Solwa Yangu
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 223
- 113
Punguza hasira mkuu, achana na huyu mvuta bangi. Tatizo wanavuta na mbeguUlidhani kila MTU ni Uhuru na Mzalendo??Nenda kafie mbali waache waseme ujinga wenu
Punguza hasira mkuu, achana na huyu mvuta bangi. Tatizo wanavuta na mbeguUlidhani kila MTU ni Uhuru na Mzalendo??Nenda kafie mbali waache waseme ujinga wenu
Huyu jamaa tatizo elimu, sijui anataka apelekewe mwalimu wake nyumbani!!. Elimu bure, madawati yapo ya kutosha lakini bado hupendi kusoma.....kalibuni=karibuni
acha kutuharibia lugha yetu ebooo!
Kaka hawa tukiwaendekeza watatupanda juu vichwa.Watoto wa mjini wanasema wataupa mimba zisizo na baba.Dawa.yao hawa ni.kuwapa tu .Punguza hasira mkuu, achana na huyu mvuta bangi. Tatizo wanavuta na mbegu
Kweli aisee, wanazingua sana hawa watu.Kaka hawa tukiwaendekeza watatupanda juu vichwa.Watoto wa mjini wanasema wataupa mimba zisizo na baba.Dawa.yao hawa ni.kuwapa tu .
Madiliko ndo mdudu gani huyo? Nenda shule kasome rafiki siku hizi elimu ni bure na madawati yapo huwezi kukaa chini.Haya 123 zungusha sema lowasa madilikoo kakojoe ulale
Shida ya bangi ndo hii, vuta kwa kiasi halafu usichanganye na mbegu zake zitakuharibu ubongo...Haya 123 zungusha sema lowasa madilikoo kakojoe ulale
Kajamaa huenda kameota kuwa kakiamua kukomaa na DW labda katabulia ukatibu Tawala huko wilayani ndiyo maana kaongea mambo ya kwenye kampeni.Madiliko ndo mdudu gani huyo? Nenda shule kasome rafiki siku hizi elimu ni bure na madawati yapo huwezi kukaa chini.
Hii ina uhusiano gani na DW?Haya 123 zungusha sema lowasa madilikoo kakojoe ulale
Hana akili huyu, hata Ukatibu tawala hauwezi.....Kajamaa huenda kameota kuwa kakiamua kukomaa na DW labda katabulia ukatibu Tawala huko wilayani ndiyo maana kaongea mambo ya kwenye kampeni.
Ndo hapo sasa, jamaa hajitambui....Hii ina uhusiano gani na DW?
huyu jamaa hayuko silias, anafanya utani, ila nimemuelewa:Mkuu umeishia la ngapi..
1.Dw kipo nchi ni? ?
2.Uchochezi wake ni upi?