Derick Gaspar Mkandala Lufufu afariki dunia

Kama hujui english hao dj wa kenya utaona wanakupigia kelele nyingi sana tu
We unamjua dj afro wa kenya ni balaaa woote wabongo wanakaaa kwanza ni comedian hatari utacheka mwanzo wa movie
 
Wanaosema hawapendi zilizotafisiliwa waongoooo
Kitu kama cha kikolea unakuta umedownload hakina hata subtitles za English utaelewa vip??
Jamaa sometimes wanajitahidi sana hata kama hawako 100%
Mm namkubali sana Dj Brighton kichaa
Mzee wa descentants of the sun, na bridal mask
 
Ok hata mm namkubali dj mack 100. 5% but sijawahi kumuona nataman hata nimpigie simu tu nitafurahi
Kama una movie yeyote aliyotafsiri Dj Mack basi iangalie, mwanzo kabisa huwa anataja namba zake na mahali alipo,
 
Picha sina ila kuna jamaa humu waongo hawamjui Rufufu vizuri
Rufufu (R.I.P) jina lake kabisa ni Gasper Derick Mkandara
Rufufu ni jina la kupewa na ukoo wao wa abakoma abambeija..na maana ya Rufufu ni aina ya kamba ambayo watu wa kabila la wahaya hupenda kufungia nguo au utumika kama mkanda
Ndio maana ya rufufu lukoma abambeija
Marehemu Rufufu alikuwa Na cheo cha captain katika jeshi la wananchi wa tanzania na alikuwa mkalimani wa jeshi na alikuwa anajua kuongea na kuandika lugha kumi na mbili za kimataifa..baada ya kustaafu jeshi ndo akaanza kutafsiri movie ambazo zimerecodiwa kwenye cassette
R.I.P captain.Gasper Derck Mukandara Rufufu Lukoma abambeija nakoma byalagara, nasika byagutuka nanyurura byalelemba
 
Ahsante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom