B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,582
- 3,272
- Thread starter
- #101
asante bado sija kubaliwa kamandanimeshindwa kabisa kuwa muumini wa mitongozo ya chit chat....... kuna wengine humu hutongozana kichit chat ,,,,,,, wakati wengine ni kweli wanamaanisha,,,,,,, na wengine ndiyo huruka kiukweli kweli.
kila la kheri mkuu .