dear amu...

dear amu...

B'REAL naona dalili sio mbaya maana tangu amu ametokea hajaonesha kanusho lolote hapo jipange tu maana dalili zote za kuchukua mzigo ziko wazi lol!
 
Last edited by a moderator:
awezi kufa bana...sema atalkula sana mboga za majani,nyama asahau

utatukondeshea kimwana wetu
yani ukamlishe maharage na mchicha tu
haiwezekani,we tafuta rasta mwenzio hakiyanani!!
 
nimeshindwa kabisa kuwa muumini wa mitongozo ya chit chat....... kuna wengine humu hutongozana kichit chat ,,,,,,, wakati wengine ni kweli wanamaanisha,,,,,,, na wengine ndiyo huruka kiukweli kweli.

kila la kheri mkuu .
 
B'REAL naona dalili sio mbaya maana tangu amu ametokea hajaonesha kanusho lolote hapo jipange tu maana dalili zote za kuchukua mzigo ziko wazi lol!
hahha cantalisa lazima akolee kwa mras....dreadlock nyeusi,shombeshome kama damian marley,afu streat fighter macho kwenye fedha
 

utatukondeshea kimwana wetu
yani ukamlishe maharage na mchicha tu
haiwezekani,we tafuta rasta mwenzio hakiyanani!!
atakondaje wakati kama ni protin ya nyama anaipata kwenye marange,mafishi ndo kwasana,mix mafruit ya kila aina...nataka nimuingize urastani ni tengeneze awe lady dread banaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom