fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,508
- 27,811
Nami nimetafta zimekosa nadhan. Kuna haja ya watu wa Library yake kuanzisha YouTube channel.Hivi Film Alizotia Maneno Ya Kiswahili, Nitazipata Wapi Mtandaoni?
Maana Nimetafuta Sana Mtandaoni, Hakuna.
NdiyoKaishi miaka 60 net
Hebu jaribu kucheki muvikaonlineHivi Film Alizotia Maneno Ya Kiswahili, Nitazipata Wapi Mtandaoni?
Maana Nimetafuta Sana Mtandaoni, Hakuna.
Hazipo
Yes hakikaMleta mada umefanya jambo jema kabisa kuleta uzi wa huyu mdau, apumzike kwa amani! Hakika fani hiyo aliitendea haki na alitupatia burudani iliyotukuka..
Yes hakikaKwa wale wa vibanda umiza kwa kweli, he was a king. Niliielewa movie ya No retreat no surrender kupitia huyu mdau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo sisi wavivu sanaNami nimetafta zimekosa nadhan. Kuna haja ya watu wa Library yake kuanzisha YouTube channel.
Sidhani kama zipo. Wabongo hatuna utamaduni wa kutunzaHivi Film Alizotia Maneno Ya Kiswahili, Nitazipata Wapi Mtandaoni?
Maana Nimetafuta Sana Mtandaoni, Hakuna.
Uhakika usemalo kweli sisi wavivuWabongo sisi wavivu sana
Mkenya dj afro huko youtube ana upload mwenyewe uki search tu unazikuta ila sio zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemuangalia dj Afro ? Kama bado mtafute, mimi ninazo cd zake zaidi ya 40Hakuna kitu nacho kichukia kama movie iliyo tafsiriwa kwa kiswahili
Tunasubiri umalizie mkuuLufufu wakati anaanza kazi za kutafsir nakumbuka mbagala kwa Mangaya jumbani kwa Limonga Justin wa Limonga (R.I.P), huyu Limonga ndiye aliyemu hosti enzi hizo nikiwa darasa la 5 sikumbuki vizuri. Asiee kila kazi ina hatua zake alianza kututafsria ukumbukini hadi pale Limonga alipoona dili akampa chumba ambacho alifanya studio. Bahati nzuri Lufufu alikuwa mtu wa watu akipita mtaani enzi zile na kofia yake ya Cowboy tulimpamba kwa nyimbo..Lufufu Lufufu Lufufu...nina mengi sana acha niishie hapa kwanza
Uko kama mimi.Hakuna kitu nacho kichukia kama movie iliyo tafsiriwa kwa kiswahili