Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

Status
Not open for further replies.
solution ya tatizo hapa ni serikali kuirudisha shule hii kwa wamiliki wa awali ( kanisa) na kisha kanisa waifanye iwe seminary.
 
unajua waislamu wana matatizo sana mfano hata kama kweli mmeonewa huu utaratibu wa kudai na mikwara kibao ndio nini hivi mnafikiri nani anawahofia fundisheni vijana busara kwani mwisho watapoteza shule kabisa.shikeni elimu ndio itawabeba mkiendelea hivi mtabaki mkia milele:lol:
 
cheza na kasansa wewe,....yule ni jembe sijui kwanini yuko na
masekondari huko na anasifa za kufundisha chuo.
 
Kigurunyembe Morogoro kilijengwa na Kanisa katoliki, leo waislamu watahitaji kujenga msikiti pale.
Sekondari ya Milambo Tabora ambayo hapo awali ilikuwa St. Mary's Tabora ilihamishiwa na kujengwa eneo jipya pale karibu na kanisa katoliki la Makokola barabara iendayo Urambo mjini Tabora. Sekondari hiyo ingebaki bado pale ilipokuwa zamani maana yake ilikuwa ndani ya kiwanja cha kanisa Kuu la Mt Teresya jimbo kuu la Tabora.
 
cheza na kasansa wewe,....yule ni jembe sijui kwanini yuko na
masekondari huko na anasifa za kufundisha chuo.

kama una namba yake mpigie umpe moyo mana hana amani, mana udini wake unaitikisa nchi.
 
Kwa iyo ndo utaratibu wa shule uvunjwe kwa sababu ya kuhofia milipuko ya kujitoa muhanga???

Haya ni mawazo yako tena Crackpot! Unadandia pipe kwa mbele futatilia hiyo post nimemjibu nani, sio kurukia kujibu tu post.
 

Hakuna maandamano yoyote hapa, fukuza wote wenye utovu wa nidhamu.
kwani yale maandamano ya tarehe 23/12/2011 ya kupinga mfumo kristo yaliishia wapi? labda kwa wale ambao hawaelewi kinachoendelea ningependa nitoe darasa kwa faida ya wengi, ni kwamba tangu Al qaeda account zao nyingi zitaifishwe misikiti imekosa wafadhili, ndio maana wale waliozoea misaada ya waarabu wanatafuta namna yoyote ya matukio ili wapate DVD za kuwatumia wafadhili wa kiarabu ili kuonesha kwamba Uislamu unakandamizwa Tanzania ili wapate kupewa misaada ya kipesa za kugharamia Jihad. huu ndio ukweli wenyewe mengine yote ni porojo.
 
ni takriban wiki nne sasa wanafunzi 63 wa kiislam wanaosoma shule ya secondary ya ndanda wamesimamishwa na wengine kupewa masharti magumu ili warudishwe ikiwa ni pamoja kutofanya ibada wakiwa eneo la shule, kutozungumzia jambo lolote linalohusu dini yao ilihali wenzao(wakiristo) wanafanya watakavyo ikiwa ni pamoja na kufanya mikesha ktk kanisa lililopo shuleni hapo. Rai yangu ni serikali kutoa fursa sawa ya kuabudu kwa dini zote pia kumchukulia hatua za ni dham mwalim mkuu wa ndanda secondary ambae anafanya ubaguzi na kejeli dhidi ya uislam. Boko haram Nigeria ilianza kama hivi. Tamsya(vijana wa kiislam Tanzania mashuleni na vyuoni) wametoa Tamko la mgomo na maandamano nchi nzima kulaani tukio la ndanda na kutaka wanafunzi waliosimamishwa kwa kuomba eneo la kufanyia ibada warejeshwe mara moja. Utakua mgogoro endelevu mpaka madi ya msingi yasikilizwe. Vibali vya mikusanyiko na maandamano vimeombwa nchi nzima kuanzia siku ya ijumaa iwapo madai yaliyoainishwa hayatatekelezwa mpaka siku ya alhamiisi. Waislam nchi nzima tuungane kwani Hizbullah ni lenye kushinda.

no action talking only
 
wewe ugawafisi ndiyo unatafutwa tena siyo mirembe unatakiwa ukatibiwe kwa vichaa wa wa India,wewe ni mchanga unadandia hoja hujui historia chimbuko wala taratibu hizo tende za bure na ahadi za kupelekwa afghan stan unadandia hoja tunajua mnanufaika ktk vurugu ili mpore watu kwa posho mnazopewa tunaamini serikali ina vichwa makini kuwashughulikia watukuktu na wakorofi vinginevyo kesho mtadai kujenga msikiti ndani ya saint Joseph,niambie Kinondoni muslim kuna kanisa?

be critical bwana! Uchanga maana yake nini... Argue don shout, tafuta wenzako kumi wenye akili kama zako halafu tafuta mada unazoipenda halafu mwisho tutafanya evaluationi tujue mchanga nani... Khabiiith laamar.
 
Hao wanafunzi waislamu wapewe haki yao maana wakatoliki wamezidi kutuonea sisi madhehebu madogo ya kikristo na hao waislamu.
 
[TABLE="class: images_table"]
[TR]
[TD]
Pork
338 × 338 - 25k - jpg
interbayfoods.com[/TD]
[TD]
Chinese roast pork, adapted from Pablo's recipe…
580 × 380 - 121k - jpg
yeinjee.com[/TD]
[TD]
Pork Bans in New Zealand Considerations are being made by the Ministry of ...
400 × 300 - 98k - jpg
topnews.net.nz[/TD]
[TD]
When tender cut into thick slices and serve with the sauce for your pork ...
351 × 450 - 31k - jpg
a-taste-of-france.com[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
BONED, ROLLED LEG OF PORK
600 × 600 - 157k - jpg
deliciousmagazine.co.uk[/TD]
[TD]
Photo of Pork
485 × 700 - 70k - jpg
okinawaindex.com[/TD]
[TD]
We eat a lot of pork in this family, even given my father's Germanic ...
520 × 347 - 42k - jpg
simplyrecipes.com[/TD]
[TD]
Pork
401 × 332 - 27k - jpg
free-extras.com[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
pork butterfly chop = butterfly pork chop = pork loin butterfly chop Notes: ...
434 × 294 - 7k - jpg
foodsubs.com[/TD]
[TD]
Cajun pork fillet
356 × 355 - 35k - jpg
lovepork.co.uk[/TD]
[TD]
Slow-Roasted Pulled Pork Recipe enlarge
300 × 300 - 31k - jpg
myrecipes.com[/TD]
[TD]iloveporkribs.com[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
The general ingredients for Dongpo pork are pork belly, wine, ...
580 × 380 - 125k - jpg
yeinjee.com[/TD]
[TD]
But they do know that it's okay to eat pork belly every week in moderation, ...
463 × 354 - 248k - jpg
appetiteforchina.com[/TD]
[TD]
File:Pork chops served.jpg
1760 × 1168 - 538k - jpg
en.wikipedia.org[/TD]
[TD]
BONED, ROLLED RIB OF PORK
600 × 600 - 156k - jpg
deliciousmagazine.co.uk[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
*Based on values for 100 grams of broiled pork tenderloin; Source: Canadian ...
750 × 579 - 85k - jpg
putporkonyourfork.com[/TD]
[TD]
brown gravy mix 8 thin rib pork chops (about 11/2 lbs.), trim off fat
550 × 412 - 51k - jpg
microwaverecipescookbo...[/TD]
[TD]
Szechuan Pork Recipe enlarge
300 × 300 - 38k - jpg
myrecipes.com[/TD]
[TD]
Crispy Roast Pork Belly Procedures
500 × 333 - 40k - jpg
en.christinesrecipes.com[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
boko haram ni weusi na wanatega mabomu kimya kimya na kudetonate form afar kwa kutumia remote control au time bombs..mnavyopenda pilau mjilipue nyinyi!!!get your sources right.


[h=1]Nigeria: Boko Haram Suicide Attack Killed Dozens[/h]
r-NIGERIA-BOKO-HARAM-SUICIDE-ATTACK-large570.jpg
 
udini... Udini...Udini.Tumechoka kila uchao ni waislamu wanalalamikia hili mara lile.Hivi hakuna la kufanya zaidi ya kulalamikia mambo yasiyo na msingi wala mashiko?Kama tatizo ni ufurukutwa na ukereketwa wa dini si mkalale misikitini?na kusomea huko madrasa.
Kama elimu imekushindeni kajaribuni ujinga huwenda unalipa zaidi kuliko elimu:A S 465:.Hao viongozi wakuu wengi wa nchi hii mbona hawakulalamika japo wamesoma ktk shule za Wakristo na vipindi vya dini ya kikristo wamehudhulia na bado wanaendelea na dini zao,wameathirika nini?Ninyi hamkatazwi na mtu yeyote kusali ila mnafikilia kufanya fujo zaidi kuliko kitu kingine chochote ktk maisha yenu sidhani kama mafundisho yenu yanasema hivyo.
 
uislam hauko hivyo. Allah ameikamilisha dini na waislam tunapaswa kuilinda na kuisimamia hata ikibidi kufa.
basi mtakufa nyie sisi tutabaki
waislam wamekuwa ni watu wa kulalamika zaidi ya watoto wadogo,kamwe hawaridhiki,
shule ya ndanda ni shule ya wakatoliki,hilo hawataki kulijua,hivi kanisa likihitaji shele yao,hali itakuwaje?
Hao wanafunzi wanaogoma ni wajinga,kama wanataka msikiti waende kwenye seminary za kiislam,si ndanda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom