Vipi mtafagia na manenepa wenu au ndio mtazuga zuga tu. Maana viwanda vya mifagio vimeuza sana mwezi wa nane maandalizi. Migharama ya maandalizi toka hazina yetu, sema Mis MudawoteHahaha umeandika pumba tupu. Roho inakuuma kwa kuwa mmeshindwa kila kitu. Tuliwaambia Dj ni muongo. Sasa hela mmepoteza mlizokuwa mmehonga watu na watakuwa wameshazitumia mpaka octoba
Hahaha umeandika pumba tupu. Roho inakuuma kwa kuwa mmeshindwa kila kitu. Tuliwaambia Dj ni muongo. Sasa hela mmepoteza mlizokuwa mmehonga watu na watakuwa wameshazitumia mpaka octoba
Mudawote wote siwezi kutegemea reply tofauti na hii toka kwakoMkuu, kubali tu kuwa THIS IS THE SAD ENDING OF UKUTA, mbona enzi za Slaa chadema walikuwa na msimamo wakisema tunaandana wanaandamana?? Au enzi hizo hakukuwa na viongozi wa dini wa kusuluhisha??
On the positive side, angalau mmewaweka police force on their toes.
Bandiko linakulenga weweHahaha umeandika pumba tupu. Roho inakuuma kwa kuwa mmeshindwa kila kitu. Tuliwaambia Dj ni muongo. Sasa hela mmepoteza mlizokuwa mmehonga watu na watakuwa wameshazitumia mpaka octoba
Hahaha umeandika pumba tupu. Roho inakuuma kwa kuwa mmeshindwa kila kitu. Tuliwaambia Dj ni muongo. Sasa hela mmepoteza mlizokuwa mmehonga watu na watakuwa wameshazitumia mpaka octoba
Hahahaha, ninyi ndiyo mlitumia gharama kubwa. Sisi polisi wanalipwa mishahara, wala hapakuwa na extra duty allowances. Ila intelijensia inaonesha ninyi mlilipa waandamanaji kati ya tshs 10000 na 40000. Na ukichukua ile idadi ya watu mil moja na mamvi utapata kiasi mlichopoteza. Kibaya zaidi mpka octoba mliowagawia watakuwa wameila na kuisha.![]()
![]()
Mudawote wote siwezi kutegemea reply tofauti na hii toka kwako
Najua ni hasira ya timu pinzani kutojitokeza uwanjani baada ya upande wako kufanya maandalizi ya gharama kubwa
upo sawa kavsaSizitaki mbichi hizi
Safi sana kama uliliona hilo. Chadema mlilipa watu kuandamanajana ulinzisha ka thread kako uchwara et kamanda siro kasema waandamanaji walipewa elfu 40 wakakafutilia mbali hata mtu kichwani asiwe na ubongo hawezi kukubaliana na ujinga huo ulio nao hivi hizi milion 400 kwa kila mkoa ni sawa na kiasi gani kwa nchi nzima? hayo maandamani ya pesa unapata nini yakifanyika we jamaa unatia kinyaa sana.
upo sawa kabsaSizitaki mbichi hizi
Mambo yale yale ya kisiku hizi...alieshindwa, kujiliwaza kwa kujitangaza kashinda..Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo
Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti
-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)
Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA
Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana
CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi
Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa
Kupayuka payuka kumepungua
Utawala wa sheria unaanza kurejewa
Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa
Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo
CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA
CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa
CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
Hii intelejensia kiboko! Kama iliweza kujua nani walilipwa kwenye maandamano lakini ikashindwa kukamata wauaji wa askari wetu hii intelejensia kibokoHahahaha, ninyi ndiyo mlitumia gharama kubwa. Sisi polisi wanalipwa mishahara, wala hapakuwa na extra duty allowances. Ila intelijensia inaonesha ninyi mlilipa waandamanaji kati ya tshs 10000 na 40000. Na ukichukua ile idadi ya watu mil moja na mamvi utapata kiasi mlichopoteza. Kibaya zaidi mpka octoba mliowagawia watakuwa wameila na kuisha.
HEKIMA KUBWA MSHANA. HEKIMA KUBWABaada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo