Derick Gaspar Mkandala Lufufu afariki dunia

Derick Gaspar Mkandala Lufufu afariki dunia

Habar wakuu.
Nimekua nikifuatilia sana muvi alizotafsiri dj mack na rufufu kwa muda mrefu. Ni watu ninao wakubali sana hasa dj mack maana ni mtu aliyenifanya niwe natoroka shule naenda vibandani kucheki muvi zake. Nimejaribu kumtafuta dj Mack fb na Instagram lakini sijampata,

kwahiyo mtu yoyote mwenye picha ya dj mack au rufufu aiweke hapa niwaone hao watu au kama kuna mtu anaweza jua account zao za insta or fb anuelekeze niwasakue mwenyewe. Pia hata namba zao za simu kama zinapatikana mnipe
Wewe bdo mtoto sana.. dj mark .. hata miaka 5 hana.. afu ww unasema ulikuwa unatoroka shule.. tena ysikute hapo ylikuwa shule... ebu nenda kasome huko... kajifunze kuandika essay
 
Tatizo waongo mno,muvi inamaanisha vingine yeye anatafsir vingine
Yani uwa wanadanganya concept nzima ya movie wanapotosha.
Mfano movie ile ya kitoto ya the baby is there out lilikuwa tukio la siku moja yan within 24 hrs, yeye kuna sehemu anakwambia siku ya tatu bado mtoto hajapatikana....
Personally nilikuwa natazama enzi za udogo wangu ila now sitazami tena kwanza zinakuwa na poor quality
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom