Miaka 400 ya utumwa wa mtu mweusi. Kama kuna "divine justice" ya mnyonge kwa nini ishuhudie tabu hio ya muda mrefu sana.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,019
400 hundred years of slavery ya mtu mweusi katika ardhi ya marekani na visiwa vya carribean.

Miaka mia kadhaa ya utumwa na ukandamizaji wa kiovu katika bara la Afrika.

Naelewa katika process ya kukamata watumwa ilifanyika kwa kuvamia vijiji huku wengine wakiuzwa na viongozi wetu wa kaya.

Are we coded kwa ajili ya tabu?

Are we engineered to be controlled by others?

Are we stupid enough kupitia magumu yote yale?

Or

shit just happens, kwa maana hatukuwa na siraha za moto kipindi jamaa wanakuja kutuvamia.

Even after all tuliyopitia bado sisi tumebaki masikini na wasindikizaji huku tukiwa controlled indirectly na hawa hawa jamaa walio tutesa kwa kiwango uovu.

Karma yetu iko wapi? Haki ya mnyonge tunaohubiriwa iko wapi?

Au bado justice yetu haijafika?
Au mapumziko yetu sio ya hapa duniani?

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Vijijini kuna watu wanamashamba makubwa wanalima ma ekari kwa ekari kila mwaka
Na wakati wa mavuno wanaanza kununua mahindi ya wanaolima ekari mbili mbili kisha wanakuja kuyauza kwa faida kubwa baada ya kuyaweka stoo kwa muda hadi bei itengemae

Lakini huko huko vijijini kuna wakulima masikini wa kutupwa wanao lima ekari mbili mbili kwasababu muda mwingi wanatumia kuganga njaa kwa kulima vibarua kweye mashamba ya matajiri wanao lima ma ekari kwa maekari.... na hawa masikini wanajiona kama wana laana vile kwanini hawafanikiwi

Mtaji wa kwanza wa maisha ya binadamu ni MAARIFA
Mtu akikuzidi maarifa anakutawala kwenye nyanja nyingi

Ukweli ni kwamba wenzetu “wazungu” walianza kustaarabika na kupata maarifa bora kuliko sisi

Utumwa haukuanza Afrika, ulianza huko huko kwao
Na walipo baini kuna jamii Afrika ambayo haikua na maarifa bora kama yao wakakimbilia kuja kutuchukua tukawatumikie

Nimetoa mfano wa kijijini ili upate picha jinsi matajiri wa huko wanye maarifa ya umuhimu wa kulima kibiashara kuliko wanao lima ku survival ili familia zao zile zishibe tu

Wazungu walipo kua wanakuja huku walikua wamekwisha vuka stage ya ujima kitambo sana, walikua na maarifa mengi sana wakati sisi tulikua tunaishi bila maarifa makubwa

Hoja inayo takiwa kukuumiza kichwa ni kwamba
Ni kwanini wenzetu walipata maarifa makubwa kuliko sisi?(hii ndio sababu ya haya yote)

Wazungu walipo fika Asia ya Uchina walikuta watu wana maarifa makubwa sana na wakaiba maarifa hayo kuyaendeleza zaidi
Lakini walivyokuja Afrika maarifa yatu yalikua duni mmno kiasi kwamba wakatuona kama vitendea kazi
 
Lakini huko huko vijijini kuna wakulima masikini wa kutupwa wanao lima ekari mbili mbili kwasababu muda mwingi wanatumia kuganga njaa kwa kulima vibarua kweye mashamba ya matajiri wanao lima ma ekari kwa maekari

Mtaji wa kwanza wa maisha ya binadamu ni MAARIFA
Mtu akikuzidi maarifa anakutawala kwenye nyanja nyingi

Ukweli ni kwamba wenzetu “wazungu” walianza kustaarabika na kupata maarifa bora kuliko sisi

Utumwa haukuanza Afrika, ulianza huko huko kwao
Na walipo baini kuna jamii Afrika ambayo haikua na maarifa bora kama yao wakakimbilia kuja kutuchukua tukawatumikie

Nimetoa mfano wa kijijini ili upate picha jinsi matajiri wa huko wanye maarifa ya umuhimu wa kulima kibiashara kuliko wanao lima ku survival ili familia zao zile zishibe tu

Wazungu walipo kua wanakuja huku walikua wamekwisha vuka stage ya ujima kitambo sana, walikua na maarifa mengi sana wakati sisi tulikua tunaishi bila maarifa makubwa

Hoja inayo takiwa kukuumiza kichwa ni kwamba
Ni kwanini wenzetu walipata maarifa makubwa kuliko sisi?

Wazungu walipo fika Asia ya Uchina walikuta watu wana maarifa makubwa sana na wakaiba maarifa hayo kuyaendeleza zaidi
Lakini walivyokuja Afrika maarifa yatu yalikua duni mmno kiasi kwamba wakatuona kama vitendea kazi
Ahsante mkuu.

Hili ni bonge la comment.

Hongera

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani sekondari ulisoma pointi ya "Disunity" ....

Waafrika hatuna umoja tangu enzi hizo.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mkuu mi nadhani hatukua na MAARIFA hayo wakati hawa jamaa wanaanza kuingia

Inawezekana kabisa kulikua na umoja kwenye makabila na koo lakini hatukua na maarifa zaidi ya imani zetu za jadi ambazo wao walisha pita huko kitambo sana

Hata sasa jamaa bado wanatuzidi maarifa na wametengeneza mifumo ya kudumaza maarifa yetu ambayo lazima upite humo na ndio hapo wanapo tu control.....

Miongozo yote iwe Elimu, madawa, teknolojia, siasa, dini, uchumi, and everything wanatoa wao na kutupa sisi
Na mifumo hiyo imetutengeneza kuwa walaji zaidi ya kuwa watengenezaji

Binafai naamini hadi tutakapo tambua umuhimu wa MAARIFA kama wachina, Taiwan nk hapo ndipo tutajikomboa
Lakini tukikomaa na sijui eti tuna laana hapo tutakua tunajidanganya

Maarifa ndio kila kitu kwenye maisha haya
Knowledge is power
 
Ahsante mkuu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Vijijini kuna watu wanamashamba makubwa wanalima ma ekari kwa ekari kila mwaka
Na wakati wa mavuno wanaanza kununua mahindi ya wanaolima ekari mbili mbili kisha wanakuja kuyauza kwa faida kubwa baada ya kuyaweka stoo kwa muda hadi bei itengemae

Lakini huko huko vijijini kuna wakulima masikini wa kutupwa wanao lima ekari mbili mbili kwasababu muda mwingi wanatumia kuganga njaa kwa kulima vibarua kweye mashamba ya matajiri wanao lima ma ekari kwa maekari.... na hawa masikini wanajiona kama wana laana vile kwanini hawafanikiwi

Mtaji wa kwanza wa maisha ya binadamu ni MAARIFA
Mtu akikuzidi maarifa anakutawala kwenye nyanja nyingi

Ukweli ni kwamba wenzetu “wazungu” walianza kustaarabika na kupata maarifa bora kuliko sisi

Utumwa haukuanza Afrika, ulianza huko huko kwao
Na walipo baini kuna jamii Afrika ambayo haikua na maarifa bora kama yao wakakimbilia kuja kutuchukua tukawatumikie

Nimetoa mfano wa kijijini ili upate picha jinsi matajiri wa huko wanye maarifa ya umuhimu wa kulima kibiashara kuliko wanao lima ku survival ili familia zao zile zishibe tu

Wazungu walipo kua wanakuja huku walikua wamekwisha vuka stage ya ujima kitambo sana, walikua na maarifa mengi sana wakati sisi tulikua tunaishi bila maarifa makubwa

Hoja inayo takiwa kukuumiza kichwa ni kwamba
Ni kwanini wenzetu walipata maarifa makubwa kuliko sisi?(hii ndio sababu ya haya yote)

Wazungu walipo fika Asia ya Uchina walikuta watu wana maarifa makubwa sana na wakaiba maarifa hayo kuyaendeleza zaidi
Lakini walivyokuja Afrika maarifa yatu yalikua duni mmno kiasi kwamba wakatuona kama vitendea kazi
Great thinker & big brain
 
400 hundred years of slavery ya mtu mweusi katika ardhi ya marekani na visiwa vya carribean.

Miaka mia kadhaa ya utumwa na ukandamizaji wa kiovu katika bara la Afrika.

Naelewa katika process ya kukamata watumwa ilifanyika kwa kuvamia vijiji huku wengine wakiuzwa na viongozi wetu wa kaya.

Are we coded kwa ajili ya tabu?

Are we engineered to be controlled by others?

Are we stupid enough kupitia magumu yote yale?

Or

shit just happens, kwa maana hatukuwa na siraha za moto kipindi jamaa wanakuja kutuvamia.

Even after all tuliyopitia bado sisi tumebaki masikini na wasindikizaji huku tukiwa controlled indirectly na hawa hawa jamaa walio tutesa kwa kiwango uovu.

Karma yetu iko wapi? Haki ya mnyonge tunaohubiriwa iko wapi?

Au bado justice yetu haijafika?
Au mapumziko yetu sio ya hapa duniani?

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Nafikiri pia inaweza kuwa "nature" ili amua ili kubalance ecology ya Ulimwengu.
Vipi kama mbugani swala angepewa uwezo wa kumla simba na simba kumla swala...
Au wote ingebidi wale majani nafikiri balance ya maisha usingekuwepo na huwenda maisha yangekuwa ni taabu kubwa kuliko ilo sasa kwa sababu hii inakuja tu kwamfano...
Inapo tokea ndani ya familia anakosekana mwenye ku Control power hio ndoa mala nyingi ni taabu ku survive
NOTE: Ili balance iwepo lazima pawe na.
Hevy one
Middle one
& Weak one
Ili wote wenye nguvu wapate pa kupumzikia maana akikosekana mnyonge basi nyie magiant mtaanza kuwindana sasa ha ina kua ile kula
 
Khaaah! Kudadadeki yani nature imeamua sisi ndo tuwe vibonde wa Dunia hii. Kuna ishara zinaonesha kabisa sisi ni wazembe bhana sio kwamba ni vibonde kweli

Nadharia yako isiwe ata na chembe ya kweli (naikemea)Bali ukweli na hoja kuu ibaki kuwa tunajilostisha wenyewe kisha sababu zingine zifuatie,hivyo tunatakiwa tupambane
 
Why not#Kwani swala alipenda kuumbwa swala ili aliwe na simba mkuu?
 
Africa tuna ujinga mwingi wa kipumbavu sana.
Tuna teseka kwa sababu ya upumbavu wetu wakujitakia wenyewe.

Kuna vitu viwili vinatutesa sana.
1,Ujinga.
2, Ubinafsi wa kipumbavu.

Tukiacha ubinafsi ,yani tukiacha kufikiria matumboyetu kwa kujilimbikizia mali ambazo almost zote zinawafaidisha wazungu kwaujinga wetu.

Yani mtu unafanya ufisadi kwenye nchi yako mwenyewe alafu unafungua account nje ya nchi kwa wazungu Ili ufiche pesa huko then indirect wazungu wanatukopesha alafu tunalipa riba.

Yani unasaini mikataba yenye ubovu wa kutisha na hata ukiambiwa hujali kwasababu unanguvu ya kiutawala, badala ya kutumia nguvu hiyo kuiongoza nchi kufikia malengo ya kimaendeleo wewe unaiongiza nchi kufikia malengo binafsi.

Tunanjia fupi sana ya kwenda kufikia uhuru kamili, tunaangushwa na ujinga na ubinafsi tu.
Siku tukiacha ubinafsi wa kipumbavu tukaamua kuanza kufikiri kwaajili ya maendeleo ya nchi zetu na vizazivyetu,kuanzia hapo yutatafuta namna ya kupata maarifa mapya ya jinsi ya kujiendeleza kulingana na mazingirayetu.

Inatia chungu sana udhaifu wakijinga katika mambo ambayo yapo ndani ya uwezowetu.

Mfano eti mpaka sasa tunaletewa msaada wa chakula while we own all the enablers that supporting agriculture!!.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom