Demokrasia kwa mtu mweusi bado sana labda miaka 100 ijayo, ni fujo tu na uporaji

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,458
Ni nchi gani uliwahi kuona maandamano yasiokuwa na fujo na uporaji kwa nchi za Afrika(isipokuwa za Kiarabu)

Kwa mtz ambaye yuko bize na mishemishe zake hawezi kukubali maandamano hata siku moja sababu mambo yatakwama mengi na hasara juu.
Angalia kwa jirani zetu Kenya 🇰🇪👇
Waporaji na wezi wamevamia wakazi mitaa mbalimbal…:
 
Kenya imepata Katiba Mpya hapo 2010 tu, bado wana safari ndefu ya kwenda ukizingatia Rais wa pili baada ya kuipata hiyo katiba mpya ni mpinga katiba mpya.South Africa yamefanyika maandamano kwa amani.

Angalia kwa jirani zetu Kenya
Waporaji na wezi wamevamia wakazi mitaa mbalimbal…:
 
Kenya imepata Katiba Mpya hapo 2010 tu, bado wana safari ndefu ya kwenda ukizingatia Rais wa pili baada ya kuipata hiyo katiba mpya ni mpinga katiba mpya.South Africa yamefanyika maandamano kwa amani.
Maandamano gani ya amani mkuu
 
Ni nchi gani uliwahi kuona maandamano yasiokuwa na fujo na uporaji kwa nchi za Afrika(isipokuwa za Kiarabu)

Kwa mtz ambaye yuko bize na mishemishe zake hawezi kukubali maandamano hata siku moja sababu mambo yatakwama mengi na hasara juu.
Angalia kwa jirani zetu Kenya 🇰🇪👇
Waporaji na wezi wamevamia wakazi mitaa mbalimbal…:

Mlamba asali, mhuni au kijana wa hovyo vipi ajue thamani ya maandamano au nguvu ya umma?
 
Maandsmano yapo duniani kote na sasa tunashuhudia vurugu na sekeseke la kupandishiwa Umri wa kustaafu France
Ila fujo zao wameiba mpaka McDonald's

Kuna nchi na nchi ila kwa Africa wanaiba kwa sababu wamezoea wizi sana, yaani anamhesabu mfanyabiashara anawaibia kwa kuwaletea hudumu karibu that's a shame

wanaandamana ila kupora nilishuhudia mara tu kitambo
Mark Dugan alipigwa risasi na polisi Tottenham kijana alikuwa black

Maandamano yalikuwa ya amani kutaka kujua kwanini kijana kauwawa bila kosa?
Maandamano yaliendelea na polisi wakaanza kutawanya watu kwa nguvu na ikumbukwe Tottenham wamejaa Black vurugu zikaanza wakaanza kuiba karibu biashara 2600 na wakaanza kuiba mpaka makazi ya watu 231, watu 664 waliibiwa au kunyang'anywa vitu vyao kama mikoba , pochi na simu, hela

Hiyo ilisababisha yafanyike katika miji mingi UK

Ila maandamano mengi sana ni ya amani hapa

Amani ni raha sana
Wenzetu jirani leo wanauwa kwa manati
 
Ukishasema UK na US hao ndio wenye demokrasia yao sisi tunalazimishwa tu
 
Mkuu ni tabia za watu na watu hawa wanafundishwa tangu wadogo kwa vitendo
Amgalia hapo nimewapiga picha watoto wa shule ya msingi wakifundishwa namna ya kupita barabarani na kukatisha zebra crossing

Kila kitu wanaelezwa ila sisi misingi mibovu tangu udogo

Mtu mweusi sio kuwa hajielewi bali amekataa kufuata sheria za binadamu
Tunaishi kama wanyama tu nani akae kwenye madaraka ili amnyonye mwenzie
Mwenye nguvu atawale sio kwa matakwa ya wananchi laa
20230329_103703.jpg
 
Nimegundua pia visa vingi US vya polisi na raia weusi ukorofi unachangia pia
Tatizo wanajihusisha na madawa na ujambazi
Halafu wana mentality fulani hivi akisimamishwa hata kama hana insurance au gari tairi zimeisha utasikia unanisimamisha kwa sababu I'm black
 
Fikra mbaya sana hizi, ndio maana wengi wanauawa
 
Sana mkuu
Wanajishuku kila mara kuwa wanatengwa, na pia kuishi neighborhood mbaya inachangia sana kuharibika kwao na kujihusisha na vurugu za kila aina

Pia wengi wao wanauana wao kwa wao especially
 
Back
Top Bottom