sioni ukijibu hoja hapa..kama unajua chochote kuhusu mfumo wa uchaguzi wa chadea si useme?kinachokusibu kulia lia na kupika maneno mengi yasiyo na nyama ni nini??
Jibu hapa wewe ni mwanachadema eleza uchaguzi unatakiwa uendeshwe kwa usimamizi uliopo sasa???
aligombea na nani???unauhakika hawakutaka???
aligombea na nani???unauhakika hawakutaka???
mkuu tunte unabishana na kivuli cha wenyewe si umeona hata jina hilo ndo yale yale yenye chama chao.
sasa tatizo hiki kivuli ni very bogus aisee hajui chochote hawa ndo wale wamejiunga chadema siku ile lema anazindua mradi wake wa m4c pale arusha.
nakuheshimu sana mkuu naomba usijishushie hadhi yako kubishana na this empty shadow.
Kaka umeona mbali sana hakika wewe ni mchambuzi, tatizo humu wamo wafia dini wao hata kama kinachosemwa ni sahihi wasipokipinga kamasi linaziba pua,hongera Tumtemeke chadema siyo chama cha siasa ni political cooperation ie it is an economic strategic union.
ID yangu ni hiyo moja. Jibu hoja yangu sasa. Katiba yenu inasema pia Mwenyekiti atateua majina mawili kugombea Ukatibu Mkuu. Dr Slaa aligombea na nani uchaguzi uliopita? 7.7.13(b)
Ben,
Soma pia 7.7.13(b). Dr Slaa aligombea na nani uchaguzi uliopita?
Moja ya mapungufu mengi ya katiba ya CHADEMA haisemi wazi wagombea wa nafasi hii ya Mwenyekiti Taifa wanapatikanaje. Nafasi hii ni kubwa na nyeti katika chama lakini imeachiwa wajanja wachache wamtafute mtu wampendekeze kugombea! Ni aibu kwa chama chenye wanasheria wa aina ya Lissu kuwa na katiba ya aina hii. Katiba inaeleza tu mwenyekiti atachaguliwa na mkutano mkuu 7.7.10(a), mchakato wa kumpata mgombea au wagombea hauko wazi.na wewe una uhakika gani kuwa walizuiwa?
Ahsante. Umenisaidia. Nijibu sasa ili tusonge mbele. Kwa mujibu wa katiba yenu viongozi wenu wa kitaifa wote ni batili.MBONA HAUISEMI 7.7.13(c)? au kwako napo unaona makengeza?
Ahsante. Umenisaidia. Nijibu sasa ili tusonge mbele. Kwa mujibu wa katiba yenu viongozi wenu wa kitaifa wote ni batili.
Ben,Hicho kipengele kimeachwa kwa matakwa ya baraza kuu.Sasa ni juu ya wagombea kujitokeza.
Sasa suala la aligombea na nani ni lingine.Ili mradi kanuni zipo wazi.Naona nimekuleta kwenye tatizo la msingi kama awali.Hausomi katiba na kama unaisoma hauielewi. Naibu katibu mkuu na wengine ambao Baraza kuu limepewa mamlaka walipitia mchakato uaofanana na wa Dr.Slaa kwenye ukatibu mkuu
So,Tatizo lako ni Dr.Slaa na si democratic process kama ulivyotaka kuleta spinning hapa
Kwa faida ya wanaJF
7.7.13 Kazi za Baraza kuu zitakua;-
b)Kumchagua katibu mkuu miongoni mwa majina mawili yatakayopendekezwa na mwenyekiti Taifa
c)Kuwachagua manaibu katibu wakuu miongoni mwa majina mawili mawili kwa kila naibu yatakayopendekezwa na mwenyekiti wa taifa
NB: Sasa unapokaa na yule mshirika wenu aliyepandishwa cheo kuwa Naibu katibu mkuu wa CCM muulize kama jina lake lilipendekezwa katika ushindani .Muulize mchakato wa yeye kupatikana ulikuaje maanake alikua mgombea pekee
Nataka tufuate matakwa na mahitaji ya katiba tulizoziandika wenyewe. Katiba ya CHADEMA imeandikwa na wanaCHADEMA wenyewe tena miaka ya hivi karibuni tu. Kuna wanasheria wazuri tu huko CHADEMA. Akina Lissu, Marando, Prof Safari, Msando,...., halafu mnajifanyia mambo kienyeji kama CCM?unataka katiba iweje?
teh teh saakumi bwana nadhani toka masalia wakukamate na sumu uliyotumwa kumuwekea zitto nati zako za ubongo zimelegea changanya na siku ile uliposababisha kifo cha dereva wa tax na wewe kunusurika ukiwa katika harakati zakumtorosha demu wa mlashani pale riverside ndo kabisaa network zako zimekata.
yaani wewe unazungumzia kamati kuu ile ambayo ina wajumbe nane wakuteuliwa na mwenyekiti ambae nae hakupatikana kidemokrasia!
vipi bado unaendelea kumfanyia fitna selasini kule rombo ili wewe ugombee 2015 maana ndivyo ulivyoahidiwa na mabosi wako.
jibu swali uliloulizwa na tunte slaa aligombea na nani?
Ben,
Soma pia 7.7.13(b). Dr Slaa aligombea na nani uchaguzi uliopita?
Ben,
Mnataka kushika dola. Kuweni mfano kwa kuendana na mahitaji na matakwa ya katiba ya CHADEMA. Mkishindwa hii, katiba ya JMT itawasumbua zaidi. Wala usitake kulinganisha na yale yanayofanyika kule CCM. Wao wana Katiba yao.
Kubali kwamba uongozi wa CHADEMA Taifa haupo kwa mujibu wa katiba yenu!