Kifungwe nini? Kwani DW ni mali ya Tanzania?Kifungiwe tu. Maana sasa hamna namna.
Unapunga upepo mdogo mdogo wakati ndugu zako Simiyu wanaangamia. Mkiambiwa ukweli mnasema uchochezi? Umesoma nyaraka za Mashekhe na Baraza la Maaskofu? Shupazeni mashingo tu.....Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
Kwani DW ni mali ya Tanzania?Muda si mrefu atakifungiaa
Najua sana ni idhaa ya kiswahili iliyopo nchi mojawapo barani ulaya. Kwani hukugundua kuwa namdhihaki mleta mada? Coz yy anafikiri DW Ni km magic fm.Kifungwe nini? Kwani DW ni mali ya Tanzania?
Sisi tumeambiwa gunia moja la mahindi ngombe mmoja tuuze,ngombe wenyewe wanakufa njaa wewe wanywa juisi magogoni,haki ya Mungu aliyenidanganya Oktoba 2015 sitamsahau.Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
UjumulaKituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
