Derick Gaspar Mkandala Lufufu afariki dunia

Derick Gaspar Mkandala Lufufu afariki dunia

Enzi zangu nikiwa mtoto kila Jumapili kuanzia saa nane hadi saa kumi na mbili nilikuwa naenda kuangalia movie za Captain Derrick Gasper Mkandara Lufufu.

Nakumbuka enzi hizo home kila Jumapili inatengwa 100 kwa ajili ya shughuli hii. Movie nilizokuwa nazikubali sana ni Drunken Master.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom