Mentor una mikwara sana loo mleta mada jamani usiwasikilize wakina bazazi sijui power g nakushauri fuata ushauri wa gfsonwin afu barua anaipokea Nicas Mtei na Watu 8
ahaha wala sio mkwara, we mtie moyo aende kukatwa dushelele lake!!!
Mentor una mikwara sana loo mleta mada jamani usiwasikilize wakina bazazi sijui power g nakushauri fuata ushauri wa gfsonwin afu barua anaipokea Nicas Mtei na watu8
unamujua amu/umeshawahi kumuwona?
Kama umemuona means your serious futaga post hii kama hujamuona go ahead.
Hahaha...
Hiyo barua inabidi iwe imeambatana na ankaraaaa....si wajua mkono mtupu sumu, huwa haulambwi yakheee
stail ya kutongoza skuhizi!!!
hivi uwezi kumpenda mtu kama hujamuona
Unaconnect matukio au unaconnect moyo wako na wangu..??? Sijui ukoje..!!!
tena mpe kima cha chini jamani