Deutch Welle yaanza uchochezi

Deutch Welle yaanza uchochezi

We ni kiuno kweli kweli hujui kama kinga ni bora zaid kuliko tiba hii tunachukua tahadhali mapema kabla mambo hayajaenda kombo
We ling'ombe kwelikweli, hiyo DW ipo Tanzania!!!?,yaani inaonesha kwako huna hata kiredio ni aibu kujinasibu ni mzalendo hujui hata dw ipo wapi.Kweli wewe ni kivutio cha watalii
 
Tatizo umekalili kila anayekosoa kitu ni upinzani,wengine tuko ccm tena wanufaika haswaaa lakini panapobidi ni kuelekezana ili tujenge Tz ya kesho,sasa wew kazi kunywa komoni na kusifiasifia hata panapoharibiwa ndo ninyi mnaturudisha nyuma.
Oky ngoja mimi niendelee kunywa juice
 
Nitakifunga mara moja..sio hicho tu, tena viko viwili!
 
We ling'ombe kwelikweli, hiyo DW ipo Tanzania!!!?,yaani inaonesha kwako huna hata kiredio ni aibu kujinasibu ni mzalendo hujui hata dw ipo wapi.Kweli wewe ni kivutio cha watalii
Acha kutafuta umarufu kupitia mgongo wangu utapotea dogo mi sio wa matopen kama wewe na familia yako jiangalie sana kijana
 
Wewe ndo unakurupuka unataka umaarufu kupitia uchonganishi wako wakipuuzi,kwanza utanipotezaje!!!!.bila shaka nilichawi wewe coz wachawi wengi wanakimbiaga shule kama wewe,usikichafue chama chetu pendwa hakina mambumbumbu kama wewe.
 
Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
kuna yule mama mzee mtangazaji wa dw mwenye asili ya znz wakati wa uchaguzi mwaka juzi alidai kutekwa nyara. nadhani ndio wanalipiza kisasi kuichafua serkali ya tz
 
Wapuuzi sana hawa
 
Yuko wapi yule aliyempongeza Magu kwa Kuleta kupatwa kwa Jua, amwombe Magu aifunigie DW! (Deutsche Welle) Aka Sauti ya Ujerumani.
 
Wewe ndo unakurupuka unataka umaarufu kupitia uchonganishi wako wakipuuzi,kwanza utanipotezaje!!!!.bila shaka nilichawi wewe coz wachawi wengi wanakimbiaga shule kama wewe,usikichafue chama chetu pendwa hakina mambumbumbu kama wewe.
Endelea kunifata fata we ma ta ko
 
Neno "Uchochezi" ni Lugha ya Matusi inayotumiwa Kumtukana na Kutaka Kumnyamazisha Kila Mtanzania mwenye Mawazo ya Kudai Demokrasia, Matusi kwa Kila anayedhani na Kudai heshima kwa Katiba, Matusi kwa Mtanzania anayedai UHURU wa Mwananchi na Ni Matusi kwa wanaolilia Utawala wa Sheria na Kupinga Udictator Novice!

Neno Uchochezi na Madai yanayosukumwa kwa Kutumia Neno hili, Ni sala Maalumu ya Chama Cha Mafisi, (sio wote) Kwa Mashetani wao! Na Mazimwi wala Mifupa, Nyama na Waumiani wa Damu na Haki ya Wanyonge!
 
DW ni waelewa, wanauwezo wa kureason mambo . Siyo washabiki tu bila kupembua mambo , kuna mambo raisi anafanya vizuri sana , lakini vile vile kuna mambo anakose sana , hapa tanzania wanawefunga midomo ya kukosoa , unategemea hata ulaya ana uwezo wa kuwafunga mdomo , wewe mtoa mada ufuatilii mambo ya Trump Marekani anavyo andamwa na vyombo vya habari au kizungu hakipandi
 
Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
Raisi wetu mpendwa lkn yeye hatupendi,hasikii vilio vyetu,kila akiambiwa yeye anakataa tu.
 
Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
Nakushauri uunganishe wenzako wote kupiga vita udikteta na kejeli za kiongozi mkuu kabla ya kuandika huu utumbo
 
weka hat
Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
weka hata cituo na mikato basi.Halafu sema walichosema kikaonekanani uchochezi kwako,ili nasi tujiridhishe ndo sasa tukuunge mkono au kukukatalia
 
Back
Top Bottom