Deutch Welle yaanza uchochezi

Deutch Welle yaanza uchochezi

Mheshimiwa aunganishe kituo hicho pamoja na yale magazeti mawili ambayo siku zao zinahesabika
 
We kahaba umeandika kitu gani hapa,tunahukumu kwa kigezo kipi,unaleta vitu robo robo kwa kujipendekeza tu.
 
We ushuz umecoment ushuz gan we ni ushuz kweli kweli
Ukiona mtu anaijadili ID ya JF ujue upeo umefikia kikomo kabsa,Akili zako ni Finyu sana ungekuwa unajua maana ya nanyupu kwa kibantu ungehamia kwenye tundu la choo ukajifiche,Njaa ya Ukuu wa wilaya umekufanya ujitoe Fahamu na kudhani DW ni kama radio Magic baba yako ataifungia kama ww unavyofungiwa ndani na mmeo. Peleka ujinga wako kwa wijanga wenzako.
 
Ukipenda lia kabisa kiongoz wangu
Wewe lazima utakuwa ni kilaza namba one unatumia mbinu za 1923 kujipendekeza kwa mkulu, umeona utoke na DW angalau upoze njaa zako,nenda kaolewe na lipumba hana mke upate kumaliza njaa zako huko,Ukuu wa wilaya hupati huna Akili ya kuongoza watu ww.
 
nanyupu-a.k.a kilaza wa 2017 Kajinga sana kanadhani watanzania ni wajinga kama kenyewe,kemesahau kuwa wananchi wa sasa wapo makini wanajua kutafakari kila jambo na Ukweli wanaujua na propaganda za kujipendekeza wanazijua hata mbinu za kusaka vyeo toka kwa mkulu wanazijua, nanyupu jiongeze buni mbinu mpya kwani mbinu zako za sasa ni Analogia sana peleka kwa wajinga wenzako watu wanaipenda DW na kwa Akili yako ndogo usidhani itafungiwa.
 
Ukiona mtu anaijadili ID ya JF ujue upeo umefikia kikomo kabsa,Akili zako ni Finyu sana ungekuwa unajua maana ya nanyupu kwa kibantu ungehamia kwenye tundu la choo ukajifiche,Njaa ya Ukuu wa wilaya umekufanya ujitoe Fahamu na kudhani DW ni kama radio Magic baba yako ataifungia kama ww unavyofungiwa ndani na mmeo. Peleka ujinga wako kwa wijanga wenzako.
Nanyupu ni kijiji ambacho kiko huko inchi ya mbali
 
Define uchochezi, na wamesema nini maana wengine hatujasikia
 
Kituo cha habari cha DW kimeanza tena uchochezi wake. Hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habari nchini kuingilia mambo ya ndani ya serikali. Mara nyingi sana kimekua kikimfukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumla.

Nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habari zake za uchochezi.
nasubiria umalize kuandika nicomment
 
nanyupu-a.k.a kilaza wa 2017 Kajinga sana kanadhani watanzania ni wajinga kama kenyewe,kemesahau kuwa wananchi wa sasa wapo makini wanajua kutafakari kila jambo na Ukweli wanaujua na propaganda za kujipendekeza wanazijua hata mbinu za kusaka vyeo toka kwa mkulu wanazijua, nanyupu jiongeze buni mbinu mpya kwani mbinu zako za sasa ni Analogia sana peleka kwa wajinga wenzako watu wanaipenda DW na kwa Akili yako ndogo usidhani itafungiwa.
LINGEKUWA GAZETI LA MACHEO LINGEFUNGIWA HADI MATOLEO YA MWAKA ULE SASA KWA DW KINA CHA MAJI NI KIREFU
 
Dw na yale magazeti mawili yanayomsumbua malaika wetu yafungiwe tu!tubakina uhuru na habari leo
 
Ningekua karibu ningekunasa vibao shenzy ww unaleta unafk hapa
 
Kituo cha habari cha DW kimeanza tena uchochezi wake. Hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habari nchini kuingilia mambo ya ndani ya serikali. Mara nyingi sana kimekua kikimfukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumla.

Nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habari zake za uchochezi.
Inawezekana kabisa mkuu hujui hata DW ni kitu gani
 
Kituo cha habari cha DW kimeanza tena uchochezi wake. Hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habari nchini kuingilia mambo ya ndani ya serikali. Mara nyingi sana kimekua kikimfukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumla.

Nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habari zake za uchochezi.
Ngoje kije kufungiwa na mtukufu wetu wanadhani hata kama ni cha nje tutaogopa?
 
Back
Top Bottom