mnyanyaswaji
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 478
- 118
Ingekuwa gazeti fulani au chama fulani, hivi ninavyoandika kingekuwa korokoroni tayari!!!
Waislamu hawafungamani na upande wowote. Na kama ukitaka kuamini we sogea Ijumaa moja misikiti ya waislamu sio ya Bakuata utasikia kama wanatetea uovu wa viongozi hata kama ni muislam. Hamna anayetetewa akikosea anapewa makavu ndio dini yetu uislamu unavyotaka zungumza ukwelu.
Acha inferiority complex eti redio haifungiwi sababu may be rais,igp,makamu ni waislam. Wanachozungumza waislam wana ushahidi na ukifungia kwa ubabe hatutakubali, kama mwanahalisi ni wanyonge haina maana nasisi ni wanyonge, la msingi hapa ni vipi utatea haki yako ikiporwa kimabavu.