Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Status
Not open for further replies.
Mkuu, Kwani wewe ambacho hapo hukifahamu ni nini ? Vatican sio nchi lakini wana Balozi wao hapa nchini weee unadhani anasimamia yapi hasa ?

Alafu usiwe mtu tu wa kulalamika mitandaoni fanya ka utafiti kidogo. Nikuulize kitu pale Kurasini baada ya kupita mivinjeni kama unakwenda kariakoo kabla ya kuikuta ile round about inapoanzia mandela road hapa nyuma kuna geti limeandikwa maandishi flani hivi alafu kuna nembo ya Taifa ( Bibi na Bwana ) kama ile iliyopo getini pale Ikulu. Umeshawahi kujiuliza kuwa ni nini kile ?

Basi acha kutoka mapovu huku mtandaoni na utafanye tafiti ! Mimi nakushauri kuwa hawa jamaa wako sahihi kabisaa !

Vatican City State (Stato della Città del Vaticano) ni nchi, kama ilivyo Iran na nchi nyingine za kiislam,
sioni tatizo kuwa na ubalozi na nchi hii.
 
hebu waacheni jamani, hao ni "wenzetu" hatupaswi kuwafanya lolote wanahaki ya kufanya watakavyo, wakati wao huu .... hadi malengo yatimie
 
Kaeni chonjo na TV Imaan ndio inakuja.
 
Mtoa mada huna akil kipind nimekisikiliza mwanzo mwisho tatizo lako umeweka ukafir mbele ulitaka wasiseme uonevu wanaofanyiwa waislam nina wasiwasi na elimu yako maana hata kuchanganua mada waliyoizungumza umeshindwa
 
Ritz hebu nisaidie kuwajibu hawa jamaa mimi bado nipo job nikitoka nakuja kukupa kampani,hatutakaa kimya kwa yyte ataeleta kejeli dharau kwenye dini yetu,tutapambana nao mpaka mwisho,maana inayosemwa serikali ambayo wao wanaona wao tu ndio wana haki yakuisema,akisema Mtei nchi haitawaliki huyo sio mchochezi,wakisema waislam kudai haki zao wachochezi,yaani udini umewakaa mpaka kwenye vidole vyao,wao hapa kutwa wanaikosoa hyo serikali ila kwao sawa waislam wachochezi

Mkuu hawa jamaa sijui kwa nini wanawachukiwa waislam kiasi hicho...kama hawajosoma, wajinga, elimu yao ya madrasa, wapuuzi, nyie kinawauma nini hivi kweli mtu ambaye hakusoma unaangaika nae wa nini? tumewazoea mkuu hawajijui tu wanazidi kujiweka mbali na jamii ya Kiislam, mie binafsi napenda waendelee na kejeli na dharau dhidi ya Uislam.
 
Hawa jamaa ebu wajiulize ni shule ngapi za madhehebu ya kidini ya kikiristo wamesoma bila kubaguliwa.Hata kwenye vyuo vikuu vya kikristo nana anawabagua.Wajiulize wao kama wo wanachjangia kwa kiasi gani katika kuwekeza ktk elimu.

Pia watueleze ni kiongozi gani wa kidini anaehudumiwa na serikali zaidi ya mufti.
 
[h=2]Latest News[/h] Media Latest News
RADIO IMAAN LIVE ONLINE
All Praise be to Allah (Glorified and Praised be He) We had many people from all over the world sending us E-mail wishing that Radio Imaan (an Islamic radio station in Tanzania broadcasting Islamic knowledge in Kiswahili Language) to be...



Media Latest News
TV IMAAN FUNDRAISING EVENT IN TANZANIA NATIONAL STADIUM
Alhamdulillah Chairman Brother Aref Al Nahdi signed a contract worth 1.428 billion shilling (US$ 850,000) on behalf of TV IMAAN and Director of iSAT Mr Rakesh Kukreja on behalf of the company awarded as satellite service provider at FAIRMONT...



Da'wah Latest News
AFRICA TO GAZA CONVOY
A group of volunteers lead by Sheikh Waleed al-Sa'di (may Allah subhana wa ta'ala reward them all) are fortunate to be among the first people in the history of Islam to travel overland from south Africa to GAZA. Moreover, we THE ISLAMIC...



Da'wah Latest News
SH. DR. MUHAMMAD AL ARIFI MEETS CHAIRMAN OF THE ISLAMIC FOUNDATION
SH. DR. MUHAMMAD AL ARIFI meets the trustee and chairman of THE ISLAMIC FOUNDATION SH. AREF AL-NAHDI



Da'wah Latest News
Mobile Studio and Cinema
We were silent and patient for a while…NOW THE ISLAMIC DA’WAH HAS GOT IT’S MOMENTUM!!!
ALHAMDULLILAH
This is a Mobile Studio and cinema. It has 4000 watts of speakers, a stage, backstage with seats for the guest, mobile studio, a...



Da'wah Latest News
Visitors for Muslim World League
Asalam waliekum warahmatullahi wabarakatu
On friday 03/06/2011 Two guest from the World Muslim League Organization in Saudia Arabia Dr. ustadh Ahmed As-Shidi and Dr. Yusuf Al-‘Aqeel who both are professional.
 
Na hawa vipi wanaitwaje?

Chadema+na+Idd+3..JPG



Kuchukua+chakula.JPG
Hata yuda alikuwa na yesu lakin alimsalit kwa hyo padri slaa kula na waislam eti wanasherehekea iddy ni unafk 2
 
Mkuu, Kwani wewe ambacho hapo hukifahamu ni nini ? Vatican sio nchi lakini wana Balozi wao hapa nchini weee unadhani anasimamia yapi hasa ?

Alafu usiwe mtu tu wa kulalamika mitandaoni fanya ka utafiti kidogo. Nikuulize kitu pale Kurasini baada ya kupita mivinjeni kama unakwenda kariakoo kabla ya kuikuta ile round about inapoanzia mandela road hapa nyuma kuna geti limeandikwa maandishi flani hivi alafu kuna nembo ya Taifa ( Bibi na Bwana ) kama ile iliyopo getini pale Ikulu. Umeshawahi kujiuliza kuwa ni nini kile ?

Basi acha kutoka mapovu huku mtandaoni na utafanye tafiti ! Mimi nakushauri kuwa hawa jamaa wako sahihi kabisaa !
Nani alikwambia vatican sio nchi? Vatican ni nchi na ndiyo maana inamabalozi na rais wake akienda popote duniani anapokelewa na rais wa nchi husika na hupiiwa mizinga 21. Tatizo watu mnakurupuka tu bila kufanya uchunguzi. Vatican ni serikali nzee kuliko zote duniani. Mimi sina matatizo na radio Iman kwani inatimiza malengo yake ya kulalamika na kudanganya waislam kuwa tatizo ni wakristu wakati tatizo ni waislam wenyewe na kusalitiana kwao. Nimesema mara nyingi kuwa waislam wa bongo hawausadii uislam bila wanautumia uislam kwa maslahi binafsi. Na nawashauri mkitaka kweli kuusaidia uislam imarisheni vitu viwili kwanza, shule za watoto wa kiislam, na vituo vya afya kwenye maeneo ambayo wote tunajua kuna waislam wengi. Upuuzi wenu wa kuteuana kila nafasi halafu baadaye mnaanza kulalamika eti kuna mfumo kristu, si muubadili? Au mnasubiri aje rais mkristu afanye aliyefanya muislam mwenzenu ndoo mfumo utabadilika? Acheni kulalamika na kufanya mabadiliko feki aka cosmetic change. Aina ya waislam mliopo Africa ya Mashariki nikilinganisha na wenzetu wa Africa ya magharibi naona nyie wa huku there is something wrong kidogo somewhere
 
Sasa kuptia makadhi mbna wenzenu somalia wanauana

Hiyo ndiyo mojawapo ya tofauti kati ya waislamu na dini nyingine, kama huwezi kufanya research basi hata kufuatilia vyombo vya habari huwezi? nani kakwambia kuwa Somalia wanauana kupitia makadhi? au ndiyo ile ile tabia yenu ya kufikiri na kusema kiudini zaidi halafu hamjioni?
 
Tanzania udini upo kwenye akili za wanasiasa wavivu wa kufikiri. Mitaani hatuna udini. Hata Dr. Njozi mmoja ya waislam maarufu nchini alishakiri hili kwa kusema yalipotokea maauaji ya mwembe chai watoto wa waislam walihifadhiwa kwenye familia za wakristu.
Mimi majembe yangu kibao ni waislam na hata nani yaani ambao tunaelewana vizur na kunanii yale mambo yetu anayosema Joti waislam ndoo zangu. Na muislam mmoja namuonaga na dada wa best wangu nadhani ni yale yale. Wanasiasa jengeni hoja msituchafulie nchi
 
Hawa jamaa ebu wajiulize ni shule ngapi za madhehebu ya kidini ya kikiristo wamesoma bila kubaguliwa.Hata kwenye vyuo vikuu vya kikristo nana anawabagua.Wajiulize wao kama wo wanachjangia kwa kiasi gani katika kuwekeza ktk elimu.

Pia watueleze ni kiongozi gani wa kidini anaehudumiwa na serikali zaidi ya mufti.

Hivi kumbe hili ulilosema kwa rangi nyekundu mnalijua? mbona hamlipingi miaka yote hiyo ila mahakama ya kadhi na sensa ndiyo mnaona hela ya walipa kodi inatumika kuhudumia dini. Kuna nini nyuma ya pazia mpaka hili mnakubali tena kiulaini?
 
Kasome kitabu kinachoitwa kanisa katoliki na siasa za Tanzania,kilichoandikwa na padri Syvalon ndio utajua kwanini radio imaan wanazungumza wanayozungumza.

.
Mbona hayo tumeyasikia toka enzi za kina marehem sheikh Ngaliba na kina marehem Mazige? Ni watu wenye kuongea mambo ya kukaririshwa bila kuwa na ufahamu wa wanachokiongelea.
Sasa labda tujaribu kuuliza waislamu wanapolalamikia kitu wanachoita mfumo kristo ni chama gani kimeasisi huo mfumo? Na je watawala waliopo(top five) nchini kwa sasa kutokea hicho chama wanatokea dini gani? Bado hao hao wenzao wanaendelea kutowapa haki? Na je kuna harakati zozote za makusudi kwa waisilamu kukiondoa hicho chama madarakani? Si ni hao hao waislamu waliohimizana misikitini kumnyima kura Muisilamu mwenzao Lipumba na kwa nia ya kumuokoa mkristo? Mwenzao Jk? Tukisema kuwa waislamu ni mazu-zu wanaoamini wasichokitenda na kutenda wasichoamini tuna makosa? Mpaka hapo hawa watu watakaposhinda vita ya iliyo ndani ya nafsi zao wenyewe(njaa kali) hawataweza kujitambua na kuanza kupigana vita yenye maslahi mapana kwa umma mpana zaidi.
Hako karedio imani kameachwa kabwabwaje maana serikali inawajuwa kuwa ni watu wasi madhara. Hawamaanishi kile wanachohubiri. Lakini nakuhakikishia kama ingelikuwa ni radio ya kikristo ingeshafungiwa siku nyingi. Maana ni lazima serikali ihofu kwa hizo kauli maana watakuwa wakijua kuwa zinatolewa na mtu mwenye akili timamu na anaemaanisha kila anachosema.
.
 
hivi nyie ndio mulio soma?
bora sie kama tumepata kusoma ni kwa akili zetu, lakini kusoma kwa kusukumwa na NECTA, Kukopia mitihani kusaidiwa tena mpaka huko vyuo vikuu , tumepita huko tunajua mnavonunua degree, tunajua mnavopewa mitihani
leo 90% ya serikali inaongozwa na hawa na ndio wanatufikisha hapa..hasara ilioje...utaliona jitu ati linaongea kiingereza ndo limesoma..dah....
kwa ufupi hii mipango ya kujipendelea imesababisha nchii hii kufa ama kurudi nyuma ..badala ya kuendela ..wenzetu wanasonga mbele sisi tunarejeshwa nyumba ....sometimes huwa naona kinyaa kuwaona hawo wasomi kwenye midahalo wanavo ongea utumbo...
hamna cha kujidai....labda kuvaa suti ndio kuelimika lol
Aisee, kweli nimeamini propaganda mbaya sana. Yaani mmelishwa uwongo huu kupitia mawaidha kwenye nyumba zenu za ibada nanyi mmeamini hivyo!!!!! Kwa kweli ukombozi wa kwanza mnaohitaji waislam ni wa fikra. Bila kupata ukombozi huo, mtaendelea kulalamika tu.
 
Waislam hamjamtambua adui yenu. wakristo si adui yenu kama mnavyo aminishwa,
wote kwa pamoja wakristo na waislam mna adui mmoja anayewaasumbua, jitafutieni
maarifa nanyi mtapata utambuzi juu ya adui yenu. adui yenu ni 'Mtawala wa ulimwengu
huu' TAFAKARI!
 
Thursday, 27 May 2010 10:21 0diggsdigg

Mtikila alisema kuwa kuzinduliwa kwa jukwaa hilo ni kuzaliwa kwa tatizo kubwa kwa Rais Jakaya Kikwete na kumtaka ajihadhari, akidai kuwa ajira yake sasa ipo kwenye "danger zone (sehemu ya hatari).”
Mtikila, ambaye ana ujasiri wa kutoa kauli zisizo na simile, alisema jukwaa hilo ni gharika kubwa kwa Rais Kikwete kwa sababu alizodai kuwa kiongozi huyo wa nchi ni adui mkubwa wa Ukristo.

“Wakristo nchini tupo milioni 27 hivyo ajira ya JK hivi sasa ipo shakani," alisema.
Viongozi wa makanisa ambayo yalishirika katika kuunda jukwaa hilo ni pamoja na Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (Tec), Jumuiya ya Makanisa ya Kikristo (CCT) na Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (PCT).
Ndugu mtanzania upo sahihi theoretically lakini practically hicho hapo juu nilichohighlight kwa red ndo kinachotendeka. tafakari, chukua hatua.

Haya ndio mawazo duni aliyoyasema mwanzisha mada. Hebu fikiri wewe mwenyewe halafu jipe majibu:
1. Una ugeni na Mtikila?
2. Lini ulisikia Mtikila akashirikiana na maaskofu wa makanisa mengine?
3. Kama TEC na CCT walishiriki kuandaa huo waraka, iweje wasiwe nao mpaka waugombanie kutoka kwa Mtikila?

Kama una akili angalau kidogo, utakubaliana na mimi kuwa Kanisa Katoliki haliwezi kukosa fedha chache za kutoa photocopy waraka huo na kuusambaza majimbo yote Tanzania kama unatuhusu.

Pili nikukumbushe (au nikufahamishe) kuwa Kanisa Katoliki haliyatambui makanisa hayo uliyoyaorodhesha linapokuja suala la MIFUMO na UENDESHAJI. Ni kanisa la Anglican tu ndio linaweza kukaa na RC meza moja kuhusu mifumo kwani Anglican ni mmeguko wa RC ambao unatambulika kimfumo.

Mtikila is always wise. If you can not convince them, confuse them. And he did
 
Hivi kumbe hili ulilosema kwa rangi nyekundu mnalijua? mbona hamlipingi miaka yote hiyo ila mahakama ya kadhi na sensa ndiyo mnaona hela ya walipa kodi inatumika kuhudumia dini. Kuna nini nyuma ya pazia mpaka hili mnakubali tena kiulaini?

Mnapolalamika muangalie.Kwanini msilenge kujitegemea?

Haya ni mambo ya kiimani na serikali yetu haina dini.
 
Mkuu, Kwani wewe ambacho hapo hukifahamu ni nini ? Vatican sio nchi lakini wana Balozi wao hapa nchini weee unadhani anasimamia yapi hasa ?

Alafu usiwe mtu tu wa kulalamika mitandaoni fanya ka utafiti kidogo. Nikuulize kitu pale Kurasini baada ya kupita mivinjeni kama unakwenda kariakoo kabla ya kuikuta ile round about inapoanzia mandela road hapa nyuma kuna geti limeandikwa maandishi flani hivi alafu kuna nembo ya Taifa ( Bibi na Bwana ) kama ile iliyopo getini pale Ikulu. Umeshawahi kujiuliza kuwa ni nini kile ?

Basi acha kutoka mapovu huku mtandaoni na utafanye tafiti ! Mimi nakushauri kuwa hawa jamaa wako sahihi kabisaa !

Vatican sio nchi? Na huyu ndo mtu anayehimiza "usiwe mtu wa kulalamika mitandaoni fanya ka utafiti kidogo".

I have argued before that the very idea of a nation state as instituted by the Westphalia Treaty after The Thirty Years War is rooted in the traditions of Christendom Europe, therefore, in so far as that is concerned, all nation states, and more importantly, the bodies and rules of conduct governing them under that illusive umbrella of "the international community" are inherently a product of some politicized basic tenets of Christianity.

Narudia maneno yako mazuri uloshindwa kuyatekeleza, kabla ya kuandika, soma. Kabla ya kusema, sikiliza.
 
Hawa ndio wafusi wa Chadema wanahamini kabisa ndani ya Chadema hakuna Waislam...mkuu Mkandara jamaa zako hawa hivi kweli tatakuwa wamoja kwenye kupambana kudai haki zetu.

Mkuu Chadema inahusika vipi hapo? fafanua.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom