dear amu...

dear amu...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
ndugu,jamaa na marafiki...naomba waraka wangu special umfikie huyu dada,BINTI AMU.nimetokea kumdondokea sana kwa moyo wangu huyu binti.waungwana kama kunayoyote ambae anammiliki huyu kimwana aseme maana ndo na start
 
Haya amu unaitwa huku................nyota ya jah hii inakudondokea.
 
Last edited by a moderator:
Reasons why I love you
You make my world come alive
Reasons why I love you
I'm addicted, your my fix
The reason I will stay with you
I know that you love me too!....amu
 
B'Real kaka una gear kali sana. Kwanza umeingia na gear ya kibuti ili upate sympathy. Ukalenga ukaona Amu ndio anafaa. Swift as an arrow. He he he. Playa play.
 
  • Thanks
Reactions: amu
B'Real kaka una gear kali sana. Kwanza umeingia na gear ya kibuti ili upate sympathy. Ukalenga ukaona Amu ndio anafaa. Swift as an arrow. He he he. Playa play.
hahaha na let the game start bro...
 
  • Thanks
Reactions: amu
amu kuna moyo wa mtu umekudondokea huku............
amu mwenzio na conect matukio hapa lol!!!!!
 
Last edited by a moderator:
sasa mbona barua yako ya posa haina hela ya kishika uchumba?
raster do have money only true heart...afu siunajua hatuitaji garama only kitamaduni zaidi,matunda kama mapera,coconut juice,butunda atakula kimwana
 
  • Thanks
Reactions: amu
amu kuna moyo wa mtu umekudondokea huku............
amu mwenzio na conect matukio hapa lol!!!!!
asante bi dada heaven on earth...maana mkushii ndo nisha fall like mad man.ila mpe tarifa kijiti wala raster zangu sinyoi wala siachi
 
dah!!kwani wakushi hatutakiwi kupenda jamani

Mkuu nilitaka kumtahadharisha Amu kuwa wakushi huwa ni moto.......yaani atachomeka kinoma......si unajua ukisha gonga hiyo kitu tena......
 
raster do have money only true heart...afu siunajua hatuitaji garama only kitamaduni zaidi,matunda kama mapera,coconut juice,butunda atakula kimwana

usituzingue wenzako alaa!!
kama umempenda basi barua yao sharti iwe na kishika uchumba!!
halafu utulie tukutaajie mahari yetu.
hapa mjini hakuna swala la moyo umekudondokea lkini sila pesa............hiyo ni big NOOO
 
asante bi dada heaven on earth...maana mkushii ndo nisha fall like mad man.ila mpe tarifa kijiti wala raster zangu sinyoi wala siachi

b'real mie taarifa mbona nampelekea amu fasta,atatia timu muda sio mrefu..........

Ntamwambia kabisa ukipenda ua boga penda na ua lake rasta hapana kunyolewa
 
Last edited by a moderator:
usituzingue wenzako alaa!!
kama umempenda basi barua yao sharti iwe na kishika uchumba!!
halafu utulie tukutaajie mahari yetu.
hapa mjini hakuna swala la moyo umekudondokea lkini sila pesa............hiyo ni big NOOO
pesa sio tatizo dada,na plan nyingi sana juu yake ntampeleka jamaica,then Ethiopia.pesa makaratasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom