Sema Chilo
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 324
- 25
Naogopa ugomvi wa kidini sana kwani hata mke wangu anaweza kuniua kwani tumeoa waislaam jamani TUACHE HII HABARI
serikali ndio inayowatuma wewe unategemea nini? Sasa unashindwa nini kuelewa serikali inangozwa na viongozi wote wa kiislamu halafu bado wanalalamika je wanataka wakristo tuhame? Ukweli ni kuwa hawa mashehe wanatumwa na kina bilal na mrisho ili kuukandamiza ukristo.
Mkuu si umwage kila kitu ili tuweze kufahamu!Mkuu, Kwani wewe ambacho hapo hukifahamu ni nini ? Vatican sio nchi lakini wana Balozi wao hapa nchini weee unadhani anasimamia yapi hasa ?
Alafu usiwe mtu tu wa kulalamika mitandaoni fanya ka utafiti kidogo. Nikuulize kitu pale Kurasini baada ya kupita mivinjeni kama unakwenda kariakoo kabla ya kuikuta ile round about inapoanzia mandela road hapa nyuma kuna geti limeandikwa maandishi flani hivi alafu kuna nembo ya Taifa ( Bibi na Bwana ) kama ile iliyopo getini pale Ikulu. Umeshawahi kujiuliza kuwa ni nini kile ?
Basi acha kutoka mapovu huku mtandaoni na utafanye tafiti ! Mimi nakushauri kuwa hawa jamaa wako sahihi kabisaa !
Mkuu, Kwani wewe ambacho hapo hukifahamu ni nini ? Vatican sio nchi lakini wana Balozi wao hapa nchini weee unadhani anasimamia yapi hasa ?
Alafu usiwe mtu tu wa kulalamika mitandaoni fanya ka utafiti kidogo. Nikuulize kitu pale Kurasini baada ya kupita mivinjeni kama unakwenda kariakoo kabla ya kuikuta ile round about inapoanzia mandela road hapa nyuma kuna geti limeandikwa maandishi flani hivi alafu kuna nembo ya Taifa ( Bibi na Bwana ) kama ile iliyopo getini pale Ikulu. Umeshawahi kujiuliza kuwa ni nini kile ?
Basi acha kutoka mapovu huku mtandaoni na utafanye tafiti ! Mimi nakushauri kuwa hawa jamaa wako sahihi kabisaa !
Radio Iman ni wachochezi,na bila shaka kuna mkono wa serikali nyuma yake,la sivyo ingekuwa imefungiwa tayari.
Yaani kuwambia Waislam wapiganie haki yao ni huu uchochozi...hakuna kosa hapo uwoga wako tu.
serikali ndio inayowatuma wewe unategemea nini? Sasa unashindwa nini kuelewa serikali inangozwa na viongozi wote wa kiislamu halafu bado wanalalamika je wanataka wakristo tuhame? Ukweli ni kuwa hawa mashehe wanatumwa na kina bilal na mrisho ili kuukandamiza ukristo.
Haki ipi? Wapi ambapo mwislamu kaonewa?