Waambie wanachadema wenzako kama unataka wacopy na kupaste habari za FDC as if hawana mikakati yao hii ni juu yenu lakini tunachosema ukitoa mawazo kama hayo usiattack personalities unaoneka hujaivaTaratibu,
CHADEMA ni chama cha amani na cha kidemokrasia mkuu.Hivi inakuwaje chama kinakuwa na mfumo huu wauchaguzi?
unajua FDC ni chama mfano kama chadema lakini wenzetu wapo mbali sana kwenye chaguzi