Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Kama suala ni demokrasia, nadhani kuanzia CCM hadi upinzani hakuna wa kumcheka mwenzake. Masahibu yaliyompata Mzee Malecela, Horace Kolimba, Salim Ahmed Salim na wengine ndani ya CCM ni ushahidi tosha. Ndo demokrasia hiyo hiyo inayowashinda CUF, kwa kuwa Lipumba ni mgombea pekee wa Uraisi kupitia chama hicho, tangu niifahamu CUF mwaka 1994. Ni yale yae kwa John Cheyo wa UDP na Mrema wa TLP. Kama kuna demokrasia huko mtoa mada anakodhani ipo, kwa nini nafasi ya mwenyekiti wa CCM haishindaniwi, ila ni ya kuachiana?
 
Endelea na hiyo ID yako original.Eti ID zinasaidiana kujibu.

hahahaaaaa vipi umekimbia mtanange wa jana kule fb umeamua uje huku kumjibia saakumi.
kujibu hoja zako jana umechemsha sasa naona umeamua uwe msemaji wa saa kumi.
hahaaaa ya wana vunjo yamekushinda maana wamekukataa ya watu utayaweza kweli mkuu?
haya karibu.
 
Tuntemeke never compare Uganda politics with Tanzania hatutaki copy and paste hapa these things operates in different atmosphere bwana.
Nakubaliana kabis akuwa vina operate in different atmosphere lakini wote tunaaina moja ya demokrasia.AU?
HIVI kama UGANDA wanafanya postive thing kwa maendeleo ya siasa zao,tanzania haturuhusiwi kuiga???
SWALA LA TUME HURU YA UCHAGUZI NDANI YA VYAMA VYA SIASA NI GENI KWAKO?
 
Tuntemeke never compare Uganda politics with Tanzania hatutaki copy and paste hapa these things operates in different atmosphere bwana.
Hata CHADEMA haikuwa hivi. Ni sasa hivi tu Mbowe na Dr Slaa wanaonekana kama Messi na Iniesta ndani ya Bacelona!
 
hahahaaaaa vipi umekimbia mtanange wa jana kule fb umeamua uje huku kumjibia saakumi.
kujibu hoja zako jana umechemsha sasa naona umeamua uwe msemaji wa saa kumi.
hahaaaa ya wana vunjo yamekushinda maana wamekukataa ya watu utayaweza kweli mkuu?
haya karibu.

Acha kujipumbaza wewe.Nimekuuliza tena kwa nini unakuwa na ID nyingi kwenye Post moja ya kwako uliyoleta mwenyewe?
Halafu nakushauri achana na huyo Saanane kwani siyo saizi yako hata kidogo.Baada ya John Heche anafuatia Ben Saanane.Mtatafutana sana mwaka huu.
 
kama suala ni demokrasia, nadhani kuanzia ccm hadi upinzani hakuna wa kumcheka mwenzake. Masahibu yaliyompata mzee malecela, horace kolimba, salim ahmed salim na wengine ndani ya ccm ni ushahidi tosha. Ndo demokrasia hiyo hiyo inayowashinda cuf, kwa kuwa lipumba ni mgombea pekee wa uraisi kupitia chama hicho, tangu niifahamu cuf mwaka 1994. Ni yale yae kwa john cheyo wa udp na mrema wa tlp. Kama kuna demokrasia huko mtoa mada anakodhani ipo, kwa nini nafasi ya mwenyekiti wa ccm haishindaniwi, ila ni ya kuachiana?
mkuu nipo pamoja na wewe katika hili kwamba demokrasia katika chaguzi hazipo kwenye vyama vyetu vya siasa hapa nchini tena kwa kiasi kikubwa.
Mimi nilikuwa naoanisha chadema na fdc kama vyama vyenye lengo la kuleta ukuombozi,ushauri wangu kwa chadema ni kuwa na tume huru.
Chadema lazima ifanye siasa za ushindani na zenye kuheshimu demokrasia kwanza ndani ya chama na baadae nje ya chama.
 
Nakubaliana kabis akuwa vina operate in different atmosphere lakini wote tunaaina moja ya demokrasia.AU?
HIVI kama UGANDA wanafanya postive thing kwa maendeleo ya siasa zao,tanzania haturuhusiwi kuiga???
SWALA LA TUME HURU YA UCHAGUZI NDANI YA VYAMA VYA SIASA NI GENI KWAKO?

WE VIPI??

SUALA LA TUME HURU KWENYE VYAMA UNALOLIZUNGUMZIA UNA YAKINI LAKINI KATIKA HILO??UNA MAANISHA AU NDIO CHUMIA TUMBO??

KABLA YA KWENDA KWAKO KULILIA TUME HURU KWENYE VYAMA HII TUME ULIYONAYO SASA YA UCHAGUZI MBONA HUIZUNGUMZII??AU KWA VILE IMEBEBA MASLAHI YENU??

SOMETIMES NAKUONA KAMA :loco::loco:
 
kilaza at work
nicas bahati mbaya sana sijakuona mkuu ukijibu hoja hapa...
Lakini wewe ni kijana na mwelewa mzuri sana wa mambo ya siasa..nakuomba unisaidie katika hili..

Mfumo wa uchaguzi ndani ya chama chetu cha chadema ni wakidemokrasia?achana na hao magamba ccm na vyama vingine okotezi.tujikite kwenye chama chetu hiki kikubwa nchini
 
ukweli utabaki kuwa ukweli chadema have nothing to say about democracy.
they dont practice a pure democracy they only own the brand name of democracy.
here is where i can stand and say still we have a long way to go about a pure democracy.
you can see same thing they used to quarrel with chacha wangwe(r.i.p)they now quarrel with zitto kabwe and other followers of democracy within the party like dr kitila,prof baregu and hon arfi!
changes are necessary unless otherwise lets review and recall what happened to nccr mageuzi that time.
 
we vipi??

Suala la tume huru kwenye vyama unalolizungumzia una yakini lakini katika hilo??una maanisha au ndio chumia tumbo??

Kabla ya kwenda kwako kulilia tume huru kwenye vyama hii tume uliyonayo sasa ya uchaguzi mbona huizungumzii??au kwa vile imebeba maslahi yenu??

Sometimes nakuona kama :loco::loco:
ya sasa nimeizungumzia kwamba si yakidemokrasia kwa sababu uchaguzi wowote wa chama wa kitaifa hapa chadema msimamizi mkuu wake ni katibu mkuu wa chama taifa.
Hii inakuwa haileti maana kwa sababu,katibu mkuu kama ni msimamizi mkuu wa uchaguzi itakuwaje akiwa naye ni mgombea wa nagzi ya uenyekiti au yoyote ile?atajihesabia kura?atajisimamia uchaguzi?

Baada ya kuona hilo ndio nimekuja na hoja ya uwepo wa tume huru kama fdc inavyofanya uganda hii itakuwa ni ishara tosha na itakipa heshima chadema kwamba kweli ni chama cha kidemokrasia.
 
ukweli utabaki kuwa ukweli chadema have nothing to say about democracy.
they dont practice a pure democracy they only own the brand name of democracy.
here is where i can stand and say still we have a long way to go about a pure democracy.
you can see same thing they used to quarrel with chacha wangwe(r.i.p)they now quarrel with zitto kabwe and other followers of democracy within the party like dr kitila,prof baregu and hon arfi!
changes are necessary unless otherwise lets review and recall what happened to nccr mageuzi that time.
You must be joking,give us an example you cant blanket the issues and come here to convince us to belive in what your are saying do you mean The party doesnt have the structure MR Liar
 
CDM iko makini maana CCM kazi yao kwa ushirika na usalama CCM kupandikiza mapandikizi yao. Na hapa wamegongwa mwamba. HAta useme unatoka jasho la choo mambo hayatakuwa utakavyo.
 
ya sasa nimeizungumzia kwamba si yakidemokrasia kwa sababu uchaguzi wowote wa chama wa kitaifa hapa chadema msimamizi mkuu wake ni katibu mkuu wa chama taifa.
Hii inakuwa haileti maana kwa sababu,katibu mkuu kama ni msimamizi mkuu wa uchaguzi itakuwaje akiwa naye ni mgombea wa nagzi ya uenyekiti au yoyote ile?atajihesabia kura?atajisimamia uchaguzi?

Baada ya kuona hilo ndio nimekuja na hoja ya uwepo wa tume huru kama fdc inavyofanya uganda hii itakuwa ni ishara tosha na itakipa heshima chadema kwamba kweli ni chama cha kidemokrasia.

too bad,,hivi vijana wenzangu mnapewa kias gani hadi mfikie hatua ya kuikumbatia ccm kiasi hiki??

Ninaposoma hiki ulichokiandika naiona wazi wazi ishara ya unafiki na uchumia tumbo,haimake sense kabisa,,hivi unapata nafas ya kutembelea vijijini ukaona ni kwa jins gani ndugu zako watanzania wanavolala njaa na kufa kwa kukosa huduma za umuhimu kisa hii ccm unayoikumbatia??hakuna mwenye chuki nao hao jamaa wanaokutuma,,ila tuna chuki na ivo vitendo wanavovifanya,,najiuliza sana unawakumbatia kwa nin??huoni dhulma hizo wanazzifanya?huamini mungu yupo na anaona dhulma hizi??

Huwa mnalipwa kias gani kinachowapofua macho yenu??

How much??
 
You must be joking,give us an example you cant blanket the issues and come here to convince us to belive in what your are saying do you mean The party doesnt have the structure MR Liar
Organization structure sio issue we can hav that but Uongozi haujapatikana kidemokrasia.
 
nicas bahati mbaya sana sijakuona mkuu ukijibu hoja hapa...
Lakini wewe ni kijana na mwelewa mzuri sana wa mambo ya siasa..nakuomba unisaidie katika hili..

Mfumo wa uchaguzi ndani ya chama chetu cha chadema ni wakidemokrasia?achana na hao magamba ccm na vyama vingine okotezi.tujikite kwenye chama chetu hiki kikubwa nchini

Nimekuambia unitajie chaguzi 3 tu za chadema ambazo zimekiuka demokrasia... umenikwepa...
 
ben saanane,
nimekufahamu mwaka lini na mm nimejiunga jf lini???yaani wewe wakunifundisha mm kutumia mtandao.
Hata ukijisafisha vipi,mm na wewe tunajua vyema sana ukweli wote unaujua hapa.
Jibalaguze mkuu lakini huo ndio ukweli,shukuru tulikukurupusha mbio kwenye ule mchezo wako,otherwise picha za mnato zingeletwa hapa jf kama ungeendelea na michezo yako michafu.
Dr.slaa anameshaanza kukosa imani na wewe shushushu..utakula wapi?magazeti unayoyabana kwapani hapo utayatoa wapi?
Pole sana.

Niambie kanuni za uchaguzi za chadema ni lini zilikuwa flexible?
Wewe kama mwanasiasa kijana unazungumziaje mgombea kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi?

Utatunga uongo kwa kila namna.

Kuhusu uchaguzi nimekwambia kanuni ziko flexible.oma katiba ya CHADEMA.Wazee wastaafu wanaposimamia uchaguzi siyo flexibility?

Kama hoja yako ni kwamba matakwa ya kikatiba yamekiukwa ni kwanini tusitangaze mgogoro wa kikatiba ndani ya chama? Hiki ndicho walichofanya Action Congress ya Nigeria na BJP Cha India.Stop exposing your ignorance

sio kuchukua fomu tu,je kusimamia uchaguzi ?katibu mkuu wa chadema ndiye msimamizi mkuu wa uchaguzi,itakuwaje yeye awe ndiye mgombea na ni msimamizi huyo huyo???
Matokeo na kura yeye ndiye anayeziptia unategemea nini hapo kamanda???

Kitu cha ajabu ni kwamba wale wote ambao wanakutumia hawajawahi kukupa hata ABCD ya haya mambo.Hao ni watu wabaya sana wanapenda kuangamiza vijana kifikra ili wazidi kuwatumia.Hilo tulishalijadili sana mimi na wewe na nikakuambia juu ya umuhimu wa kusoma

Mwenzako anakudanganya kwamba superstion/voodoism is the cornerstone of ideology.

Tunteee! kajipangeni upya wewe na wanaokutumia.short and clear.labda tu kwa nyongeza ndogo ambayo labda umeisahau au hujui na mimi sikujui uwezo wako wa kufikiri na kutambua mambo:Je una mjua vizuri huyo Dr Kiiza Besigye?

Infact i gave up on schooling him. This tiny gang is never going to change its ways. Kwa bahati mbaya CCM na vibaraka wao wamewateka kwa kiwango kikubwa na sasa hawafai kuwa ndani ya chama hiki kinachosukuma vuguvugu la mabadiliko.It's either they are with us or against us(wanabadiliko).Nina uhakika they're against us in this score.This is a multi-dimensional betrayor of all ramifications. He is a very clueless Man. Integrity and Accountability is not in the Dictionary of this people.
 
Umeamka na thread isiyokuwa na kichwa wala miguu. We ni mamluki wa kutumwa kuanzisha mada ambazo kwanza zimepitwa na wakati. hata jina lako la JF TUNTEMEKE, linaonyesha kwamba uko mbali na uhalisia na hatuna muda wa kupoteza kujadili mvuke. Endeleeni na ndoto zetu za ku]dhani kila mnacho post himu kitapata baraka za wananchi walio wengi. Tumechoka na magamba na dalili hizi za kushambulia CDM kila uchao ni dalili njema tu. Kumbuka mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe. Kachukue hiyo pesa ya kula ila kwa M4C umedata.
 
Organization structure sio issue we can hav that but Uongozi haujapatikana kidemokrasia.

kwenye red hapo........ fafanua zaidi. pengine unaweza kueleweka kijana. nakuona unarukaruka tu... ina maana haujui unachofanya?
 
too bad,,hivi vijana wenzangu mnapewa kias gani hadi mfikie hatua ya kuikumbatia ccm kiasi hiki??

Ninaposoma hiki ulichokiandika naiona wazi wazi ishara ya unafiki na uchumia tumbo,haimake sense kabisa,,hivi unapata nafas ya kutembelea vijijini ukaona ni kwa jins gani ndugu zako watanzania wanavolala njaa na kufa kwa kukosa huduma za umuhimu kisa hii ccm unayoikumbatia??hakuna mwenye chuki nao hao jamaa wanaokutuma,,ila tuna chuki na ivo vitendo wanavovifanya,,najiuliza sana unawakumbatia kwa nin??huoni dhulma hizo wanazzifanya?huamini mungu yupo na anaona dhulma hizi??

Huwa mnalipwa kias gani kinachowapofua macho yenu??

How much??
Duuh kitumbua kimeingia mchanga,Yaani sielewi unachangia mada ipi?
HIVI MASWALI YANGU NA MAJIBU UNAYOTOA YANAUHUSIANO??
NANI ASIYEJUA CCM NI WEZI WA MALI ZA UMMA,NANI ASIYEJUA CCM WAMESSABABISHA VIFO VINGI VYA NDUGU ZETU..NANI ASIYEJUA UMASKINI TULIONAO HAPA NI CCM.

HOJA YANGU IMEJIKITA KWENYE MFUMO WA UCHAGUZI WA CHAMA,DEMOKRASIA IPO????
LAZIMA CHAMA KIKUBWA KAMA HIKI KIWE MWANGA KWENYE CHAGUZI ZAKE SIO TUISHIE KUSIKIA WATU WANAPIGANA MAPANGA KWA SABBU YA CHAGUZI ZA KINDUGU.
 
kwenye red hapo........ fafanua zaidi. pengine unaweza kueleweka kijana. nakuona unarukaruka tu... ina maana haujui unachofanya?
NAOMBA UJIBU HOJA HII UCHAGUZI WA VIONGOZI NDANI YA CHADEMA NI WAKIDEMOKRASIA?MFUMO MZIMA KWELI UNAENDANA NA HADHI YA CHADEMA.
Nicas nakuomba ujibu hapa
 
Back
Top Bottom