Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Huwa nafurahia sana nikisoma live wanchedama wanavyolumbana wenyewe kwa wenyewe!!!
 
Furaha yangu nikuona JF inashuhudia namna unavyotumika kuharibu mada zinazokihusu chama tena za ukweli.Una kopi na kupaste
Mods nadhani wanaliona hili,kama huna cha kuchangi kaa pembeni.Sio huu upuuzi unaoufanya wa kujibu jibu moja sehemu mbalimbali.
Umeanza kuchoka sana,Pole sana sikutegemea kama ungefikia hatua hii

-Nimeanza kuchoka?Ni kweli nimechoka kuvumilia harakati za usaliti wa vijana.kama ninyi katika mabadiliko.Na mnajua nilianza kuchoka tangu nilipowapinga juu ya harakati zenu za kuivuruga CHADEMA

-Nimechangia hii topic mnalalamika kwamba navuruga mjadala unaoihusu CHADEMA.Najua phobia mliyo nayo juu yangu dhidi ya malengo yenu ambayo nayajua 100%

Sasa hebu tujadili juu ya hii mada kuliko kuingia personal vendatta unnecesarily.Hayo mambo mengine tuyaache yatamalizwa nje ya JF ingawa sina suluhu na Traitors.Msimamo wangu wa CHADEMA kama taasisi imara uko pale pale,Suala lenu la kushabikia watu nawaachia

Msitarajie compromise yoyote na mimi huko nje.I'll not compromise with traitors

Be warned!
 
Furaha yangu nikuona JF inashuhudia namna unavyotumika kuharibu mada zinazokihusu chama tena za ukweli.Una kopi na kupaste
Mods nadhani wanaliona hili,kama huna cha kuchangi kaa pembeni.Sio huu upuuzi unaoufanya wa kujibu jibu moja sehemu mbalimbali.
Umeanza kuchoka sana,Pole sana sikutegemea kama ungefikia hatua hii

-Nimeanza kuchoka?Ni kweli nimechoka kuvumilia harakati za usaliti wa vijana.kama ninyi katika mabadiliko.Na mnajua nilianza kuchoka tangu nilipowapinga juu ya harakati zenu za kuivuruga CHADEMA

-Nimechangia hii topic mnalalamika kwamba navuruga mjadala unaoihusu CHADEMA.Najua phobia mliyo nayo juu yangu dhidi ya malengo yenu ambayo nayajua 100%

Sasa hebu tujadili juu ya hii mada kuliko kuingia personal vendatta unnecesarily.Hayo mambo mengine tuyaache yatamalizwa nje ya JF ingawa sina suluhu na Traitors .Msimamo wangu wa CHADEMA kama taasisi imara uko pale pale,Suala lenu la kushabikia watu nawaachia

Msitarajie compromise yoyote na mimi huko nje.I'll not compromise with traitors

Be warned!
 
Furaha yangu nikuona JF inashuhudia namna unavyotumika kuharibu mada zinazokihusu chama tena za ukweli.Una kopi na kupaste Mods nadhani wanaliona hili,kama huna cha kuchangi kaa pembeni.Sio huu upuuzi unaoufanya wa kujibu jibu moja sehemu mbalimbali. Umeanza kuchoka sana,Pole sana sikutegemea kama ungefikia hatua hii
TUNTEMENKE

Mimi ni Mwanajf nadeclare interest zangu kuwa MWANAUTAIFA, sina interest za kichama.nimesoma thread na kufuatilia michango ya wanajf ndnai ya thread yako nimejifunza jambo na kuona baadhi ya mambo ya msingi juu ya yako wewe dhidi ya chama cha CDM.yafuatayo kwenye RED colour yamenivuta kukuona wewe katika mfano wa aina ya mtu ambae kawa mwathirika wa interest zake kushindwa kufika malengo talajiwa hivyo kugeuka mwiba dhidi ya institution husika.

Hoja yako iko kwenye ujenzi kueneza ubomoaji na kukomoa zaidi kuliko madai yako ya kujenga zaidi institution husika. vigezo vyangu kwako ni kama hivi:
1: Yaonekana dhahili kuwa wewe ni Mwanacdm au ullipata kuwa mwanacdm [Zingatia matumizi ya maneno kama Furaha yangu, unavyotumika, umeanza kuchoka sana na sikutegemea kama ungefikia hatua hii] matamshi hayo kwa wenye ufahamu ni impression kuwa uko familiar zaidi na Ben kiasi kuwa unamfahamu sana na kwa kuwa Ben ni verified member hapa JF basi wewe kwangu nakutizama katika jicho la mask mpaka hapo.

2: Uliyoyazungumzia kuhusu demokrasia nimeona umepoint zaidi CDM, wakati kile ambacho wewe unakiona kama ni weakness ya CDM,lakini kwa watu makini wanaona ulichokizungumia ni tatizo lililo kwenye vyama vingi vya siasa Tanzania,na kwa uzungumzaji wako walio wengi wamekuonyesha CDM ina aueni kulinganisha na baadhi ya baadhi ya vyama ambavyo wewe ukuvizungumzia, hivyo kwa kuwa umelenga CDM basi dhahili UNAINTEREST nao.Ungeneralize kuhus vyama thread hii ingeleta maana njema hivyo kuwapa wachangiaji mlengo mpana wenye nia ya kujenga na sio kuibua accusation kama picha ulioijenga.

3: Binafsi nikikumbuka na thread iliyopata kupita uko nyuma na tuhuma zilizopata kupita huko nyuma pia,dhidi yako juu ya CDM naona hauko katika kujenga bali kuibua aina fulani ya viashilia vya PERSONAL INTEREST kuliko umakini wa UJENZI wa fikra POSITIVE katika kujenga au NEGATIVE kama CRITISM zenye nia ya kuweka mambo yasio sawa kuwa kwenye reli sahihi.

4: Mwisho unajina zuri sana ambalo wengine sie tuliskia simulizi zake na kukubali kuwa mwenye jina halis nae kaacha HISTOLIA njema yenye kuibua fikra zenye kutaka kujua udadisi wa mwenyejina.Lakini wewe humu ndani ya JF ulitendei haki kabisa na kwa mchango wako ufanani na msimamo wa mwenye jina. kama alivyosema mmoja wa wanajf tena akiienda mbali sana kusema ni jina la babu yake.Udadisi wangu kwa jina TUTEMENKE yaonekana alikuwa CRITIC sometimes kwa wenye udadisi kuwa CRITIC kwa zuri ni jema kujenga.Lakini sio kuwa CRITIC baada ya kuwa intrest zako zimekwama ndio unageuka kuwa CRITIC hapo sio ilo tena ni UGONJWA.

Nilisikia story za TUTEMENKE aliludi nchini baada ya elimu yake USA,mwalimu akamuita IKULU kwa nia ya kumpa kazi alitumikie TAIFA lake,maongezi yake na mwalimu baada ya kupewa offer hiyo kuwa apewe kazi gani kama msomi mkubwa by then, jibu ambalo tunaskika kama simulzi ni kuwa alimwambia Mwalimu hakuna kazi zaidi ya hicho kiti alichokikalia Mwalimu yani URAIS wa Mwalimu by then au kwa sasa JK.Hakika jibu lile hata kama ingekuwa mimi ndiye Mwalimu kwa wasomi, waelevu au wenye ufahamu lile ni TUSI KUBWA SANA kwa mtu ambae umeamua kumpa ushiriano. Uamuzi wa mwalimu juu ya TUTEMENKE dhidi yake kumstore village ulikuwa sahihi kwa upande wangu mpaka kesho.
 
TUNTEMEKE Hata mjinga mzungu wa reli atajua wewe huna akili hata moja yaani umshike mtu ana sumu pale Lunch time umuache tuu

Yaani atumwe na Dr Slaa kumuua Zito kwa lipi wakati zitoo mara nyingi hapa amerefer kupeleka matatizo yake kwa katibu mkuu au unadhani wana JF hatufuatilii mada za hapa

Wewe ulishasema Dr Slaa si lolote si chochote vipi sasa unaona wa maana Chadema una refer kwamba uchaguzi unafanyika bila vigezo
Wewe si ulisema ni mwanaume wa shoka na hakuna wakukuweza vipi unajinyea kuogopa kurekodiwa ha ha wewe kijana ni ***** mtu sisi wengine tunataka mageuzi na tunajua watu kama nyie na propaganda za kichina na kirusi hamtafuwa dafu
 
Last edited by a moderator:
TUNTEMEKE -Ati nikawapigia magoti akina nani?Sasa suala la sumu ni tuhuma nzito na ya jinai.Nadhani kama ungekua unampenda huyo unayedanganya kwamba nilikua na mpango wa kumdhuru mambo yangekua mengine so far.Unadanganya watu kwamba unanifahamu sana kwa kukufundisha kutumia mtandao?Sikuwafundisha kutumia mitandao kuhujumu CHADEMA.

-Tuhuma za INTERPOL?Bahati nzuri uongo wako unadhihirika.Ningekua na kesi za kutafutwa na INTERPOL nisingeweza kupita viwanja vya ndege kama Uingereza,Bangkok,Mumbai na New Delh kaka.Ndiyo maana nimekua nililushauri ukazane na shule.

-Najua mna hofu sana na mimi.Kama ni suala la kutoana roho ninyi ndiyo wenye mipango hiyo kaka.Hamtafanikiwa,Mungu ndiye aliyenipa uhai na hamtakua na uwezo wa kunidhuru
 
Last edited by a moderator:
-Ati nikawapigia magoti akina nani?Sasa suala la sumu ni tuhuma nzito na ya jinai.Nadhani kama ungekua unampenda huyo unayedanganya kwamba nilikua na mpango wa kumdhuru mambo yangekua mengine so far.Unadanganya watu kwamba unanifahamu sana kwa kukufundisha kutumia mtandao?Sikuwafundisha kutumia mitandao kuhujumu CHADEMA.

-Tuhuma za INTERPOL?Bahati nzuri uongo wako unadhihirika.Ningekua na kesi za kutafutwa na INTERPOL nisingeweza kupita viwanja vya ndege kama Uingereza,Bangkok,Mumbai na New Delh kaka.Ndiyo maana nimekua nililushauri ukazane na shule.

-Najua mna hofu sana na mimi.Kama ni suala la kutoana roho ninyi ndiyo wenye mipango hiyo kaka.Hamtafanikiwa,Mungu ndiye aliyenipa uhai na hamtakua na uwezo wa kunidhuru
Humo kwenye RED mbona unazidi kumuhumiza roho huyu TUNTEMEKE? huyu mpaka anakufa kwa kihoro hataweza kukanyaga viwanja hivyo, huyu hata Jomo Kenyata hawezi kufika, atakalia majungu tu Kinondoni.
 
Sidhani kama wagombea kuchukua form kwa katibu mkuu ni tatizo la kidemocrasia kama mtazamo wako ulivyo,ni utaratibu wa kila chama.Democrasia ni zaidi ya kuchukua form kwa katibu mkuu.
 
TUNTEMEKE -Ati nikawapigia magoti akina nani?Sasa suala la sumu ni tuhuma nzito na ya jinai.Nadhani kama ungekua unampenda huyo unayedanganya kwamba nilikua na mpango wa kumdhuru mambo yangekua mengine so far.Unadanganya watu kwamba unanifahamu sana kwa kukufundisha kutumia mtandao?Sikuwafundisha kutumia mitandao kuhujumu CHADEMA.

-Tuhuma za INTERPOL?Bahati nzuri uongo wako unadhihirika.Ningekua na kesi za kutafutwa na INTERPOL nisingeweza kupita viwanja vya ndege kama Uingereza,Bangkok,Mumbai na New Delh kaka.Ndiyo maana nimekua nililushauri ukazane na shule.

-Najua mna hofu sana na mimi.Kama ni suala la kutoana roho ninyi ndiyo wenye mipango hiyo kaka.Hamtafanikiwa,Mungu ndiye aliyenipa uhai na hamtakua na uwezo wa kunidhuru
 
Last edited by a moderator:
TUNTEMEKE -Ati nikawapigia magoti akina nani?Sasa suala la sumu ni tuhuma nzito na ya jinai.Nadhani kama ungekua unampenda huyo unayedanganya kwamba nilikua na mpango wa kumdhuru mambo yangekua mengine so far.Unadanganya watu kwamba unanifahamu sana kwa kukufundisha kutumia mtandao?Sikuwafundisha kutumia mitandao kuhujumu CHADEMA.

-Tuhuma za INTERPOL?Bahati nzuri uongo wako unadhihirika.Ningekua na kesi za kutafutwa na INTERPOL nisingeweza kupita viwanja vya ndege kama Uingereza,Bangkok,Mumbai na New Delh kaka.Ndiyo maana nimekua nililushauri ukazane na shule.

-Najua mna hofu sana na mimi.Kama ni suala la kutoana roho ninyi ndiyo wenye mipango hiyo kaka.Hamtafanikiwa,Mungu ndiye aliyenipa uhai na hamtakua na uwezo wa kunidhuru
 
Last edited by a moderator:
TUNTEMEKE -Ati nikawapigia magoti akina nani?Sasa suala la sumu ni tuhuma nzito na ya jinai.Nadhani kama ungekua unampenda huyo unayedanganya kwamba nilikua na mpango wa kumdhuru mambo yangekua mengine so far.Unadanganya watu kwamba unanifahamu sana kwa kukufundisha kutumia mtandao?Sikuwafundisha kutumia mitandao kuhujumu CHADEMA.

-Tuhuma za INTERPOL?Bahati nzuri uongo wako unadhihirika.Ningekua na kesi za kutafutwa na INTERPOL nisingeweza kupita viwanja vya ndege kama Uingereza,Bangkok,Mumbai na New Delh kaka.Ndiyo maana nimekua nililushauri ukazane na shule.

-Najua mna hofu sana na mimi.Kama ni suala la kutoana roho ninyi ndiyo wenye mipango hiyo kaka.Hamtafanikiwa,Mungu ndiye aliyenipa uhai na hamtakua na uwezo wa kunidhuru
 
Last edited by a moderator:
-ati nikawapigia magoti akina nani?sasa suala la sumu ni tuhuma nzito na ya jinai.nadhani kama ungekua unampenda huyo unayedanganya kwamba nilikua na mpango wa kumdhuru mambo yangekua mengine so far.unadanganya watu kwamba unanifahamu sana kwa kukufundisha kutumia mtandao?sikuwafundisha kutumia mitandao kuhujumu chadema.

-tuhuma za interpol?bahati nzuri uongo wako unadhihirika.ningekua na kesi za kutafutwa na interpol nisingeweza kupita viwanja vya ndege kama uingereza,bangkok,mumbai na new delh kaka.ndiyo maana nimekua nililushauri ukazane na shule.

-najua mna hofu sana na mimi.kama ni suala la kutoana roho ninyi ndiyo wenye mipango hiyo kaka.hamtafanikiwa,mungu ndiye aliyenipa uhai na hamtakua na uwezo wa kunidhuru
ben saanane,
nimekufahamu mwaka lini na mm nimejiunga jf lini???yaani wewe wakunifundisha mm kutumia mtandao.
Hata ukijisafisha vipi,mm na wewe tunajua vyema sana ukweli wote unaujua hapa.
Jibalaguze mkuu lakini huo ndio ukweli,shukuru tulikukurupusha mbio kwenye ule mchezo wako,otherwise picha za mnato zingeletwa hapa jf kama ungeendelea na michezo yako michafu.
Dr.slaa anameshaanza kukosa imani na wewe shushushu..utakula wapi?magazeti unayoyabana kwapani hapo utayatoa wapi?
Pole sana.

Niambie kanuni za uchaguzi za chadema ni lini zilikuwa flexible?
Wewe kama mwanasiasa kijana unazungumziaje mgombea kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi?
 
TUNTEMEKE -Ati nikawapigia magoti akina nani?Sasa suala la sumu ni tuhuma nzito na ya jinai.Nadhani kama ungekua unampenda huyo unayedanganya kwamba nilikua na mpango wa kumdhuru mambo yangekua mengine so far.Unadanganya watu kwamba unanifahamu sana kwa kukufundisha kutumia mtandao?Sikuwafundisha kutumia mitandao kuhujumu CHADEMA.

-Tuhuma za INTERPOL?Bahati nzuri uongo wako unadhihirika.Ningekua na kesi za kutafutwa na INTERPOL nisingeweza kupita viwanja vya ndege kama Uingereza,Bangkok,Mumbai na New Delh kaka.Ndiyo maana nimekua nililushauri ukazane na shule.

-Najua mna hofu sana na mimi.Kama ni suala la kutoana roho ninyi ndiyo wenye mipango hiyo kaka.Hamtafanikiwa,Mungu ndiye aliyenipa uhai na hamtakua na uwezo wa kunidhuru
 
Last edited by a moderator:
sidhani kama wagombea kuchukua form kwa katibu mkuu ni tatizo la kidemocrasia kama mtazamo wako ulivyo,ni utaratibu wa kila chama.democrasia ni zaidi ya kuchukua form kwa katibu mkuu.
sio kuchukua fomu tu,je kusimamia uchaguzi ?katibu mkuu wa chadema ndiye msimamizi mkuu wa uchaguzi,itakuwaje yeye awe ndiye mgombea na ni msimamizi huyo huyo???
Matokeo na kura yeye ndiye anayeziptia unategemea nini hapo kamanda???
 
-ati nikawapigia magoti akina nani?sasa suala la sumu ni tuhuma nzito na ya jinai.nadhani kama ungekua unampenda huyo unayedanganya kwamba nilikua na mpango wa kumdhuru mambo yangekua mengine so far.unadanganya watu kwamba unanifahamu sana kwa kukufundisha kutumia mtandao?sikuwafundisha kutumia mitandao kuhujumu chadema.

-tuhuma za interpol?bahati nzuri uongo wako unadhihirika.ningekua na kesi za kutafutwa na interpol nisingeweza kupita viwanja vya ndege kama uingereza,bangkok,mumbai na new delh kaka.ndiyo maana nimekua nililushauri ukazane na shule.

-najua mna hofu sana na mimi.kama ni suala la kutoana roho ninyi ndiyo wenye mipango hiyo kaka.hamtafanikiwa,mungu ndiye aliyenipa uhai na hamtakua na uwezo wa kunidhuru
unafanya kazi ya kujisafisha kwa kurudiarudia majibu???kanini haitang'aa kamwe
 
Tunteee! kajipangeni upya wewe na wanaokutumia.short and clear.labda tu kwa nyongeza ndogo ambayo labda umeisahau au hujui na mimi sikujui uwezo wako wa kufikiri na kutambua mambo:Je una mjua vizuri huyo Dr Kiiza Besigye?
 
Kuna haja kuwa na chombo huru cha kusimamia maamuzi hasa ya kichaguzi ndani ya chama kikubwa kama hiki cha chadema ndani ya nchi.
Hii itasaidia kuondoa kasoro mbalimbali za malalamiko ya wagombea na hata matokeo ya kura.
Mwaka 2009 tuliona namna chama kilivyoingia kwenye sekeseke la kufuta majina ya watu kadhaa kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kifamilia zaidi.
Sasa ilikuondoa ubanaji wa demokrasia kama ule ni mhimu chadema kikaiga mfano wa fdc huko uganda kikawa na tume huru ya kusimamia uchaguzi.
Dr.slaa kama katibu mkuu asijihusihe na usimamizi mkuu wa uchaguzi kwa sbabu hata yeye anaweza akaamua kugombea nani atasimamia uchaguzi????
 
tunteee! Kajipangeni upya wewe na wanaokutumia.short and clear.labda tu kwa nyongeza ndogo ambayo labda umeisahau au hujui na mimi sikujui uwezo wako wa kufikiri na kutambua mambo:je una mjua vizuri huyo dr kiiza besigye?
yeah namfahamu sana,mkuu
 
Umekuwa traitor kwa muda mrefu sana ukitumika kutaka kuangamiza maisha ya viongozi wa chadema hasa zitto,
ulianza kwa kujenga urafiki hapa jf wa kumsifia sifia sana,kumbe ulikuwa na lako jambo.nimekunyoshea mikono wewe ni mafia.

Baadae ukaamua kuanzakumtafuta zitto(asante mungu katika maisha yako hujawahi onana na zitto ana kwa ana) umeishia kula za mbavu kutoka kwa vijana wasamalia wema na umerudi kwa wagaza wenzako sasa.
Mwishoni mwa mwezi huu hawa mwaifunga amekulipa mshahara wa ushushushu????

Twende kwenye mada kijana,chambua mfumo wa uchaguzi ndani ya chadema?ili uone kama unademokrasia ndani yake???

Back
Top Bottom