Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,500
Huu mwaka tutashuhudia taka ngumu kweli kweli...DW ya nchini...tehe tehe tehe!
Kituo cha habari cha DW kimeanza tena uchochezi wake. Hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habari nchini kuingilia mambo ya ndani ya serikali. Mara nyingi sana kimekua kikimfukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumla.
Nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habari zake za uchochezi.
Wamechochea nini?na wapi?Kituo cha habari cha DW kimeanza tena uchochezi wake. Hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habari nchini kuingilia mambo ya ndani ya serikali. Mara nyingi sana kimekua kikimfukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumla.
Nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habari zake za uchochezi.