Dhihaka ya karne: Eti wanataka kuhama CHADEMA

Dhihaka ya karne: Eti wanataka kuhama CHADEMA

Inamaana swala la msimamo nalenyewe lina mida wake na wakati wake??? mkuu bora hata usingejibu kwn umenifanya niamini kama kwl chadema hawana misimamo na chadema yenye misimamo ilikuwepo kipindi hicho cha dr slaa siku hz tangu imchukue lowasa chadema imekuwa ni ya matamko tuu kila siku yasiyotekelezeka.
Nimezungumzia mahitaji ya nyakati sijui kama umenisoma? Msimamo gani unataka? Kuandamana? Hebu soma msingi wa post kwanza uone dhima ya maandamano ni ipi?
Hata kwenye maofisi mazungumzo yabaposhindikana maandamano huwa ndio silaha ya mwisho! Chadema hawajasikilizwa?au hujui watu walikuwa busy kiasi gani na vikao? Ukaidi sio hekima wala sio burasa...ulitaka CHADEMA wakose hekima na busara?
 
Mshana jamaa yangu agenda iliyokua nyuma ya haya maandamano ilikua n hasi. Na kama Magufuli angelegea ilikua inakula kwake.
Mbinu hii ilitumika Misri kumng'oa Muris, ilitumika Tunisia, ilitumika Kenya na Raila kupata serikali Ya mseto.
Lowassa hii ndo ilkua Kete yake ya mwisho, ka fail.
Nasifu msimamo wa serikali kwenye hii kadhia.
Major premise ya maandamano haya ilikuwa ni ipi? Tukikubaliana kwa hilo, then we can start debating vinginevyo huwezi kusema kuwa kulikuwa na agenda hasi ya maandamano haya! Let us argue philosophically and scientifically! Time seems short for me now!
 
PAKAVU TUMETELEZA, HAWAKUPIGIWA WAMECHEZA,
MLIO WA VUUUUUUM..!! KA HONDA, NDICHO WALICHOKIFANYA CHADEMA. ALUTA CONTINUA, NA MAPAMBANO YANAENDELEA . [emoji110] [emoji110] [emoji110] [emoji110] [emoji110] [emoji110] [emoji110] [emoji110]
 
Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo
Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti
-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)
Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA
Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana
CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi
Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa
Kupayuka payuka kumepungua
Utawala wa sheria unaanza kurejewa
Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa
Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo
CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA
CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa
CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
Saluti mtani watu inatakiwa wakae waongee watu wengekufa kwenye hayo maandamano si wengelaumu pia
 
Nimependa analysis yako. This clearly shows CDM is not here for fujo! Unaona UVCCM walitangaza kusitisha maandamano, nobody cared at all! Wenye akili walijua kuwa UVCCM hawana hoja wanayoisimamia ndiyo maana hakuna aliyewajali! Nchi yote imelipuka kwa CDM kutangaza kusitisha maandamano! Meaning they have a sense of a justice cause in their mind being denied by the rulers

mkuu hapa sasa ndo naona kama jf kuna watu wenye michango yenye akili na kufikir nakupa ponge sana.
 
Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo

Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti

-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)

Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA

Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana

CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi

Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa

Kupayuka payuka kumepungua

Utawala wa sheria unaanza kurejewa

Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa

Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo

CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA

CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa

CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
mkuu umesomeka
 
Leo mbowe akisema maandamano yatakuwa wiki ijayo mtaanza kupayuka tena yaani mnaendeshwa kama gari bovu na hata hamjistukii
Mbona UVCCM wao hawajaandamana? Tukutane Oktoba Mosi. Acha kupayuka bure kana huna kumbukumbu nzuri. Wale mlokuwa mmepanga kutumia maandamano haya kuichafua CHADEMA tafuta njia nyingine...hii imefail!
 
Nimezungumzia mahitaji ya nyakati sijui kama umenisoma? Msimamo gani unataka? Kuandamana? Hebu soma msingi wa post kwanza uone dhima ya maandamano ni ipi?
Hata kwenye maofisi mazungumzo yabaposhindikana maandamano huwa ndio silaha ya mwisho! Chadema hawajasikilizwa?au hujui watu walikuwa busy kiasi gani na vikao? Ukaidi sio hekima wala sio burasa...ulitaka CHADEMA wakose hekima na busara?
Mshana , JF chagua watu wa kubishana nao, kuna wengine humu ni below average katika thinking! Mimi huwa nachagua. For example Lizaboni &Co Ltd, huwa sibishani nao, I just ignore their posts
 
simba akikosa nyama anakula hata nyasi teh teh.mshana jr nadhani umesahau kuwa mwenyekiti wako sio amefuta bali ameghairisha hadi octoba mosi kitu ambacho anaonekana kutafuta kichaka.ngoja tusubiri part 2 loading....
 
Hahahaha, ninyi ndiyo mlitumia gharama kubwa. Sisi polisi wanalipwa mishahara, wala hapakuwa na extra duty allowances. Ila intelijensia inaonesha ninyi mlilipa waandamanaji kati ya tshs 10000 na 40000. Na ukichukua ile idadi ya watu mil moja na mamvi utapata kiasi mlichopoteza. Kibaya zaidi mpka octoba mliowagawia watakuwa wameila na kuisha.
Hapo ndio huwa naipenda "intelijensia" ipo radhi ikeshe zaidi ya mbio za mwenge kwaajili ya CHADEMA, ila sio kwaajili ya uvamizi wa vituo vya polisi na mauaji ya polisi.
 
Nimezungumzia mahitaji ya nyakati sijui kama umenisoma? Msimamo gani unataka? Kuandamana? Hebu soma msingi wa post kwanza uone dhima ya maandamano ni ipi?
Hata kwenye maofisi mazungumzo yabaposhindikana maandamano huwa ndio silaha ya mwisho! Chadema hawajasikilizwa?au hujui watu walikuwa busy kiasi gani na vikao? Ukaidi sio hekima wala sio burasa...ulitaka CHADEMA wakose hekima na busara?
Kusikilizwa kupi?? ni lini wameomba kuonana na mkulu wakapuuzwa???? Tatzo sio maandamano wala hekima tatzo iweje waje wahairishe siku moja kabla ya tukio?? kwn hvyo vikao inamaana havikupatiwa suluhu muda wote huo hadi jana asimame na kutoa tamko?? Mbona kipindi cha Jk walikuwa wanaenda kuonana nae na kuweka mambo sawa kwa mustakabali wa taifa! inamaana enzi hizo hawa viongoz wa dini hawakuwepo?? Sema chadema imeshamjua huyu mkulu wa sasa kwmba sio kama yule aliepita na pia ni kauzu ndo mana kwasababu hakuna kipind ambacho ilikuwa na maandamano kama awamu iliyoisha na kupigwa na askar ilikuwa kawaida tu kipind hicho,
 
Siku nyingine unavobandika andiko lako kidogo uwe umetulia ili uandike maneno yanayoeleweka.
Ikiwa hujaelewa alichoandika Mshana itabidi tupitie upya mitaala yetu ya elimu, huenda sio tatizo lako pia
 
Kwa TUNAOIPENDA TANZANIA, andiko lako limejaa HEKMA.
Kuna watu waliziona hizi hekima kabla ya andiko lako lakini kwa tabia zenu za kila kiyu ni mtu mmoja kama andiko ili lingeandikwa kabala na kuna watu walishaandika haya mlipinga sana. lazima muwe na maono ya mbali hakika kwa tabia hizi za kubadili gia angani mtapotea katika siasa siku moja
 
Major premise ya maandamano haya ilikuwa ni ipi? Tukikubaliana kwa hilo, then we can start debating vinginevyo huwezi kusema kuwa kulikuwa na agenda hasi ya maandamano haya! Let us argue philosophically and scientifically! Time seems short for me now!
Nakupa assignment. Fanya uchunguzi nini kilchokua nyuma ya mpango huu then you will judge philosophically and scientifically
 
Kujifariji na kufarijiwa ni sehemu ya utamaduni mzuri wa nchi yetu!
usipokuwa na hivyo vitu kama binadamu uliyekamilika basi mambo yako mengi utayaona mabaya na kumkufuru mungu lazima ujifariji siku moja utatimiza lengo lako pia lazima wawepo watu wakukufariji ni binadamu wachache ambao hawawezi kuona thamani ya hayo maneno sio wengine ni wale watakao ccm sio kila siku utakuwa mshindi lazima urud ktk hayao maneno.
 
simba akikosa nyama anakula hata nyasi teh teh.mshana jr nadhani umesahau kuwa mwenyekiti wako sio amefuta bali ameghairisha hadi octoba mosi kitu ambacho anaonekana kutafuta kichaka.ngoja tusubiri part 2 loading....

Hiyo Oktoba mosi hakutakuwa na lolote.

Ndo imetoka hiyo.

Wamembipu Ngosha naye akawaambia hebu jaribuni.

Well, mwisho wa siku tumeona kilichotokea. Wenyewe wamenyooka bila hata kupigwa virungu😀😀.

CHADEMA wamefilisika kimbinu, kifikra, kimwelekeo, na sasa wako mbioni kuelekea futi sita ardhini.
 
Cha kushangaza hata waliotangaza kuwa leo watafanya usafi na wale wapiga kwata mitaani wote hawaonekani kwa sasa. Magari na ndege za kivita nazo zimepaki; hakika watawala wamepigwa bao la kisigino
Hahhahahaaaa halafu mtu anasema chadema imefilisika imekwisha nk nk
 
Back
Top Bottom