Mwamikili
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 417
- 137
shule ya ndanda ilikua chini ya kanisa na sasa imechukuliwa na serikali hivyo dini zote zinapaswa kupewa eneo na uhuru wa kuabudu. Hakuna vipindi vinavyoingiliana na muda wa ibada. Ndugu yangu tunazungumza uhakika. Wacha serikali ipuuze itakuja kuamua baada ya madhara kutokea. Hizbullah ni jeshi la mungu.
kwa nini serikali ichukue shule za dini? kwa nini isijenge za kwake! kama mungekuwa mmejenga zenu tatizo lingetoka wapi?
nenda zanzibar university uone wakristo wanavyobaguliwa hata kusali madarasani hawaruhusiwi ingali ukiingia tu getini unakumbana na bonge la msikiti! je umewahi kusikia wakilalamika?
ndanda ni ya wakatoliki anaetaka kusoma asome sio kueneze chuki hataki akasome kwenye shule zao mbona zipo nyingi, kuna kinondoni muslim, na nyinginezo.
mungu anajeshi au mtume?
tatizo ni hiii serikali yenu ya ccm! ikajifanya kuchukua shule za kanisa imeshindwa kuziendesha ikazirudisha kwa kanisa na wakatoriki walivyosmart vichwani wakawambia no lazima kuwe na MoU ili kuendesha hizo shule. serikali imeziharibu na inazibwaga kwa kanisa tena no haikubliki
shule ni za wakristo jengeni zenu!!!!