jpg topnews.net.nz |
When tender cut into thick slices and serve with the sauce for your pork ... 351 × 450 - 31k - jpg a-taste-of-france.com |
BONED, ROLLED LEG OF PORK 600 × 600 - 157k - jpg deliciousmagazine.co.uk |
Photo of Pork 485 × 700 - 70k - jpg okinawaindex.com |
We eat a lot of pork in this family, even given my father's Germanic ... 520 × 347 - 42k - jpg simplyrecipes.com |
Pork 401 × 332 - 27k - jpg free-extras.com |
pork butterfly chop = butterfly pork chop = pork loin butterfly chop Notes: ... 434 × 294 - 7k - jpg foodsubs.com |
Cajun pork fillet 356 × 355 - 35k - jpg lovepork.co.uk |
Slow-Roasted Pulled Pork Recipe enlarge 300 × 300 - 31k - jpg myrecipes.com | iloveporkribs.com |
The general ingredients for Dongpo pork are pork belly, wine, ... 580 × 380 - 125k - jpg yeinjee.com |
But they do know that it's okay to eat pork belly every week in moderation, ... 463 × 354 - 248k - jpg appetiteforchina.com |
File:Pork chops served.jpg 1760 × 1168 - 538k - jpg en.wikipedia.org |
BONED, ROLLED RIB OF PORK 600 × 600 - 156k - jpg deliciousmagazine.co.uk |
*Based on values for 100 grams of broiled pork tenderloin; Source: Canadian ... 750 × 579 - 85k - jpg putporkonyourfork.com |
brown gravy mix 8 thin rib pork chops (about 11/2 lbs.), trim off fat 550 × 412 - 51k - jpg microwaverecipescookbo... |
Szechuan Pork Recipe enlarge 300 × 300 - 38k - jpg myrecipes.com |
Crispy Roast Pork Belly Procedures 500 × 333 - 40k - jpg en.christinesrecipes.com |
Tatizo hata Wilaya zenye waislam wengi tumeekewa wakuu wa wilaya na Mikoa wakiristo, kazi ni moja kusukuma nyuma gurudumu la Maendeleo
Umenena vema Mkuu lakini hapo kwenye alama... labda kama nimekuelewa vibaya kuwa na wewe unamaanisha kuwa kanisa lipo ndani ya shule, kanisa la Ndanda halipo ndani ya eneo la shule. Mimi nimesoma hapo O level. kanisa lipo nje kabisa ya eneo la shule
MS uislam ni kusema uongo? mungu wako anapokea uwongo kama huu? ulaaniwe kwa kujinufaisha kwa uongo shetani usiena aibu.Mwalimu mkuu wa ndanda ndio mshauri wa kanisa.tutegemee nini?
Ingawa mimi sio mdini kama ulivyo wewe, nadhani kitendo cha mkuu wa shule hakikuwa sahihi, najua sana wa dini yako pia wanapenda fujo sana na muda wote wanadhani na kuona wananyimwa nafasi sawa na wengine, pengine upo utaratibu mwingine mzuri tu wa kufuatwa na wangepata haki zao za kuabudu kama wengine...nadhani hata pia wewe ulienda shule na unajua mazingira ya shule zetuni takriban wiki nne sasa wanafunzi 63 wa kiislam wanaosoma shule ya secondary ya ndanda wamesimamishwa na wengine kupewa masharti magumu ili warudishwe ikiwa ni pamoja kutofanya ibada wakiwa eneo la shule, kutozungumzia jambo lolote linalohusu dini yao ilihali wenzao(wakiristo) wanafanya watakavyo ikiwa ni pamoja na kufanya mikesha ktk kanisa lililopo shuleni hapo. Rai yangu ni serikali kutoa fursa sawa ya kuabudu kwa dini zote pia kumchukulia hatua za ni dham mwalim mkuu wa ndanda secondary ambae anafanya ubaguzi na kejeli dhidi ya uislam. Boko haram Nigeria ilianza kama hivi. Tamsya(vijana wa kiislam Tanzania mashuleni na vyuoni) wametoa Tamko la mgomo na maandamano nchi nzima kulaani tukio la ndanda na kutaka wanafunzi waliosimamishwa kwa kuomba eneo la kufanyia ibada warejeshwe mara moja. Utakua mgogoro endelevu mpaka madi ya msingi yasikilizwe. Vibali vya mikusanyiko na maandamano vimeombwa nchi nzima kuanzia siku ya ijumaa iwapo madai yaliyoainishwa hayatatekelezwa mpaka siku ya alhamiisi. Waislam nchi nzima tuungane kwani Hizbullah ni lenye kushinda.
Tatizo hata Wilaya zenye waislam wengi tumeekewa wakuu wa wilaya na Mikoa wakiristo, kazi ni moja kusukuma nyuma gurudumu la Maendeleo
Thubutu yako, hunauwezo huo, nakuhakikishia waislamu wenye nia njema na wanafunzi wengine watasoma kwa raha mstarehe wakati wewe utakuwa unauguza vidonda kwenye hospitali ya wamisionari Ndanda hapo hapo, na wanaokuchochea hawatakupatia msaada wowote.
hakuna mtu mweusi hata mmoja mwenye guts za kujilipua...acheni kutishia hata hao boko haram hawajitoi mhanga,.dini imani sheikh kama unaamini allah wako ni muweza wa yote mwachieni yeye na haki itaonekana kama kweli mnaonewa.
MS uislam ni kusema uongo? mungu wako anapokea uwongo kama huu? ulaaniwe kwa kujinufaisha kwa uongo shetani usiena aibu.
Boko haram ni weusi kaka na wanajilipua!
Tatizo la shule ya Ndanda ni wanafunzi wachache sana wa kiislamu ambao wanachochewa na watu wanaojiita waislam wenye itikadi kali. Shule ya Ndanda tangu iingie mikononi mwa serikali imekuwa na wanafunzi wakiislam ambao wamesoma hapo bila matatizo yoyote. Tatizo lilianza mwaka 2010 wakati wanafunzi wakiislamwachache walipoanza kukataa utaratibu wa kuchagua viongozi wa shule kwa mtindo wa kupiga kura na kutaka wateuliwe kwa misingi ya dini zao. Mwaka 2011 wakadai wajengewe msikiti shule hapo. Baadae wakaanza kutoroka usiku kwenda kwenye mihadhara ya kidini kwenye miskiti iliyo nje ya shule. Na wakaanza kukata kufanya kazi za shule kwa kisingizio cha kutotaka kuchanganyika na wanafunzi wasio waislam ati ni makafiri. Mwisho wakaandamana kilomita40 kwenda Masasi kuonana na mkuu wa wilaya. Walishauriwa warudi shule wakafuate taratibu za shule wakati tume ikifuatilia madai yao, lakini waliporudi shule wakaendeleza harakati zao na kutishia kuwauwa wanafunzi wenzao amboa hawawaungi mkono. Shule ilifungwa kuepusha dhahama hiyo. Bodi ya shule ili kaa na kutafuta ufumbumbuzi, ikiwa ni pamoja na kuwafukuza shule wanafunzi walioonekana na makosa, na kuwapa fomu ya kuwataka wanafunzi kuahidi kufuata taratibu za shule wawapo shuleni hapo. Wanafunzi waliofukuzwa walipewa nafasi ya kukata rufaa dhidi ya adhabu zao kwa vyombo husika. Sasa;
Nawashauri wanafunzi waislam, wazazi wao, waislam wanaoamini kwamba vijana wao wanaonewa wachukue hatua muafaka za kukata rufaa ili vyombo vya kisheria vifuatilie. Lakini maandamano, vitisho na vurugu hakika havitawarudisha vijana hao shuleni hapo. Watakuwa wamepoteza nafasi yao ya masomo na hawatafanya mitihani ya kidato cha sita 8/2/2012. Maelezo wanayoto wanafunzi hao sio ya kweli. Wanamdanganya hata Mungu wao wanao mwabudu!
- Kwanini watu kama Ugawafisi, Barubaru na Maralia sugu wanakuja na kauri za uchochezi na upotoshaji hapa jamvini?
- Je ni kweli uislam ni kutofuata taratibu za shule na taasisi nyingine halali?
- Mkuu wa shule amekuwa muungwana na mvumilivu sana dhidi ya vitendo vya hovyo vya wanafunzi hao kwani hata walipokiuka kabisa taratibu aliendelea kuwasihi na kuwashauri wafuate taratibu. Kwamfano wanafunzi waislamu walikamatwa na polisi usiku wakitokea kwenye mihadhara nje ya shule, bado mkuu wa shule hakuwafukuza shule!
- Shule ya Ndanda ilitenga chumba maalum kwaajili ya kuabudia wanafunzi wa kiislam kwa miaka yote tangu shule itaifishwe, sasa haya madai ya kujenga muskiti yanania gani kama sio uchochezi na usumbufu?
- Kwa nini wanafunzi wa kiislamu wanadai kuwa wanabaguliwa na kuonewa wakati wao wenyewe wanawakataa wanafunzi wenzao wasio waislam nakuwaita makafiri?
- Wanafunzi wakiislam hawajawahi kuzuiwa kuabudu shuleni na nje ya shule, sasa haki wanazodai ni zipi?
- Elimu bora hupatikana katika mazingira tulivu na ya amani na kufuta taratibu muafaka na sio vinginevyo.