Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

Status
Not open for further replies.
ni takriban wiki nne sasa wanafunzi 63 wa kiislam wanaosoma shule ya secondary ya ndanda wamesimamishwa na wengine kupewa masharti magumu ili warudishwe ikiwa ni pamoja kutofanya ibada wakiwa eneo la shule, kutozungumzia jambo lolote linalohusu dini yao ilihali wenzao(wakiristo) wanafanya watakavyo ikiwa ni pamoja na kufanya mikesha ktk kanisa lililopo shuleni hapo. Rai yangu ni serikali kutoa fursa sawa ya kuabudu kwa dini zote pia kumchukulia hatua za ni dham mwalim mkuu wa ndanda secondary ambae anafanya ubaguzi na kejeli dhidi ya uislam. Boko haram Nigeria ilianza kama hivi. Tamsya(vijana wa kiislam Tanzania mashuleni na vyuoni) wametoa Tamko la mgomo na maandamano nchi nzima kulaani tukio la ndanda na kutaka wanafunzi waliosimamishwa kwa kuomba eneo la kufanyia ibada warejeshwe mara moja. Utakua mgogoro endelevu mpaka madi ya msingi yasikilizwe. Vibali vya mikusanyiko na maandamano vimeombwa nchi nzima kuanzia siku ya ijumaa iwapo madai yaliyoainishwa hayatatekelezwa mpaka siku ya alhamiisi. Waislam nchi nzima tuungane kwani Hizbullah ni lenye kushinda.
Hapo kwenye red kwa ushauri wa haraka fatilia upya sababu za watoto hawa kusimamishwa masomo, hii uliyoweka sio sababu husika.
No reasearch, no right to speak/argue.
 
tunazo taarifa za uhakika ambazo zinaonyesha mwalimu mkuu mpya aliyepelekwa ndanda kuwanyanyasa vijana wa kiislam na kufunga chumba wanachofanyia ibada na kujitapa kwamba serikali imetaifishha majengo lkn ardhi ni ya kanisa na hawana haki yoyote ya kiimani wakiwa ndani ya shule. Hii haikubaliki.

Nyoo haikubaliki? kajengeni zenu! shule ni ya kanisa full stop, kasirika ila ukweli ndio huo na serikali yenu ya ccm iliona mtabaki kuwa mambumbumbu ndio maana ikachukua hizo shule mpate fulsa alafu mnataka kujifanya ya kwenu,

nipe shule tano tu za waislamu zilizotaifishwa na serikali, then nenda kasome kule
 
Kinacho kuzuia kuanzisha hiyo boko haram ninini?
Akili za matope hizo yaani unawaza kuua wenzako wasikukosea lolote wakiwa kanisani!!!!!!!!!! kusifia hili ni ushetani!!!
Jamani watu wanasema hajawahi kumsikia live shetani akiongea! Huyu ni replica halisi ya Lusifa.

we piga kelele lkn tayari ma RPC nchi nzima wana barua za kutoa vibali juu ya mgomo na maandamano endelevu. Wakubali kutoa vibali au wakatae na serikali ijiandae kufunga shule na vyuo vyote ili waislam wote wafukuzwe halafu tuone kitakachofuata. Tayari sura zetu zimejiandika ''INNAKA MAYITU, WAINNAHU MAYITTUUN''.
 
hujui ulisemalo wewe! Kwanza ndanda kwa sasa si shule ya kanisa hivyo serikali ilipaswa kuandaa mazingira rafiki kwa dini zote. Pili Nyerere aliweka mikakati madhubuti kuhakikisha waislam hawapati elimu. Jiulize kwanini uwepo ubalozi wa VATICAN NA WAKATAZE OIC? TAFAKARI.

Kuna nchi inaitwa OIC? Unataka kutuambia kuwa shule zilizojengwa na serikali zina makanisa ila hazina misikiti? Malalamiko mengine ni ya kipumbavu kabisa, unategemea kanisa lijenge msikiti? Au serikali ijenge misikiti kwenye shule zilizokuwa za kanisa? Kama haina pesa ya kununua madawa na kuziendesha shule zenyewe (hata kama kuna pesa inatumika vibaya), kwa akili yako bado unataka hiyo kidogo ikajenge misikiti?

Na kwa nini iwe misikiti tu na siyo sehemu za ibada kwa imani nyingine?
 
Huu ndio uislamu

03_obama_terry_clip_image002.jpg
Al-Qaeda_300.jpg
qaeda-kidnaps-algerian-governor-1326840396-7096.jpg
 
Option nzuri zaidi ni nyie kuchukua watoto wenu na kuwapeleka kwenye shule yenye msikiti.

Shule ya bondeni secondary iliyopo arusha mjini ina msikiti wake pembeni, sasa wakristo wangekuwa hawana busara wangelilia na wao wajengewe kanisa.
 
we piga kelele lkn tayari ma RPC nchi nzima wana barua za kutoa vibali juu ya mgomo na maandamano endelevu. Wakubali kutoa vibali au wakatae na serikali ijiandae kufunga shule na vyuo vyote ili waislam wote wafukuzwe halafu tuone kitakachofuata. Tayari sura zetu zimejiandika ''INNAKA MAYITU, WAINNAHU MAYITTUUN''.

Sisi jumapili tutafanya harambee kwa ajili ya kupata fedha za kujenga nursery, primary na secondary schools kwenye eneo la kanisa letu. Hatuhitaji hata kibali cha RPC
 
Ndanda tu hapa Ijumaa, either wambakishe mwalimu Mchungaji Shule au waifunge shule ya ndanda Ijumaa. kama mapesa ya MOU hawajiridhika na wanataka kuuwa mfumo mzima wa kiislam 2012 hawatafanikiwa.

shule zenyewe serikali imeziharibu, jengeni za kwenu ms, tena nitafurahi kweli ifungwe na ibakie kwa wenyewe sasa sijui mtakuwa mmefaidika na nini. mijitu mingine bwana mumeonewa huruma msome mnataka kuzichukua kabisa. nasema kama mkatoriki NO msikikiti pale NO. kasalini nje ya shule
 
we piga kelele lkn tayari ma RPC nchi nzima wana barua za kutoa vibali juu ya mgomo na maandamano endelevu. Wakubali kutoa vibali au wakatae na serikali ijiandae kufunga shule na vyuo vyote ili waislam wote wafukuzwe halafu tuone kitakachofuata. Tayari sura zetu zimejiandika ''INNAKA MAYITU, WAINNAHU MAYITTUUN''.
Aya za shetani zilizoletwa na Marehemu aliyepo Jehenamu anaesubili kuhukumiwa kwa makosa ya kubaka vibinti vya miaka 9.
 
Hapo kwenye red kwa ushauri wa haraka fatilia upya sababu za watoto hawa kusimamishwa masomo, hii uliyoweka sio sababu husika.
No reasearch, no right to speak/argue.

hiyo ndiyo kubwa ila nakuongeza nyingine vijana wa kiislam walifanya ibada ya kufunga na kuchangishana pesa ili wale(ftari) kwa pamoja lkn mkuu wa shule akadai kwamba wamechanga hela ili wanunue petrol wachome shule.
 
kanisa walikuja na shule? Shule za makanisa ni mali ya waislam kutokana na Mkataba wa MOU. hapa mwalimu mkuu kachemsha, ndanda Ijumaa kutamu sana,either huyu mwlaimu Mchungaji atatafuta shule ya kanisa kufundisha
Kanisa ndo walijenga shule iyo iliyopakana na kanisa lao, shule ilipokabithiwa serikalini imetanganisha umiliki wa kanisa na shule. Hawa watoto wameenda kusoma au???
 
Aya za shetani zilizoletwa na Marehemu aliyepo Jehenamu anaesubili kuhukumiwa kwa makosa ya kubaka vibinti vya miaka 9.
Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu (Quran 109:6)
 
hiyo ndiyo kubwa ila nakuongeza nyingine vijana wa kiislam walifanya ibada ya kufunga na kuchangishana pesa ili wale(ftari) kwa pamoja lkn mkuu wa shule akadai kwamba wamechanga hela ili wanunue petrol wachome shule.
No research, no right to speak. kama unaamini mtoto wako kasimamishwa masomo bila makosa hebu nenda mahakamani.
 
aya za shetani zilizoletwa na marehemu aliyepo jehenamu anaesubili kuhukumiwa kwa makosa ya kubaka vibinti vya miaka 9.

unataka kutuhamisha kwenye mada kuu na tuanze kutukanana ili ufanikiwe kazi yako ya kuizima sauti ya waislam. Hapa umekwama!
 
kama ni dhulma wakulalamika ni wakristo waliodhulumiwa shule yao.
naomba wakristo muipe serikali siku 5 wawe wamerudisha hiyo shule kanisani.

wadhulumiwe wengine walalamike wengine.
 
hujui ulisemalo wewe! Kwanza ndanda kwa sasa si shule ya kanisa hivyo serikali ilipaswa kuandaa mazingira rafiki kwa dini zote. Pili Nyerere aliweka mikakati madhubuti kuhakikisha waislam hawapati elimu. Jiulize kwanini uwepo ubalozi wa VATICAN NA WAKATAZE OIC? TAFAKARI.

wewe idiot kweli, alafu hizi ndio kila siku ngojera zenu vatican oho! Oic, vatican ni nchi ndani ya italia kama vile iran kwa hiyo unataka tusiwe na ubalozi wa iran hapa au pakistani au saudi arabia kisa waislam ndio wanahiji kule? point less. oic ni organization tu kaka ni ngo! anyway sasa inabidi ngo zote hapa nchini serikali ifuate matakwa yake na si hizo ngo kufuata masharti ya serikali yetu! funguka think outside the box acha story za balazani kule unakoswali
 
ndanda mwalimu mkuu pia ndio mlezi wa kanisa, baada ya kuwafukuza eti kajisifu, nataka nimgombanishe kikwete na waislam wenziwe. hatujui sisi watu wa propagnda?
Sasa unataka awe mlezi wa baniani hili hali sio baniani???
 
Shule ya bondeni secondary iliyopo arusha mjini ina msikiti wake pembeni, sasa wakristo wangekuwa hawana busara wangelilia na wao wajengewe kanisa.

Hawawezi kwasababu wanajua hawajaenda shule kuabudu, wameenda kusoma tofauti na hawa wenzetu ambao wanatafuta cha kulalamika kila mahali na kila wakati hata kama sio cha maana wala hakina faida.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom