dear amu...

dear amu...

Naanza kuamini jina linasababisha tabia

Duh ama kweli hii dunia ni kubwa sana. DaMie habari za huko utokako? Nilikumisi sana hapa kijiweni, sijui ulikuwa umefichwa na mtu ama ulikuwa umejificha mwenyewe?!!
 
Last edited by a moderator:
Mrembo wangu amu naona kijiwe kimeanza kukuchanganyia. Akili kumkichwa namna ya kutumia fursa hizi zinazojitokeza.
 
Last edited by a moderator:

hahahaaa!! amu ndio
uanze kufuga dred sasa
rastafarai huyooo kajileta mweeeh!!
 
Last edited by a moderator:
Hommie Asprin hapa tinadiskasheni nini eti?

Msalimir shemeji yangu cacico
 
Last edited by a moderator:
Mrembo wangu amu naona kijiwe kimeanza kukuchanganyia. Akili kumkichwa namna ya kutumia fursa hizi zinazojitokeza.
mkuu mi selasii aiii siunajua no money,kama matunda na mboga za majani atakula sana amu ila nyama ndo asahau
 
Naanza kuamini jina linasababisha tabia

DaMie!
Naamini hakuna asiyekujua kama Dada
Yanini kujitangaza sasa
Au wewe sio unapenda kuruka ukuta usiku?

Bazazi ni Bazazi na si bazazi!
 
Last edited by a moderator:
AMU...BADO mkushi na mwaga sumu mpaka unielewe...Let me give you some love and affection,
You got my attention,
You need no correction.
May Jah pour blessings in your direction,
You've got my attention,
What an impression
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom