Deutch Welle yaanza uchochezi

Deutch Welle yaanza uchochezi

DW huenda ndio ikawa kimbilio letu la mwisho kupata habari baada ya vituo vyote nchini kufungwa.
 
Sijui mmemuelewaje mleta mada? Naona 99% hamjamuelewa
 
Kituo cha habari cha DW kimeanza tena uchochezi wake. Hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habari nchini kuingilia mambo ya ndani ya serikali. Mara nyingi sana kimekua kikimfukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumla.

Nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habari zake za uchochezi.
Nadhani we bado mpya sana kwenye DW, kile Kituo si cha kipuuzi kiasi hicho, always they are straight forward, huwa hawana longolongo kama vituo mlivyo zoea, si maanishi kuwa they are perfect for 100% ila asilimia kubwa wanachambua uhalisia bila kujali ni nani Wanamchambu, unaposema ni wachochezi hebu weka wazi ni wapi wamechochea?
 
Uchochezi ni nini? Hilo neno uchochezi linatumika vibaya sasa,inapaswa Neno uchochezi lilaniwe maana sasa Neno Uchochezi linatumika kuharalisha uzushi,Uonevu na hata Uongo kila mjinga akiona CCM inakosolewa anakimbilia kukariri Neno uchochezi, tambua kuwa Watanzania wa sasa wapo makini kwani hawachochewi kirahisi pasipo kutafakari hivyo Neno uchochezi hawalitaki maana halina maana yeyote kwenye kipindi hiki cha njaa na uonevu wa kuzuia mikutano ya siasa.
Hii nadhani wanafanya makusudi kwa sababu psychologically unarudia rudia neno/maneno frequently huku ukiwa unabadilisha maana ili kukidhi matakwa yako hii Ina affect in subconscious level so by the time watu wanazoea maana bila kujali maana halisi.
 
Acha kutafuta umarufu kupitia mgongo wangu we dume suruali
umaarufu gani sasa???
tatzo unaandika shudu af thread zako hazina kichwa wala miguu...siwez kuwa mnafki kwa kuongea ukweli...
by the way jina lako linasadifu mawazo yako...*unanyupua tu..
 
Kituo kifungiwe,wahusika wote wa kamatwe wakaungane na Lema kisongo.
 
DW huenda ndio ikawa kimbilio letu la mwisho kupata habari baada ya vituo vyote nchini kufungwa.
Tangu lini mzungu akawa kimbilio kwa mwafrika? WAULIZE WALIBYA AMBAO WAMEISHIA KUWA WAKIMBIZI. ...Kuna kawimbo tulikuwa tunaimba shule Enzi za Nyerere wakati wa halaiki: .....HUU NI MWITO KWA WATANZANIA. .WANANCHI MSIFADHAIKE. .NA MTU ASIYEJUA KUFA. .MWAMBIE AONE KABURI. ..WAKOLONI WASIJE KURUDI. .WANANCHI TULINDE TAIFA. .TANZANIA. ...ulikuwa ni uwimbo mzuri. ..na zilikuwa ni nyingi sana...
 
DW ni chombo huru.Hakiwezi kupewa shinikizo.
Ukitaka kupata habari ambazo hazijachujwa na sahihi sikiliza VOA , DW na BBC.
Humu nchini hakuna tena uhuru wa habari.Taarifa za Bunge,mikutano ya siasa na vyombo vya habari vimeminywa wakati tuna haki ya kikatiba ya kupata habari.
Yule dikteta wa Gambia nae ameshavifungia vyombo vinne vya habari.
 
Tangu lini mzungu akawa kimbilio kwa mwafrika? WAULIZE WALIBYA AMBAO WAMEISHIA KUWA WAKIMBIZI. ...Kuna kawimbo tulikuwa tunaimba shule Enzi za Nyerere wakati wa halaiki: .....HUU NI MWITO KWA WATANZANIA. .WANANCHI MSIFADHAIKE. .NA MTU ASIYEJUA KUFA. .MWAMBIE AONE KABURI. ..WAKOLONI WASIJE KURUDI. .WANANCHI TULINDE TAIFA. .TANZANIA. ...ulikuwa ni uwimbo mzuri. ..na zilikuwa ni nyingi sana...
Huyo anajua mzungu ndo kimbilio kwa sababu alimuletea din na lugha ya malikia
 
Kituo cha habari cha DW kimeanza tena uchochezi wake. Hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habari nchini kuingilia mambo ya ndani ya serikali. Mara nyingi sana kimekua kikimfukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumla.

Nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habari zake za uchochezi.
Nina hasira sana tena shingo imevimba wemesemaje tena ngoja tukifungie maana wanavuka mipaka
 
Kituo cha habari cha DW kimeanza tena uchochezi wake. Hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habari nchini kuingilia mambo ya ndani ya serikali. Mara nyingi sana kimekua kikimfukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumla.

Nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habari zake za uchochezi.
Na wewe acha unafiki hakuna mtukufu au Mtakatifu chini ya mbingu
 
Back
Top Bottom