ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
Hii hali ya watu kama hawa inasikitisha kwa kweliHuyo anajua mzungu ndo kimbilio kwa sababu alimuletea din na lugha ya malikia
Hii hali ya watu kama hawa inasikitisha kwa kweliHuyo anajua mzungu ndo kimbilio kwa sababu alimuletea din na lugha ya malikia
Habari yako haijakamilika, DW wamechochea nini?Kituo cha habari cha DW kimeanza tena uchochezi wake. Hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habari nchini kuingilia mambo ya ndani ya serikali. Mara nyingi sana kimekua kikimfukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumla.
Nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habari zake za uchochezi.
Mwenye Enzi Mungu atuongoze. ..maana Libya ilivyo kuwa na sasa. .eeh MOLA tuepushe. ..Kuna video inapita kwenye what's up kuhusu mlibya mmoja anamshukuru Tony Blair kwa kumwondoa Ghadafi. ..bahati kuna mzungu mwingine aka blast kweli kweli huyo mlibya anaishi uwingereza miaka yote. ..hiyo video ni ndefu sitaweza kuweka humu. ..lakini it was a lesson learned. ..Na ndo wanajifanya wasomi kisa wanajua lugha ya malikia
Mkulu akitumbue tu hakuna jinsi nyingine.
Watumbueni na ikiwezekana kifungiwe kama mnaubavu.. mmezoea na sasa mmepatikana. Ngoja wakaze kamba mpaka kieleweke kwa watawala madikitete.nanyupikiwezekama k300519 said:Kituo cha habari cha DW kimeanza tena uchochezi wake. Hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habari nchini kuingilia mambo ya ndani ya serikali. Mara nyingi sana kimekua kikimfukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumla.
Nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habari zake za uchochezi.
Sio cha hapa ila kina watangazaji hapa na kinasikika hapa. Kikifungiwa maana yake hakitatangaza hapa kwa ruhusa ya Serikali yetu, bali kitatangaza kwa frequency za kimataifa.Acha bangi dogooo DW; nani amekwambia cha TZ.
Kama nakuona unavyokong'oliwa na msongo wa mawazo siku ifuatayo itakuaje???
Huyu mleta mada ni punguani kabisa kwa akili yake anajua DW ni kituo kilichopo na kinachomilikiwa hapa tanzaniaKuna watu bora mkae tu bila kuanzisha thread, kumbuka hamlipwi.
Uandishi mbovu, unamshitaki mtu bila kutaja kosa, watu design yako wamejaa sana nchini ndiyo maana kwenye index ya nchi za watu wenye akili tunachukuliwa kama tuna IQ ya chini sana.
Ni mshamba sanaKwanini mkuu
Ni mshamba sanaKwanini mkuu
Ni mshamba sanaKwanini mkuu