Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,852
- 52,719
Wakuu!
Niliingia humu mida fulani nikakutana na uzi wa Dada yangu Binti wa zamani akihoji hizi notifications za 🤬🤮 inakuwaje ?
Na wadau wakamlenga moja kwa moja kwamba huyu Member wa kuitwa PSL god ndio kazi yake .
Sasa nawauliza wenzangu huyu Member ana tatizo gani ? Mpaka anakuwa anaweka hizi reactions kwa baadhi Members?
Nimeanzisha uzi baada ya kuingia muda huu nakutana na notifications nyingi sana za huyu PSL god . Hivi huyu mwenzetu mnamuelewa ?
Huu kwangu binafsi nauona ni uchafu tu wala sio compliment kwangu.
Uongozi wa JamiiForums naomba mjaribu kumuelewesha huyu Member anachokifanya hakipendezi na wala hakina maana yoyote.