Msomi hewa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 768
- 1,067
.....Dj Afro a.k.a Kimondraaa!!, Huyu Jamaa namkubali mpaka kesho!
Jamaa wa kenya wanatafsiri kiingereza to kiingereza utasikia "ile manzi ame-mshoot ganster alafu master akasikia gun-shots" alafu kwenye kasha imeandikwa "Swahili Version" kuibiana tu.





AmasokorindoMZEE WA MASOKORINDO
Ndio,Lufufu na Mkandara ni mtu m1?
Umeona ee? Jamaa alikuwa mkare SanaLufufu alitupa vitu vizuri sana.
Hao watu ni tofautihivi anaitwa DJ mark au DJ Murphy??
Unajikutaga great thinker kumbe mavii kunukaaHabar wakuu.
Nimekua nikifuatilia sana muvi alizotafsiri dj mack na rufufu kwa muda mrefu. Ni watu ninao wakubali sana hasa dj mack maana ni mtu aliyenifanya niwe natoroka shule naenda vibandani kucheki muvi zake. Nimejaribu kumtafuta dj Mack fb na Instagram lakini sijampata,
kwahiyo mtu yoyote mwenye picha ya dj mack au rufufu aiweke hapa niwaone hao watu au kama kuna mtu anaweza jua account zao za insta or fb anuelekeze niwasakue mwenyewe. Pia hata namba zao za simu kama zinapatikana mnipe
RIP Lufufu!
DJ MARK huyu anatafasr m0vie za kzungu na kchna hla DJ MURPY atafasiri seasonhivi anaitwa DJ mark au DJ Murphy??