Dhihaka ya karne: Eti wanataka kuhama CHADEMA

Dhihaka ya karne: Eti wanataka kuhama CHADEMA

Nakupa assignment. Fanya uchunguzi nini kilchokua nyuma ya mpango huu then you will judge philosophically and scientifically
Katika syllogism, lazima muwe na base ya arguments zenu (major premise). Sasa, base ya argument yetu hapa ni ipi? Homework uliyonipa lazima unipe terms of reference!
 
Hv kwanini baada ya haya maandamano kusitishw baada ya mashauriano inaonekana CCM ndio mmeumia sana? Mlikuwa na ajenda gani ya siri dhidi ya haya maandamano? Hii ni ishara kwamba CCM mlikuwa mmepanga kutenda jambo ovu ili kuipaka matope CHADEMA, hasa baada ya ile hujuma mliyofanya kule mbande kukosa mashiko.
 
Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo

Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti

-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)

Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA

Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana

CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi

Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa

Kupayuka payuka kumepungua

Utawala wa sheria unaanza kurejewa

Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa

Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo

CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA

CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa

CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
Mungu akubariki kwa kusema kweli.
 
1.CHADEMA ni vigeugeu
2.CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
3.CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa
Hakuna ubishi juu ya hayo matatu nyie ndo tabia zenu hizo kila mtu anajua

4. kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf

Ata Nyerere alisema chama sio baba yangu wala mama yangu kuhama chama ni rahisi tu kama kunywa maji.Zito Lowasa wote wamehama chama

5 Waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa.
Unawakana wenzako wa hapa jamii forum kweli nyie usaliti uko damuni, wenzio leo unawatenga kisa wanaongea ukweli.

6. Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana.
Hapa umechekesha kama hamkutaka kuandamana mlikua mnalialia nini?

7. Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa
Kupayuka payuka kumepungua
Utawala wa sheria unaanza kurejewa
Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa
Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumz
o
CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA

Uache Uongo hakujawahi tokea maamuzi ya kibabe nchi hii wala kupayuka wala utwala ambao hawafuati sheria. Utawala huu uko makini toka uanze ndomana mnabaki kulialia tu njiani.

Hakuna mtu wakuja kuwasikiliza nyie wahuni jifarijini tu Ikulu mtaisikia kwenye magazeti unafikiri ni utawala wa JK HUU. Endeleeni kuisoma namba.
Jamani hebu kuweni na mawazo pevu sometimes. Mnadhani ni vitu gani huwa vinaondoa amani ya nchi husika? Baadhi yake ni kama haya yanayotokea hapa Tz. Sio unasifia hata mambo yasio sahihi sababu tu eti mi mfuasi wa damu. Walikuepo wenye chama chao wameondoka wamekiacha.
 
katika kitu ambacho sitaki kusikia ni uongo mfano huu. Kila kitu kilijulikana kwa uwazi, kila mmoja alikuwa msemaji wa kile kilichopangwa kufanyika. Hata kabla Lowassa na hao mnaosema viongozi wa Dini kukutana na pande zote tayari ilishajulikana hakutakuwepo na kitu kinachoitwa Ukuta. Kuna wakati tujaribu kuukubali ukweli hata kama Unawaumiza wengi
 
Hv kwanini baada ya haya maandamano kusitishw baada ya mashauriano inaonekana CCM ndio mmeumia sana? Mlikuwa na ajenda gani ya siri dhidi ya haya maandamano? Hii ni ishara kwamba CCM mlikuwa mmepanga kutenda jambo ovu ili kuipaka matope CHADEMA, hasa baada ya ile hujuma mliyofanya kule mbande kukosa mashiko.
Walipania sana kuivuruga CHADEMA walishaandaa vijana watakaojipenyeza kwenye maandamano na kuyachafua kwa kila hali
 
waliouchoka uongozi wa magufuli kwa hii miezi michache aliyokaa pale ikulu wameumia sana mana walitaka vita na umwagaji damu walitaka kupitia mlango wa chadema bahat nzuri mbowe kaufunga mlimchagua wenyewe magufuli mtulie chadema walishausoma mchezo tangu lini maandamano ya amani yageuke uwanja wa mapambano CHADEMA AKILI NYINGI MZIKI WAO MTAUCHEZA TU.
Huu ujumbe, auone [HASHTAG]#lizabon[/HASHTAG]
 
barafuyamoto unataka tuishi kila kitu kwa nyakati zile zile? Kila kitu kina wakati wake mahitaji ya nyakati ni kitu cha kawaida
Nini maana ya maendeleo? Hatuwezi kuishi nyakati zile zile kufanya mambo yale yale na kutegemea kupata matokeo tofauti
Mbona huko kwingine hambaki nyakati za A B wala C ? Kila jambo lina wakati wake na matokeo kamwe hayawezi kuwa sawa

Utapeli wenu umefikia kikomo.
 
Harakati za kweli hazipo kwenye media, harakati za kweli zipo mtaani.
Kwenye media people brag a lot, mtaani tunafanya kweli.
A true revolutionary is never a quitter rather hutafuta a right moment to strike.
Hawa disciples Uchwara they shouldn't phase us, even Jesus had one but he kept on going.
What matters tulicho kua tunakipigania kimepata exposure, in one way or the other ujumbe umepokelewa.
[HASHTAG]#UKUTA[/HASHTAG] if you ask me, umefanikiwa kupeleka ujumbe uliokusudiwa despite kuahirishwa mpaka October Mosi.
 
Kuna watu wanataka eti mkipanga kitu basi kiwe hivyo bila ya kujali madhara take na hata iweje kwa ushawishi wowote ule hakuna wa kukibadirisha.
Watu wa aina hii hawafai kwenye agenda za makundi au vyama makini. Watu hawa wanafaa zaidi kusimama nyuma ya Mkulu Wa Kaya, maana ndiyo Mwenye mihemuko na Tabia hizo. Hivyo maadam wamegundua wasifu wao, basi waondoke tu huko walipo

Wakati Dj anapanga UKUTA hayo mambo hakuyaona? Utapeli wenu umefikia tamati.
 
Harakati za kweli hazipo kwenye media, harakati za kweli zipo mtaani.
Kwenye media people brag a lot, mtaani tunafanya kweli.
A true revolutionary is never a quitter rather hutafuta a right moment to strike.
Hawa disciples Uchwara they shouldn't phase us, even Jesus had one but he kept on going.
What matters tulicho kua tunakipigania kimepata exposure, in one way or the other ujumbe umepokelewa.
[HASHTAG]#UKUTA[/HASHTAG] if you ask me, umefanikiwa kupeleka ujumbe uliokusudiwa despite kuahirishwa mpaka October Mosi.

Mtaandamana?
 
Hahaha umeandika pumba tupu. Roho inakuuma kwa kuwa mmeshindwa kila kitu. Tuliwaambia Dj ni muongo. Sasa hela mmepoteza mlizokuwa mmehonga watu na watakuwa wameshazitumia mpaka octoba
Izo propaganda zakitoto sana mwenye akili haambiwiona pia izi zama sio zile sasaivi watu wanaelimu zao kichwani tunajua mbivu na mbichi mtu yoyote aliye upande wenu hayupo bure lazma atakuwa na maslai flani aitha cheo, kujipendekeza ili kupata cheo hakuna asiye jua jitaidi utapata cheo jitaidi
 
Hiyo Oktoba mosi hakutakuwa na lolote.

Ndo imetoka hiyo.

Wamembipu Ngosha naye akawaambia hebu jaribuni.

Well, mwisho wa siku tumeona kilichotokea. Wenyewe wamenyooka bila hata kupigwa virungu😀😀.

CHADEMA wamefilisika kimbinu, kifikra, kimwelekeo, na sasa wako mbioni kuelekea futi sita ardhini.
Yule mtaalam wa siasa aliyekuwa upande ule sasa YUPO upande huu,kwa kawaida mikakati yake huwa HAITABIRIKI na yeye si muongeaji sana so usitegemee ETI atarudia mbinu ya maandamano
 
Back
Top Bottom