Mbowe kwenye nafasi ya Mwenyekiti aligombea na nani? Kwa nini?Nimekuambia unitajie chaguzi 3 tu za chadema ambazo zimekiuka demokrasia... umenikwepa...
Mbowe kwenye nafasi ya Mwenyekiti aligombea na nani? Kwa nini?Nimekuambia unitajie chaguzi 3 tu za chadema ambazo zimekiuka demokrasia... umenikwepa...
NAOMBA UJIBU HOJA HII UCHAGUZI WA VIONGOZI NDANI YA CHADEMA NI WAKIDEMOKRASIA?MFUMO MZIMA KWELI UNAENDANA NA HADHI YA CHADEMA.
Nicas nakuomba ujibu hapa
sioni ukijibu hoja hapa..kama unajua chochote kuhusu mfumo wa uchaguzi wa chadea si useme?kinachokusibu kulia lia na kupika maneno mengi yasiyo na nyama ni nini??utatunga uongo kwa kila namna.
Kuhusu uchaguzi nimekwambia kanuni ziko flexible.oma katiba ya chadema.wazee wastaafu wanaposimamia uchaguzi siyo flexibility?
Kama hoja yako ni kwamba matakwa ya kikatiba yamekiukwa ni kwanini tusitangaze mgogoro wa kikatiba ndani ya chama? Hiki ndicho walichofanya action congress ya nigeria na bjp cha india.stop exposing your ignorance
kitu cha ajabu ni kwamba wale wote ambao wanakutumia hawajawahi kukupa hata abcd ya haya mambo.hao ni watu wabaya sana wanapenda kuangamiza vijana kifikra ili wazidi kuwatumia.hilo tulishalijadili sana mimi na wewe na nikakuambia juu ya umuhimu wa kusoma
mwenzako anakudanganya kwamba superstion/voodoism is the cornerstone of ideology.
Infact i gave up on schooling him. This tiny gang is never going to change its ways. Kwa bahati mbaya ccm na vibaraka wao wamewateka kwa kiwango kikubwa na sasa hawafai kuwa ndani ya chama hiki kinachosukuma vuguvugu la mabadiliko.it's either they are with us or against us(wanabadiliko).nina uhakika they're against us in this score.this is a multi-dimensional betrayor of all ramifications. He is a very clueless man. Integrity and accountability is not in the dictionary of this people.
uchauzi ulipita mbowe aligombea na nani uenyekiti???kwenye red hapo........ Fafanua zaidi. Pengine unaweza kueleweka kijana. Nakuona unarukaruka tu... Ina maana haujui unachofanya?
ukweli utabaki kuwa ukweli chadema have nothing to say about democracy.
they dont practice a pure democracy they only own the brand name of democracy.
here is where i can stand and say still we have a long way to go about a pure democracy.
you can see same thing they used to quarrel with chacha wangwe(r.i.p)they now quarrel with zitto kabwe and other followers of democracy within the party like dr kitila,prof baregu and hon arfi!
changes are necessary unless otherwise lets review and recall what happened to nccr mageuzi that time.
nimekwambia uchaguzi uliopita mbowe aligombea nanani???ndio ni wa ki demokrasia.... Kama wewe weasema kuwa si wa ki demokrasia nakuomba unipe mfano wa chaguzi 3 za chadema ambazo zilikiuka demokrasia.... Usikimbie
You must be joking,give us an example you cant blanket the issues and come here to convince us to belive in what your are saying do you mean The party doesnt have the structure MR Liar
sikuhizi umejikita kwenye mambo yasiyoeleweka hasa kwenye kuchangia,yaani kutoka hoja hadi kwenye kuwa msahihishaji wa alama za vidolehalafu ni bora uandike kiswahili kuliko kutumia vibaya hii lugha ya watu.unaweza kuthibitisha kwamba unaweza kujenga hoja hata kwa kutumia lugha ya kiswahili au lugha ya mama badala ya kulazimisha kiingereza.tumia hayo maandishi mekundu kwenye signature yako
vinginevyo uwe unaweka angalizo kwenye signature yako ili mambo yakiharibika unapotumia kiingereza ueleweke. Weka hiii
i can never find words to express myself exactly as i'd like, so if i've said something odd please don't take offence as this would only have been caused by my poor command of the english language rather than any bad intent.
kijana mjanja sn wala usiende mbali kote huko ngoja mimi mtoto wa mwanza nikupe moja tuu lazima ukae wewe.Nimekuambia unitajie chaguzi 3 tu za chadema ambazo zimekiuka demokrasia... umenikwepa...
nimekwambia uchaguzi uliopita mbowe aligombea nanani???
Ndani ya chadema uchaguzi wa kidemokrasia ni mmoja tu ule uliomuweka bob nyange makani madarakani...the rest sio chaguzi ni kupeana madaraka kama akina ally bongo kule gabon
Kaka umeona mbali sana hakika wewe ni mchambuzi, tatizo humu wamo wafia dini wao hata kama kinachosemwa ni sahihi wasipokipinga kamasi linaziba pua,hongera Tumtemeke chadema siyo chama cha siasa ni political cooperation ie it is an economic strategic union.
kijana mjanja sn wala usiende mbali kote huko ngoja mimi mtoto wa mwanza nikupe moja tuu lazima ukae wewe.
hivi lile mnaliita baraza la wazee wa kichagga linaloongozwa na mkwe wa mbowe mzee mtei kumshawishi zitto ajitoe ili mbowe mkwewe mtei apite bila kupingwa ndio hiyo mnayoiita demokrasia?
tuanzie hapo mkuu.
nijibu kwanza hili.
Haya, chaguzi zote 3 zilizopita za CHADEMA zilikiuka misingi ya democrasia. Mwenyekiti hakuchaguliwa kwa mujibu wa katiba yao.
naipenda chadema,nachukia uongo na ubakaji wa demokrasiakaka umeona mbali sana hakika wewe ni mchambuzi, tatizo humu wamo wafia dini wao hata kama kinachosemwa ni sahihi wasipokipinga kamasi linaziba pua,hongera tumtemeke chadema siyo chama cha siasa ni political cooperation ie it is an economic strategic union.
aligombea na nani???unauhakika hawakutaka???kura zilipigwa au hazikupigwa? We unadhani ni kwa nn wengine hawakutaka kugombea?
Go back to your English teacher grammatically your too poor to be able to discuss issueslet me gives me a simple example which everyone is aware about except u.
did u remember whats happened in 2009 the time zitto contested for a chairman position of the party?
or you just talking from the vacuum?
did you remember what happened the time mbowe fight with chacha wangwe (r.i.p) forced him to resighn his position of the vice chairman of the party? because wangwe was against with those ant-democracy within the party included misuse of the fund .
or you just thinking from the vacuum?
did you know that up to date lema is a member of party central commitee while he is no longer an mp?
only because they want to preserve the chagga dorminance within the party.
did you get me mr azombi?
naipenda chadema,nachukia uongo na ubakaji wa demokrasia
kura zilipigwa au hazikupigwa? we unadhani ni kwa nn wengine hawakutaka kugombea?
ID yangu ni hiyo moja. Jibu hoja yangu sasa. Katiba yenu inasema pia Mwenyekiti atateua majina mawili kugombea Ukatibu Mkuu. Dr Slaa aligombea na nani uchaguzi uliopita? 7.7.13(b)Nakushauri utumie id moja ili usijichanganye.... sawa? kwa kuwa na nia mbaya na uongozi wa sasa wa Chadema ndio maana uko tayari kupotosha ukweli