Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Tuntemeke ninakupata freshi, na karibuni nitaakuanika hadharani, nitatoa CV yako fupi na Nyepesi unayemfanyia kazi. Nitawaaibisha karibuni
 
Mkuu Matola
Hata mimi nimeshangaa.Eti kichaa anajilinganisha na Ben Saanane.Ben akichangia hoja unajua Asset ya chama inazungumza.Lakini huyo kichaa akichangia hoja unajua wazi mtu katoroka mirembe.
Umeshaondoka FB?naona kule wamekuvua nguo tangu jana upo naked.Mjadala walo umeshaumaliza kule??

KAMA WEWE NI ASSET KWA CHADEMA haya sema hapa mfumo wa uchaguzi ndani ya chama ni wakidemokrasia?Kuundwa kwa tume huru unakuzungumziaje?
 
Tuntemeke ninakupata freshi, na karibuni nitaakuanika hadharani, nitatoa CV yako fupi na Nyepesi unayemfanyia kazi. Nitawaaibisha karibuni
Hautakuwa wakwanza,Pili nitafurahi zaidi kuona CV yangu inasambaa hadi JF.
Pili haitakuwa na impact yoyote kwa sababu sita kaa kimya kuchambua siasa za kideimokrasia zinatakiwa ziweje!!!
KARIBU SANA na ukishindwa kupata taarifa zangu zingine ni inbox nikupe with no condition
 
Umekuwa traitor kwa muda mrefu sana ukitumika kutaka kuangamiza maisha ya viongozi wa chadema hasa zitto,
ulianza kwa kujenga urafiki hapa jf wa kumsifia sifia sana,kumbe ulikuwa na lako jambo.nimekunyoshea mikono wewe ni mafia.

Baadae ukaamua kuanzakumtafuta zitto(asante mungu katika maisha yako hujawahi onana na zitto ana kwa ana) umeishia kula za mbavu kutoka kwa vijana wasamalia wema na umerudi kwa wagaza wenzako sasa.
Mwishoni mwa mwezi huu hawa mwaifunga amekulipa mshahara wa ushushushu????

Twende kwenye mada kijana,chambua mfumo wa uchaguzi ndani ya chadema?ili uone kama unademokrasia ndani yake???
TUNTEE! Ushauri wa bure:Achana na CHADEMA,Rudisha Kadi na unaweza kujiunga na chama kingine chochote cha siasa na hata mukaanzisha chama chenu na bado mtafanya siasa zenu tena zenye DEMOKRASIA ya KWELI ambayo ndio unaidai ambapo hupewi kwa mujibu wa maandishi yako.

Unapoendelea kulalamika,unapoendelea kueneza fitina za uongo,kutengeneza uvumi feki,na propaganda juu ya CDM ni kwamba unachoka bure na unapoteza muda wako bure humu JF na hata huko uliko na genge lenu.watu usidhani hawakujui wala hawajui uko nyuma ya kina nani,lakini naku-promise hutoambulia kitu,CDM sasa inazidi kukua na kimekuwa chama cha wananchi,unavyokomaa na hoja zako za kizembe ukitegemea utaisambaratisha CDM nyuma ya keyboard yako bado sikusomi na wala sidhani kama utafaulu,hata wanaoku-back up watakutelekeza,tena ni wajanja kuliko wewe hivyo watakuancha solemba.
Kama unaona CDM haina demokrasia iache na uingie chama kingine hata CCM nenda tena watakupokea kwa sherehe kubwa tu au anzisheni chama chenu.kuna faida gani kuendelea kulalamika na bado husikilizwi na hutoki ndani ya chama?kwanza huna faida kwenye chama mtu kama wewe na wala huna tofauti na wana CCM kwa mtindo huu.umefikia hatua mbaya sana lakini take it from me hutoambulia kitu.CDM ni chama cha watanzania.
 
ben saanane,
nimekufahamu mwaka lini na mm nimejiunga jf lini???yaani wewe wakunifundisha mm kutumia mtandao.
Hata ukijisafisha vipi,mm na wewe tunajua vyema sana ukweli wote unaujua hapa.
Jibalaguze mkuu lakini huo ndio ukweli,shukuru tulikukurupusha mbio kwenye ule mchezo wako,otherwise picha za mnato zingeletwa hapa jf kama ungeendelea na michezo yako michafu.
Dr.slaa anameshaanza kukosa imani na wewe shushushu..utakula wapi?magazeti unayoyabana kwapani hapo utayatoa wapi?
Pole sana.

Niambie kanuni za uchaguzi za chadema ni lini zilikuwa flexible?
Wewe kama mwanasiasa kijana unazungumziaje mgombea kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi?

Tuntemeke kutokana na unavyoaandika ni wazi umewahi kushiriki uchaguzi wa chadema na ukashindwa sasa unahasira na kivuli chako. CDM halina mambo ya ajabu kama unayotaka kuonyesha hapa zaidi ya wewe kuwa na msongo mkubwa sana wa mawazo. Na kama kweli unamtuhumu Ben kwa nini swala hilo hukulipeleka polisi au wewe ndio ulikuwa mafia unataka kupaka watu matope.

CDM tunaamini kwenye utawala wa sheria usio na upendeleo kwanini wewe ulishuhudia uhalifu mkubwa hivyo ukaa kimya? Kwa nini tukuamini leo kama sio uongo uzushi na kukosa weledi wa uandishi? Kweli tuhuma kama hizo?

Paycheck mbuzi za nape Zinawatoa utu, mnakwenda kubaya sana na inatia kinyaa. Uchaguzi wa Chadema ni huru na haki huo ndio ukweli kama ulishindwa subiria siku nyingine. Mwanasiasa anayetaka kushinda tu hatufai, wacha hasira msaidie Nape kudhalilisha elimu zenu kwa kutengenza uwongo. Mwenyekiti wa CCM alisema kuna viwanda vya uongo sikujua ana maanisha wewe na Nape.

Kazi hii ambayo mmejipanga ya kuja na siasa za maji taka kwa mtaji wa mshahara wa Nape naona inawashinda kwani hata uwezo wa kutengeneza tuhuma zenye mashiko hamna.

Habari za Udaku mpelekee Willy aziweke kwenye blog na facebook.

Uchaguzi unaoupigia kelele sema wapi katiba ya chama husika imevunjwa sio kelele za mitani.
Mpaka vijana wa CCM mtakapokuwa na uwezo wa ukweli wa kufikiri ni janga kubwa sana na aibu kwa Taifa letu.

Chief Mkwawa wa Kalenga
Chadema kinakwenda ikulu CCM inaweweseka, CDM tushikamane kwani mpaka 2015 vijana wa CCM watakuwa wehu wote.
 
Mapovu tu yanakutoka, ama kweli hujui maana ya demokrasia, ina maana km Besigye kajiweka pembeni basi na kina Dr. Slaa na Mbowe wajiweke pembeni? unaujua muda aliotumia Rais Mwai Kibaki akiwa upinzani mpaka leo hii ni rais? na je Michae Satta wa Zambia, among other more leaders, Malecela ana miaka mingapi katika siasa za nchi hii, je 2005 hakuwa kwenye kinyanga'nyiro cha uteuzi nyinyiemu? don't talk rubbish.
 
Huwa ninaamini kuwa kama mtu ameshindwa kuhitimu masomo yake kwa sababu za uzembe hana uwezo wa kujadili jambo lolote lile, kama mtu kazi yake ni kuchafua wenzake ili apate mkate wake wa siku hana faida.

Kijana Tuntemeke haijui hata katiba ya CDM kwani kwenye katiba ya chama inatamka wazi ni nani ambao wanasimamia uchaguzi wa ngazi ya Taifa , sio katibu mkuu kama ambavyo anapotosha hapa , msimamizi ni kamati ya viongozi wastaafu yaani wenyeviti na makatibu wakuu wastaafu na wao wanaweza kumuingiza mtu yeyote yule.

Tatizo lako Tuntemeke ni pale ulipoacha chuo pale Udom sasa huna pa kwenda zaidi ya kulialia kila uchao , ngoja niishie hapo kwani naona mnatifuana na Benn , huenda ukweli ukawekwa hadharani zaidi.

Tatizo kubwa ni pale mtu anajifanya anajua kitu kumbe hajui hata chembe , kasome katiba ya chama utaona nani anasimamia chaguzi ndani ya CDm na sio uongo wako hapa jukwaani.
 
sio kuchukua fomu tu,je kusimamia uchaguzi ?katibu mkuu wa chadema ndiye msimamizi mkuu wa uchaguzi,itakuwaje yeye awe ndiye mgombea na ni msimamizi huyo huyo???
Matokeo na kura yeye ndiye anayeziptia unategemea nini hapo kamanda???

Uchaguzi gani alikuwa mgombea katibu mkuu halafu yeye akausimamia?? Lini na wapi ulifanyika?? No spinning zone hapa acha habari za vilabu vya gongo
 
Kuna haja kuwa na chombo huru cha kusimamia maamuzi hasa ya kichaguzi ndani ya chama kikubwa kama hiki cha chadema ndani ya nchi.
Hii itasaidia kuondoa kasoro mbalimbali za malalamiko ya wagombea na hata matokeo ya kura.
Mwaka 2009 tuliona namna chama kilivyoingia kwenye sekeseke la kufuta majina ya watu kadhaa kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kifamilia zaidi.
Sasa ilikuondoa ubanaji wa demokrasia kama ule ni mhimu chadema kikaiga mfano wa fdc huko uganda kikawa na tume huru ya kusimamia uchaguzi.
Dr.slaa kama katibu mkuu asijihusihe na usimamizi mkuu wa uchaguzi kwa sbabu hata yeye anaweza akaamua kugombea nani atasimamia uchaguzi????

Majina kama yako lazima yafutwe na yataendelea kufutwa sana. Demokrasia sio fujo kaka ndio maana hata Obama huwa anamteua mwenyekiti wa Democrat party ( pale raisi anapokuwa ni wa chama chao) na DNC vivyo hivyo na kura huwa ni za marhani. Hiyo ni demokrasia yao na CDM wanayao sasa kama huipendi ya CDM inabidi ujaribu ya magamba
 
Kwanza kabisa kwenye red hapo,
Kijana nilini umewahi itumia ID hii,????Ukishajibu nitakuja na makombora sasa.
Pili inaonesha ni namna gani mm na wewe tunafahamiana kwenye mambo ya siasa,Nakujua nje ndani kijana ndio maana sikrupuki kabisa ninachokiongea.
Unajua wazi uwezowakuthibitisha hili la WEWE KUTAKA KUMUUA ZITTO kama ulivotuma na DR.SLAA ninaweza kwa maandishi ka ma hivi,sina video.Lakini kwa sababu huu ndio ukweli halisi wala usikane kijana.
Wewe ni mafia,Muuaji na umekuwa ukitumika sana kwenye hizi shughuli za kutengeneza mazingira ya viongozi mbalimbali kuharibiana na watu flani flani.
Unafanya kazi nje na na ndani ya CHADEMA,Huko CCM unatumika sana kama ulivyotumika kuharibu uchaguzi wa CCM pale KAWE.
Lakini mungu ni mwema lengo lako na adhima yenu ya kumuua zitto ilikwamba baada ya kukufumania ukiwa na sumu pale LUNCH TIME HOTEL opposite na MABIBO HOSTEL.
Ulipiga magoti tsfichue haya mambo na ukakili utakuwa silent na hautorudia tena.LAKINI KWA SABABU UMEAMUA KUREJEA TENA KWA KUTEMBEA NA RECORDING MASHINE kwenye vikao na kwenye mijadala mbalimbali unavyotuma na DR.SLAA naamua kukuumbua.
MBINU ZOTE ZA KIJASUSI ULIZONISIMULIA ulivyokuwa INDIA hadi unatoroka kwanye mikono YA POLISI WA INTERPOL nitaziweka hapa.
BEN SAANANE WEWE NAKUFAHAMU SANA
TUNTEMEKE uandishi wako hata kwa mtu asiye kufaham kabisa anaweza akajua wewe ni mtu wa level gani kwa uwezo wa kufikiri.
 
Last edited by a moderator:
Mkiti wa tume awe Habib Mchange.Makamu Mkiti awe Juliana Shonza na Katibu wa Kamati awe Mtela Mwampamba.Hiyo ndiyo tume huru.

hawa vijana mnaowasema kwamba ni vijana wanaomuunga mkono rais ajae tzzk 2015 inaonyesha wanawanyima sana usingizi huko chadema maana sijawahi kusoma post sijakuta hamjawataja.
na mwisho wa siku nimekuja kugundua kwamba wana akili nyingi na wanajitambua maana hata waswahili wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka hivyo ukiwa mfuasi wa bright person in tanzania like zitto it is ovious u become bright also and not kilaza .
 
Sorry WanaJF naomba nitoke nje ya mada kidogo

-Njoo utoe uthibitisho wa haya unayoandika hapa.Kwa nini nisikamatwe? Acheni huu upuuzi mnaofanya mkidhani mnanichafua mimi.Kama mnataka kuwa upande wa mabadiliko tujenge CHADEMA na muache hizo hujuma kwa CHADEMA na viongozi wake kwa ufadhili wa watu nje ya chama ambao mimi na wewe tunaujua vizuri

Hofu yako ya uchaguzi itakupeleka pabaya hadi sasa unaanza kuzua mambo ya kutunga kwa kuchafua wengine.Njoo hapa uthibitishe

Kwa Taarifa yako Sichafuki na mipango yenu miovu haitanizuia.Ni vijana ndani ya Chadema pekee kwa sanduku la kura wenye uwezo wa kunizuia na si hicho kikundi chenu kidogo tena ambacho nimekifundisha kutumia mitandao

Katika hii game bado nitakuawa Mwalimu wenu.Alliance yenu ni sawa na Muungano wa Farasi dhaifu ambao hawezi kumshinda farasi mmoja mwenye kasi na mbio

Mimi natumia ID real hapa ingawa wewe umejificha kwa hii ID ambayo mimi na wewe tulishaifanyia kazi.Kwa Taarifa yako almost kila Mwana JF anakujua wewe ni nani.

Hamtaniweza kunimaliza kwa kunichafua.Mtaishia kushangilia mnaposikia Ben Saanane amepata ajali tu basi.Endeleeni kuomba nguvu na sapoti hata nje ya chama kwa yule mbunge wa singida.Naona mmeingizwa kwenye sekretarieti ya CCM indirectly kwa mshirika wenu kuteuliwa kuwa naibu katibu mkuu huko CCM

Si mlisema mtafanya press nikawaambia go ahead?Si mlinitisha mtanishughulikia kwa kuwaambia ukweli?Mbona mnazidi kuchelewa?

Back to the Topic:Nimeshakuuliza hapo juu ni nani aliyekuambia miongozo na kanuni za uchaguzi CHADEMA ni rigid?

-Katika uchaguzi ndani ya chama cha siasa kinachohitajika ni flexible democratic process

kwenye red ni Mwigulu Nchemba
 
hawa vijana mnaowasema kwamba ni vijana wanaomuunga mkono rais ajae tzzk 2015 inaonyesha wanawanyima sana usingizi huko chadema maana sijawahi kusoma post sijakuta hamjawataja.
na mwisho wa siku nimekuja kugundua kwamba wana akili nyingi na wanajitambua maana hata waswahili wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka hivyo ukiwa mfuasi wa bright person in tanzania like zitto it is ovious u become bright also and not kilaza .
Acha matusi yaani Zitto ni bright duh basi nchi imekwisha
 
Kama Katiba ya NCHI imeweka kikomo cha mtu kuwa Rais, sioni ubaya wowote kwa sheria kama hii kuwekwa kwenye katiba za vyama mbalimbali vya siasa ili viongozi wake wakuu nao wawe na kikomo cha kuwa wenyeviti, makatibu wakuu, wajumbe. Katiba ya nchi ndio sheria mama.

Vinginevyo sioni ni lini mtu kama Mzee John Momose Cheyo wa UDP, "Dr" Augustine Lyatonga Mrema wa TLP wataacha kuwa wenyeviti wa vyama hivi. Kuna dhana pia inajengeka taratibu ndani ya CHADEMA ya sasa juu ya Mbowe na Dr Slaa kwamba hawana mbadala.

Dr Kiiza Besigye aliyetolewa mfano na Tuntemeke kaacha tu UONGOZI wa FDC, lakini hajazuiwa kugombea urais wa Uganda kupitia chama hicho. Sio vibaya kama akina Mbowe na Dr Slaa nao wakalifikiria hili. Huenda likaisaidia CHADEMA kuonekana ni ya KITAIFA zaidi.
 
Kama Katiba ya NCHI imeweka kikomo cha mtu kuwa Rais, sioni ubaya wowote kwa sheria kama hii kuwekwa kwenye katiba za vyama mbalimbali vya siasa ili viongozi wake wakuu nao wawe na kikomo cha kuwa wenyeviti, makatibu wakuu, wajumbe. Katiba ya nchi ndio sheria mama.

Vinginevyo sioni ni lini mtu kama Mzee John Momose Cheyo wa UDP, "Dr" Augustine Lyatonga Mrema wa TLP wataacha kuwa wenyeviti wa vyama hivi. Kuna dhana pia inajengeka taratibu ndani ya CHADEMA ya sasa juu ya Mbowe na Dr Slaa kwamba hawana mbadala.

Dr Kiiza Besigye aliyetolewa mfano na Tuntemeke kaacha tu UONGOZI wa FDC, lakini hajazuiwa kugombea urais wa Uganda kupitia chama hicho. Sio vibaya kama akina Mbowe na Dr Slaa nao wakalifikiria hili. Huenda likaisaidia CHADEMA kuonekana ni ya KITAIFA zaidi.
Asante sana mkuu kwa kutambua hilo
 
jitathimini kama unahaki ya kutaja neno ZITTO
Mjinga wa mtandao nini wewe ,au umeehuka siku hizi kwa kutoa pumba hoja ziletazwo kwenye JF zinajadiliwa na kila mwana JF kama hutaki atajwe huyu Zitto peleka hoja zake mkajadili na mkeo au girlfriend wako au kwa mamayo ikiletwa hapa manake wana forum wajadili
 
hivi Tumtemeke hujajistukia tu kuwa watu wameshajua malengo yako na kwa nn unaiandama chadema kila uchao?acha kuendelea kujidhalilisha hapa JF

kwani chadema hakitakiwi kuandamwa,msiandamwe kwa mazuri yapi mliyo nayo,alafu ni kwa nini chadema hampendi kukosplewa????ina maana njie ni wajuzi wa kila kitu jovyo kabisa nyie,
 
Mjinga wa mtandao nini wewe ,au umeehuka siku hizi kwa kutoa pumba hoja ziletazwo kwenye JF zinajadiliwa na kila mwana JF kama hutaki atajwe huyu Zitto peleka hoja zake mkajadili na mkeo au girlfriend wako au kwa mamayo ikiletwa hapa manake wana forum wajadili
Taratibu,
CHADEMA ni chama cha amani na cha kidemokrasia mkuu.Hivi inakuwaje chama kinakuwa na mfumo huu wauchaguzi?
unajua FDC ni chama mfano kama chadema lakini wenzetu wapo mbali sana kwenye chaguzi
 
Asante sana mkuu kwa kutambua hilo
Watu wanaweza kuwa hawalioni hili. Mbowe na Dr Slaa ndani ya CHADEMA wanataka kuwa kama Prof Lipumba na Maalim Seif ndani ya CUF. CHADEMA tunayoifahamu haikuwa hivo. Wamekuwepo wenyeviti na makatibu wakuu wa CHADEMA wakaondoka na chama kikazidi kuwa imara zaidi.

Kama CHADEMA wameishiwa hazina hii ya viongozi basi watuambie tukubaliane na kauli ya Wassira, Sitta kwamba kiongozi wa maana kule ni Dr Slaa pekee.
 
Back
Top Bottom