Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,774
- 40,446
Mimi huwa si mpenzi wa muvi zilozotafsiliwa coz uwongo mwingi na quality ya picha huwa si nzuri, lakin DJ mack huwa angalau anajitahidi sio mwongo. ata ukifuatilia subtitle utagundua huwa adanganyi kama wengine.Tatizo waongo mno,muvi inamaanisha vingine yeye anatafsir vingine